Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

Kwa katiba ya Tanzania hata ukimpa mtoto urais mtaendeshwa hovyo hovyo tu.

Hivyo usidhani mama ni dhaifu na anatumia kichaka cha jinsi.

Kuna namna anawakumbusha tu lakini si udhaifu.

Mamlala aliyonayo yanatosha kabisa kuamua lolote na hakuna atakayeleta fyoko fyoko.
 
Mfalme hakosolewi
 
Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Huo Uhuru wako wa kujieleza unakusaidiaje ,,, kama unaowashauri hawazingatii wala kujali ushauri wako........
 
Carol Ndosi ni nani hasa? Au ndiyo yule dada mwenye stress na depression ya kutokupata teuzi kutoka kwa Rais wetu mpendwa Samia suluhu Hasan.?
 
Hivi ni bi mkubwa au bi mdogo huyu mama ssh?
 
Je Kama ataamua kutumia mamlaka aliyo nayo ndivyo sivyo ???

Au Kama akiamua kutumia nafasi aliyo nayo kulipiza kisasi kwa aliokuwa na chuki nao.....

[emoji654]CONCLUSION : tuna katiba mbovu sana..( reformation of constitution is what matter most )
 
[emoji654]UPUUZI TU ....UDHAIFU WA KATIBA YETU NDIYO CHANZO CHA KUWEPO HAYA MAUZA×2 YOTE ......


NB: chief mkuda hangaya hana uwezo wa kuongoza ...
 
Hata mimi huwa naudhika sana.

Na sisi alivotuita watia mbegu. Yaani hii awamu wanaume tunadharaulika sana.
 
Ubaya uko wapi akisema hivyo?
Labda kama kuna athari zilizosababishwa na hilo ndizo tuzijadili.
 
Why haipendezi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Amemaliza teuzi?
 
Si bure kuna kitu nyuma ya pazia...hasa huko ccm kwake..kwa hiyo anawakumbusha HATA KAMA YEYE NI MWANAMKE,LAKINI NDIE RAIS WA NCHI...NGOJA 2025 IFIKE TUTAJUA MENGI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…