CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

Wewe ni Lucas mwashamba mzee!! Kama ulisoma nae chuo haina maana unamjua.
Tutajie deal mmoja kubwa alilofanya mpaka avute hio 1M au kesi alizosimamia kama wakili.
Naona unautafuta uchawa uzeeni pamoja na kutemwa sana hapa katikati.
 
kiwa ni mtu mpenda haki kweli na mtenda haki kweli, utamtetea mtu yeyote ambaye hatendewi haki, hata kama sio mke wako, mzazi wako, mtoto wako au ni ndugu yako, ikitokea kuna mtu yeyote anatuhumiwa kwa uongo na huku wewe ukweli
Wewe huna "ukweli" wowote ni tapeli tu, kama matapeli wengine wote wanaosaka fursa hata katika majalala ya uhalifu.
 
Hi huyu atakuwa Ma utingo tu!
 
Ma dili kama hayo kwa mawakili, ni kawaida sana!, hapa hapa ndani ya Bongo!. Ma dili kama hayo hayaji kwa kufanya bidii, yanakuja kwa bahati ya mtu na mtu, hivyo huwezi jua...!
P
Mkuu Paskali, kwa nchi yetu hii ambayo wazazi wetu wameitumikia na kufa masikini, "bahati" unazozitaja hazikuwahi kuwepo.
Hizi ni deals za kimikataba, uza nchi upate mradi wako.
 
In Tanzania we are talking about 15 and 25 years ago, okay?
Yes mtoto aliyezaliwa familia bora, akasoma shule nzuri, akajiunga undergraduatena the best university of Tanzania, UDSM!, akasomea the most paying course, LL.B!, alipomaliza akaenda post graduate UK kwenye one of the university, sasa ni wakili, ni mbunge, ni waziri, kuwa na US$ 1.M ni very possible!
How would do you strike a single deal (that time) and get paid 1$M?
Kama wewe fani yako sio wakili au zile top most paying jobs huwezi kujua au kuamini!, mimi nakuambia mtu ukiwa wakili, unaweza ku strike the deal ya US$ 1.M in a single deal!, mawakili hao wapo wengi tuu na wengine nawajua kwa majina na hizo deals pia nazijua!.
Who would pay you that amount.
Taasisi kubwa zinalipa that fee ikiwemo BOT yetu hii hii!
Ni gharama za legal fees za huduma za kisheria.
1$M is it declared and subject to tax?
Sheria yetu ya kodi, iko open and straight forward, uki fanya biashara nchini, utalipa kodi TRA, ukifanya biashara nje ya nchi, huwajibiki kulipa kodi TRA, unalipa kodi kule pesa zilikotoka. Hata Watanzania wote wanaofanya kazi ubalozini, hawakati income tax direct kutoka kwenye mishahara yao, bali wanalipwa take home yao yote, tax affairs ni issues zako personal.
Are there any records today to show those deals?
Yes every big legal deals zinafanyika legally, all the records zipo, ukifanya deals kupitia local banks, all the transactions are transparent kupitia benki unayopitishia pesa.

P
 
No wonder, you come out for their defence.

Good luck man.
 
Anko unapuyanga sana ,asiee dah
 
KWA WEMA TU KWANINI LULU HII ISIRIDISHWE KATIKA UTENDAJI ILI WATANZANIA WARUDISHE IMANI YAO KWA TAIFA,MAANA UKWELI HUYU MSWALIHINA ANAPENDWA NA KUAMINIWA KWELI KWELI,NI WAKATI WA KUICHEZA KARATA HII.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…