Uchaguzi 2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

Uchaguzi 2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

Uliposema tu kwamba, Jimbo la Hai ndilo Lili kuwa "the most wanted person" nikajua hauna kitu kwenye ubongo wako.
 
Akawe shahidi halafu mumtumbue huko serikalini?

Utakuwa mgeni hapa Tz.
Tunafundishwa kusimamia haki na kile unachoamini. So, kama unaogopa basi hakufaa kuwa hapo bali alikuwa kwa maslahi yake binafsi. Kutokutaka haki ipatikane kunaweza sababisha maafa makubwa.

Aanze kwa kuwasaidia wapinzani kukusanya ushahidi then awe shahidi kwenye kesi kama atahitajika.

Mkuu, amini, jamaa ni mtu muhimu katika kuelekea haki.
 
CHADEMA , CHADEMA, CHADEMA people's power 🤣🤣🤣🤣🙊🙊
 
Hapo ndio tunapokosea. Anahitajika kuwasaidia vyama vya upinzani kukusanya ushahidi ili wadai haki yao, huo ndio uzalendo. Mbowe akienda mahakamani na akakosa ushahidi muhimu atapoteza kesi then ataona anaonewa. Huyu ni mtu muhimu sana katika kuleta amani na haki katika nchi.
Ushahidi upo kwenye numbers

Inatatakiwa kuziangalia namba kituo kwa kituo na ku note discrepancies. Numbers dont lie na mwizi siku zote huacha alama hata awe smart vipi.Advantage kubwa waliokuwa nayo CCM ni low voter turn out. Watu waliopiga kura hawakuwa wengi ukilinganisha na waliojiandikisha na hii loop hole wameitumia vilivyo.
 
Tunafundishwa kusimamia haki na kile unachoamini. So, kama unaogopa basi hakufaa kuwa hapo bali alikuwa kwa maslahi yake binafsi. Kutokutaka haki ipatikane kunaweza sababisha maafa makubwa. Aanze kwa kuwasaidia wapinzani kukusanya ushahidi then awe shahidi kwenye kesi kama atahitajika.
Mkuu, amini, jamaa ni mtu muhimu katika kuelekea haki.
Mkuu, ujue kuanzia mwenyekiti wa tume, Mahera, Sirro, Mambosasa, Polepole, Bashiru wote hawana tofauti na huyo mfanyakazi wa serikalini aliyeleta huu uzi, na mpaka mahakimu nao wote ni waoga kwasababu ya mfumo uliopo.

Usimlaumu huyo peke yake, ana familia inamtegemea.
 
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Jamaa limepora uchaguzi kishamba sana yaani hata ccm yenyewe inalishangaa kwa huu ushamba wa kiwango cha lami.
Wasielishangaa jamaa ni hii ccm mpya baada ya kuipoka umiliki wa chana ccm asili.
Sisiem ya sasa ni ya kina Chakubanga,
Bashiru,
Makonda,
Gambo,
Mnyeti,
Muro,
Ndg aliyelazimishwa kujiunga,
Tulia
Sebaya,
Happy nk.
Wote hawa ni wavamizi na washauri wa mkuu wa magogoni ambae hapo kabla hakuwa amewahi kuwa na uongozi wowote katika chama.
 
Mahakama gani? Mnakejeli watu walioumizwa kiasi hiki? Mjuwe Mungu yupo hai na anawaona!
Mkuu japo umesoma lakini elimu yako hhaijakusaidia. Unadhani kila anayechangia humu ni mwanachama wa vyama vya siasa?
Nimetoa mawazo yangu jinsi jamaa anavyoweza kusaidia kupatikana haki kwa upinzani. Unahisi akijificha ndio itasaidia?

Mwisho wa siku tunahitaji amani katika ngazi zote, kuanzia familia hadi taifa, na yeye nina imani anataka hilo. Mbowe na upinzani wanahitaji ushahidi, hata familia zetu wanahitaji.
 
Bahati njema mimi nilikuwa mmoja wa maafisa wa uchaguzi huu nikiwa mwajiriwa ndani ya serikali, nikipewa jukumu hili pia.

Katika eneo nililosimamia mimi, kituo cha mwisho kuleta matokeo wilayani (jimboni) ili kufanya majumuisho kumpata mshindi wa ubunge ilikuwa ni saa 2asb kesho yake yani 29/10/2020!
Bila kudhibitisha/verify utambulisho wako kuwa ni mfanyakazi wa serikali sehemu ipi, namba ya kitambulisho chako, kituo ulichoshiriki kusimamia uchaguzi, mkuu wa usimamizi wa uchaguzi kituoni hapo, barua ya utambulisho kutoka NEC kuwa wewe ni msimamizi halali wa uchaguji; moja kwa moja tunakuweka kwenye kundi la watu waongo na wenye nia mbaya dhidi ya watanzania. Na kwa kweli Vyombo vya usalama vikikupata vikutendee haki yako kwa wewe kutaka kuhatarisha maisha na mali za watanzania.
 
Ushahidi upo kwenye numbers

Inatatakiwa kuziangalia namba kituo kwa kituo na ku note discrepancies. Numbers dont lie na mwizi siku zote huacha alama hata awe smart vipi.Advantage kubwa waliokuwa nayo CCM ni low voter turn out. Watu waliopiga kura hawakuwa wengi ukilinganisha na waliojiandikisha na hii loop hole wameitumia vilivyo.
Kwa upande wangu hapa ndipo CCM walipojiumbua kwa wizi wao. Walitegemea wapigakura wangekuwa wengi ndio maana wakajaza kura nyingi sana feki vituoni, inasemekana kila kituo kilikuwa na kura feki angalau 50, walifanya hivyo ili kukabiliana na kura za wapinzani wakiamini wapinzani wangepata kura nyingi.

Matokeo yake watu wakajitokeza wachache, so zile kura feki za CCM zikabaki palepale, ndio maana unaambiwa Gwajima alipata kura zaidi ya laki moja na elfu tisini, kumbe zote ni zike za kwenye mabegi meusi.
 
Bila kudhibitisha/verify utambulisho wako kuwa ni mfanyakazi wa serikali sehemu ipi, namba ya kitambulisho chako, kituo ulichoshiriki kusimamia uchaguzi, mkuu wa usimamizi wa uchaguzi kituoni hapo, barua ya utambulisho kutoka NEC kuwa wewe ni msimamizi halali wa uchaguji; moja kwa moja tunakuweka kwenye kundi la watu waongo na wenye nia mbaya dhidi ya watanzania. Na kwa kweli Vyombo vya usalama vikikupata vikutendee haki yako kwa wewe kutaka kuhatarisha maisha na mali za watanzania.
Wacha ujinga, ili kesho mkamtafute sio? no way.
 
Mkuu, ujue kuanzia mwenyekiti wa tume, Mahera, Sirro, Mambosasa, Polepole, Bashiru wote hawana tofauti na huyo mfanyakazi wa serikalini aliyeleta huu uzi, na mpaka mahakimu nao wote ni waoga kwasababu ya mfumo uliopo.

Usimlaumu huyo peke yake, ana familia inamtegemea.
Nakuelewa mkuu.
ila angalia na upande wanaodhurumiwa kwa kukosa ushahidi wanaweza kufanya nini. Wezi wanachomwa moto coz sometime ukiwapeleka polisi wanatoka. Hasira zinawakumba wananchi wajichukulia sheria mkononi.

What if upinzani wakiunda jeshi. Je, familia zetu zitakuwa salama? na hiyo kazi atafanya kwa amani? Kabla ya kufika uko tuangalie namna ya kusaidia taifa.

Kuna namna nyingi za kusaidia wapinzani wapate haki zao, aangalie zilizo bora kwake.
 
Nakuelewa mkuu.
ila angalia na upande wanaodhurumiwa kwa kukosa ushahidi wanaweza kufanya nini. Wezi wanachomwa moto coz sometime ukiwapeleka polisi wanatoka. Hasira zinawakumba wananchi wajichukulia sheria mkononi. What if upinzani wakiunda jeshi. Je, familia zetu zitakuwa salama? na hiyo kazi atafanya kwa amani? Kabla ya kufika uko tuangalie namna ya kusaidia taifa.
Kuna namna nyingi za kusaidia wapinzani wapate haki zao, aangalie zilizo bora kwake.
Naamini njia mojawapo ndio hii aliyokuja nayo, na huko tunakoelekea hiyo hatari ya kuunda jeshi sidhani kama itakwepeka, coz wapinzani hawana option nyingine, njia zote CCM na idara zake wamezishikilia.
 
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Upo sahihi kabisa. Matokeo ni ya kupikwa, uongo , na uzandiki mkubwa. Matokeo ya Jimbo la Hai yalitolewa mapema ili kutoa dira kwa vituo vingine kwamba tangazeni kwa mfano huu kama walivyopanga. Ni aibu.
 
Sawa kabisa. Sasa kwanini msikusanye huo ushahidi wote then mkaenda mahakamani. Ni muhimu kutumia huu uzalendo ulionyesha hapa kwa kusema ukweli utumike huko, uwe shahidi upande wa kina mbowe ili wapate haki yao otherwise utaonekana ni mnafiki au unatumiwa tu.

Na hayo yote yanatokea kwanini nyinyi kama wasimamizi na mawakala mnakubari kama sio kushiriki kwenye dhurma? au hujapata mgao wako?

Watu kama nyinyi ni kutia risasi kabisa, maana mnashiriki kuiangamiza nchi.
Mahakama ni Mali ya CCM
 
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Porojo tupu; jimbo la Hai siyo kubwa kiasi cha kushindwa kumaliza kujumlisha kura hizo ndani ya masaa kumi. Walimaliza kuhesabu na kujumlisha kura zao alfajiri; na siyo huko tu walikomaliza kuhesabu alfajiri, majimbo mengi hali ilikuwa hivyo.

Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...

Hapo uliposema matokeo kutumwa kwa mtandao! Walitumaje kwa mtandao wakati ilikuwa tayari ilikuwa imepigwa ban! Au tuseme vpn ilikuwa ikitumika.

Huu mkakati ilikuwa aangushwe kwanza yeye kama M/Kiti kisha iwe rahisi kumnyangaranyua makamu wake ambae alipogiwa kura nyingi tu za Urais pamoja na wagombea wengine wa ubunge na udiwani ambacho ndio kilichotokea!
 
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Mimi nilikuwa unatuletea hesabu kamili ya kura, au mbinu iliyotumoka!

Kumbe unatuletea hisia?

Mbowe upinzani kwake ulianza hata kabla ya kupigiwa kura!
 
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Yaani lijama wewe ni zero. Unaleta hisia. Basi ujue huyo tapeli wako keshashindwa na hatokuja kuwa mbunge tena wa Hai.
 
Back
Top Bottom