CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

Naona mkuu umepigia mstari.
 
Hiyo familia iliyokuwa inamsapoti inafanya biashara gani?
 
Hiyo familia iliyokuwa inamsapoti inafanya biashara gani?
Hili sasa ndio swali gani?!, Baba ni kanali wa jeshi kwa miaka 10!, waziri kwa miaka 20!, rais kwa miaka 10!, mtaji mkubwa familia waliompa ni good education, sasa mtoto ni wakili anaweza kusaini mkataba mmoja tuu wa US$1.m!, what more do you want?!.
P
 
Kama sio mkwe, ni mwana mfalme, kama siye huyo ni yule wa kaskazini mchinjaji wa ngombe mia ali tokea kolomije, kama sie huyo basi again ni mkwe .
Koromije inatisha sana kwa Maambuki ya HIV ,sijui Makonda anataarifa au yeye Mu -Arusha sasa mazima!!!?
 
Kwa hiyo utumishi wa umma wa wazazi wake ndiyo biashara? Huwezi kuwa billionaire kwa kazi ya kuajiriwa.
 

Haya maswali ya Prof Assad, ipo siku watu wengi wataulizwa wao ama wajukuu zao. Naam, siamini kama watanzania watayaacha yaende kimya kimya. Bila kuwajibishana
 
wewe umewahi kulipwa $1M? Kama hujawahi basi cha ajabu kipo
 
Kwa hiyo utumishi wa umma wa wazazi wake ndiyo biashara? Huwezi kuwa billionaire kwa kazi ya kuajiriwa.
Naomba kulisema hili for the last time!
Wahindi na Waarabu wanawarithisha mali watoto wao, sisi Waafrika tunawarithisha umasikini, wenzetu wazungu, wanawarisha elimu, they invest in good education, waweze kujitegemea, baba yake ni mzungu, amewarishisha wanae, good education, mtoto kapata elimu nzuri, kasoma chuo kizuri, kozi nzuri inayolipa, he is now making his own millions!
P
 
Kama hizo zipo kuna moja jamaa yangu ilimponyoka $250,000.00 .

So zipo sana tu.
 
Wewe ni Lucas mwashamba mzee!!
Kunilinganisha mimi na haya matakataka, mazagazaga na makorokocho ya kihivi sio kunitendea haki!.
Kama ulisoma nae chuo haina maana unamjua.
mtu ukisoma nae shule moja, darasa moja au chuo kimoja, una chance ya kumjua kuliko wengi mnao msikia tuu!
Tutajie deal mmoja kubwa alilofanya mpaka avute hio 1M
Nimekuambia mtu kuwa wakili ana chances to strike just a single deal na akavuta hiyo US$1M, nikakuambia mawakili wengi tuu wamevuta such deals na nawajua, deals za watu ni bussines matters, sisi waandishi wa habari, kutakana na nature ya kazi zetu, we come across lots of privileged info za watu, hizo info zina kinga ya the confidentiality, hivyo they remain confidential, ila kwa vile ni kiongozi wa umma, wewe mwananchi una haki ya kuomba kukagua daftari lake la mali na madeni ambazo ame declare, nenda kakague!.
au kesi alizosimamia kama wakili.
Sio kila deal za uwakili ni kusimamia kesi!, na kwa kukusaidia tuu, mawakili wanaosimamia kesi mahakamani, wanafanya kitu kinachoitwa, litigations, ndio the poorest lawyers!, the best paid lawyers wanafanya legal opinions na conveyance!, huko ndiko unakutana na deal kubwa, unapiga US$ 1.m kwa a just a single deal.
P
 
With all due respect, unakwepa swali. Nami naishia hapa.
 
Hapa anayetajwa ni kondakita sio rizimoko
 
bila shaka uyu atakuwa yule aliyewahi kuwa msanii wa bongo fleva toka east coast team.....aliyeimba mimi na mabinti dam dam

kwasasa yuko wizara moja na BASHITE

huyu mtoto wa Tanga ni mpuuzi sana , katuonyesha Carparking shade yake kapaki gari za kifahar tupu

mbaya zaid ile carparking shade yake kaifungia ac ili magar yake yapigwe na kipupwe

mburumundu sana uyu bwana mdogo

halafu bado kuna kenge wanatupigia kelele eti mama mitano tena uku nchi inazid kutafunwa tu

na hii nchi viongozi wetu walivyokuwa viazi mtu ukisema ukweli wanataka wakuteke......yaan wanataka tukae kimya ili waleeee mpaka wahakikishe wameifikisi nchi yote hii ndio wafurahi

hakuna li nchi la kijinga kama tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…