Katiba ni muhimu ili kutuepusha na watawala kama huyu jiwe.Mi naonaga mda mwingine watanzania hatunaga hata maana Jiwe kapanua barbara ya morrocco mwenge kwa fedha za sherehe za uhuru na baadae akaamuru pia fedha za uhuru zikapanue barabra ya mwanza airport lakini kuna watu hapa wanajidai kufata utaratibu wa zabunimili wapige dili zao lakini matokeo sifuri. Kkikubwa tunataka matokeo zabuni ni maneno tu.
Tutaendelea na mambo yale yale ya ngonjera za zabuni zisizo na matokeo japo kweli zabuni n takwa la kisheria lakini kikubwa ni kudeliver .Waafrica wengi maneno mengi vitendo sifuri.Katiba ni muhimu ili kutuepusha na watawala kama huyu jiwe.
Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Magufuli ndio alimteua, baada ya kumtoa Assad..utawala wa Magufuli kwa Nini unakuwa na ugomvi na kila CAG?Huyo mzee sidhani kama yupo sawa.
Atakua na maratizo mahali.
Tena makubwa tu.
Pamoja na yote, ila Mwenyezi Mungu anatuambia tusimseme vibaya Marehemu. Punguza jazba za kijanga, we all belong to Allah na kwake tutarejea.
Kwani nani hajui? bora Assad aliongea huyu alikuwa kimya na kuunga mkono, sasa hivi tunajuaje kama sio speaker ya propaganda na fagio la kumsafishia mama njia ?Unayasema hayo huku rohoni mwako unajua kabisa kuwa jiwe alitumia mabavu kwenye miradi mingi bila kufanya tathmini ya kitaalam
Cha muhimu ni kuwa KAFA na kutuepushia hasara zaidiKashajenga kwao hamna kitu mtafanya kubwabwanya tu wanoko
Wafuasi wa Magufuli mna tatizo na kila CAG kwa Nini? Assad mlimpinga alipokuwa akifunua uozo wenu, huyu wa Sasa mnampinga Tena kwa kugundua uozo wenuKwani nani hajui? bora Assad aliongea huyu alikuwa kimya na kuunga mkono, sasa hivi tunajuaje kama sio speaker ya propaganda na fagio la kumsafishia mama njia ?
Kama aliweza kuficha mambo hapo mwanzo kwanini asifiche mengine sasa..., Vipi kuhusu return on investment ya hizi safari za sasa kuna lolote anaongelea hapo ?
Huyu jamaa inaonekana anaweza kusema lolote au kuficha lolote depends na nani anamwambia aseme nini, mimi kama mlipa Kodi sina Imani na huyu Bwana / Hiki Kitengo
Jamani kazi zake si Samia anaziendeleza 😂😂Kwa sasa wanahangaika kuondoa mapenzi ya watu kwa Hayati JPM ili nao waonekane.
Nasema hivi, ni ngumu kuondoa uhalisia wa kazi za JPM ktk vichwa vya wengi hapa nchini na nje ya mipaka
Boss sio unafiki, maoni kama hayo miaka miwili iliyopita ingeweza kuwa career suicide, Nape na Ndugai wanajua vizuriBongo unafiki umetawala sana. Kama ingekuwa ni miaka miwili nyuma, kamwe asingejaribu kutoa maoni ya aina hii.
A white elephant and laughing stock. "Ufisadi mtupu".Ilikuwa ni Serikali ya kifisadi pia🐒🐒🐒
View attachment 2187006
Kwa hiyo uwanja wa ndege wa musoma hauna faida ila wa bukoba una faida?Acha madharau ya kingeseHivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikujibu TU kirahisi, huwa kunakuwa na hitajio la uwanja ndio watu wanaanza kutafuta Hela za kujenga!! Na Sio unajenga uwanja ndio unatafuta hitajio la watumiaji!!Hivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiii! This is very interesting. It summarizes what is being experienced.Walinda "legasi"View attachment 2187028
Na kwa mitazamo hii ndio maana tupo hapa watu kama nyie ambao ni wafuasi wa mtu ni janga kwa mustakabali wa hili taifa..., mnachukulia nchi kama ushabiki wa simba na yanga, wao na sisi na sio kipi ni sahihi na nini sio sawa....Wafuasi wa Magufuli mna tatizo na kila CAG kwa Nini? Assad mlimpinga alipokuwa akifunua uozo wenu, huyu wa Sasa mnampinga Tena kwa kugundua uozo wenu
Basi Magufuli ndio angekuwa CAG mwenyewe
Tulikuwa na awamu ya kifisadi kuliko zote zilizopitaTulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Kama yalikuwa makosa,uwanja ushajengwa japo haujakamilika kabisa.kuuacha hivi itakuwa tumezalisha hasara.Tunaweza kujaribu baadhi ya mambo kupunguza hasara:Badala ya kulilia legasi ni vema ukatueleza ni lini tutapata faida na itatokana na nini
Kwa lugha rahisi ni kusema yalikuwa matumizi mabaya ya Hela za ummaHivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu rahisi ni kuwa Magufuli alikuwa Dikteta...Bongo unafiki umetawala sana. Kama ingekuwa ni miaka miwili nyuma, kamwe asingejaribu kutoa maoni ya aina hii.
Huwezi kupanga matumizi Kwa Kitu kulichojengwa bila planKama yalikuwa makosa,uwanja ushajengwa japo haujakamilika kabisa.kuuacha hivi itakuwa tumezalisha hasara.Tunaweza kujaribu baadhi ya mambo kupunguza hasara:
1.Labda tuukodishe kama tumeshindwa kuutumia,ili kurudisha fedha za umma.
2.Tuchonge mdomo kwa nchi za jirani za Afrika Mashariki ,kuwashawishi utumike kama Rapid deployment base ya ndege na helicopter kwenye nchi zenye majanga kama vita,njaa,wakimbizi,ajali za majini,magonjwa mabaya ya kuabukizwa kama ebola n.k
3.Uwe Air base ya Kijeshi.
4.Chato iwekwe chuo cha kujifunza urubani wa ndege za kiraia na za kijeshi.
5.Uwanja ugeuzwe hub ya ndege za kubeba mizigo kama maparachichi,Minofu ya samaki,maua,mboga mboga,ndizi,n.k.
Labda miaka 30 ijayo wakati Chato itakapo fikia kiwango kikubwa cha maendeleo ,uwanja unaweza kutumika pia kwa ndege za abiria n.k