Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunafundishwa kusimamia haki na kile unachoamini. So, kama unaogopa basi hakufaa kuwa hapo bali alikuwa kwa maslahi yake binafsi. Kutokutaka haki ipatikane kunaweza sababisha maafa makubwa.Akawe shahidi halafu mumtumbue huko serikalini?
Utakuwa mgeni hapa Tz.
Ushahidi upo kwenye numbersHapo ndio tunapokosea. Anahitajika kuwasaidia vyama vya upinzani kukusanya ushahidi ili wadai haki yao, huo ndio uzalendo. Mbowe akienda mahakamani na akakosa ushahidi muhimu atapoteza kesi then ataona anaonewa. Huyu ni mtu muhimu sana katika kuleta amani na haki katika nchi.
Mkuu, ujue kuanzia mwenyekiti wa tume, Mahera, Sirro, Mambosasa, Polepole, Bashiru wote hawana tofauti na huyo mfanyakazi wa serikalini aliyeleta huu uzi, na mpaka mahakimu nao wote ni waoga kwasababu ya mfumo uliopo.Tunafundishwa kusimamia haki na kile unachoamini. So, kama unaogopa basi hakufaa kuwa hapo bali alikuwa kwa maslahi yake binafsi. Kutokutaka haki ipatikane kunaweza sababisha maafa makubwa. Aanze kwa kuwasaidia wapinzani kukusanya ushahidi then awe shahidi kwenye kesi kama atahitajika.
Mkuu, amini, jamaa ni mtu muhimu katika kuelekea haki.
Jamaa limepora uchaguzi kishamba sana yaani hata ccm yenyewe inalishangaa kwa huu ushamba wa kiwango cha lami.Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Mkuu japo umesoma lakini elimu yako hhaijakusaidia. Unadhani kila anayechangia humu ni mwanachama wa vyama vya siasa?Mahakama gani? Mnakejeli watu walioumizwa kiasi hiki? Mjuwe Mungu yupo hai na anawaona!
Bila kudhibitisha/verify utambulisho wako kuwa ni mfanyakazi wa serikali sehemu ipi, namba ya kitambulisho chako, kituo ulichoshiriki kusimamia uchaguzi, mkuu wa usimamizi wa uchaguzi kituoni hapo, barua ya utambulisho kutoka NEC kuwa wewe ni msimamizi halali wa uchaguji; moja kwa moja tunakuweka kwenye kundi la watu waongo na wenye nia mbaya dhidi ya watanzania. Na kwa kweli Vyombo vya usalama vikikupata vikutendee haki yako kwa wewe kutaka kuhatarisha maisha na mali za watanzania.Bahati njema mimi nilikuwa mmoja wa maafisa wa uchaguzi huu nikiwa mwajiriwa ndani ya serikali, nikipewa jukumu hili pia.
Katika eneo nililosimamia mimi, kituo cha mwisho kuleta matokeo wilayani (jimboni) ili kufanya majumuisho kumpata mshindi wa ubunge ilikuwa ni saa 2asb kesho yake yani 29/10/2020!
Kwa upande wangu hapa ndipo CCM walipojiumbua kwa wizi wao. Walitegemea wapigakura wangekuwa wengi ndio maana wakajaza kura nyingi sana feki vituoni, inasemekana kila kituo kilikuwa na kura feki angalau 50, walifanya hivyo ili kukabiliana na kura za wapinzani wakiamini wapinzani wangepata kura nyingi.Ushahidi upo kwenye numbers
Inatatakiwa kuziangalia namba kituo kwa kituo na ku note discrepancies. Numbers dont lie na mwizi siku zote huacha alama hata awe smart vipi.Advantage kubwa waliokuwa nayo CCM ni low voter turn out. Watu waliopiga kura hawakuwa wengi ukilinganisha na waliojiandikisha na hii loop hole wameitumia vilivyo.
Acha uongo, Mbowe hakusaini kukubali matokeoKama hayakutumika kwenye majumuisho,mgombea ubunge alikubali kusaini matokeo wakati matokeo ya kituo kimoja hayajafika? Akili za kuambiwa changanya na...!
Wacha ujinga, ili kesho mkamtafute sio? no way.Bila kudhibitisha/verify utambulisho wako kuwa ni mfanyakazi wa serikali sehemu ipi, namba ya kitambulisho chako, kituo ulichoshiriki kusimamia uchaguzi, mkuu wa usimamizi wa uchaguzi kituoni hapo, barua ya utambulisho kutoka NEC kuwa wewe ni msimamizi halali wa uchaguji; moja kwa moja tunakuweka kwenye kundi la watu waongo na wenye nia mbaya dhidi ya watanzania. Na kwa kweli Vyombo vya usalama vikikupata vikutendee haki yako kwa wewe kutaka kuhatarisha maisha na mali za watanzania.
Nakuelewa mkuu.Mkuu, ujue kuanzia mwenyekiti wa tume, Mahera, Sirro, Mambosasa, Polepole, Bashiru wote hawana tofauti na huyo mfanyakazi wa serikalini aliyeleta huu uzi, na mpaka mahakimu nao wote ni waoga kwasababu ya mfumo uliopo.
Usimlaumu huyo peke yake, ana familia inamtegemea.
Naamini njia mojawapo ndio hii aliyokuja nayo, na huko tunakoelekea hiyo hatari ya kuunda jeshi sidhani kama itakwepeka, coz wapinzani hawana option nyingine, njia zote CCM na idara zake wamezishikilia.Nakuelewa mkuu.
ila angalia na upande wanaodhurumiwa kwa kukosa ushahidi wanaweza kufanya nini. Wezi wanachomwa moto coz sometime ukiwapeleka polisi wanatoka. Hasira zinawakumba wananchi wajichukulia sheria mkononi. What if upinzani wakiunda jeshi. Je, familia zetu zitakuwa salama? na hiyo kazi atafanya kwa amani? Kabla ya kufika uko tuangalie namna ya kusaidia taifa.
Kuna namna nyingi za kusaidia wapinzani wapate haki zao, aangalie zilizo bora kwake.
Upo sahihi kabisa. Matokeo ni ya kupikwa, uongo , na uzandiki mkubwa. Matokeo ya Jimbo la Hai yalitolewa mapema ili kutoa dira kwa vituo vingine kwamba tangazeni kwa mfano huu kama walivyopanga. Ni aibu.Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Mahakama ni Mali ya CCMSawa kabisa. Sasa kwanini msikusanye huo ushahidi wote then mkaenda mahakamani. Ni muhimu kutumia huu uzalendo ulionyesha hapa kwa kusema ukweli utumike huko, uwe shahidi upande wa kina mbowe ili wapate haki yao otherwise utaonekana ni mnafiki au unatumiwa tu.
Na hayo yote yanatokea kwanini nyinyi kama wasimamizi na mawakala mnakubari kama sio kushiriki kwenye dhurma? au hujapata mgao wako?
Watu kama nyinyi ni kutia risasi kabisa, maana mnashiriki kuiangamiza nchi.
Watu km ninyi bora,wangetumia kinga msizaliwe.Uchaguzi umeisha
Mbowe ameshindwa kihalali.
Watu wa Hai wanataka maendeleo. Ndio kazi iliyobaki.
Kama Mbowe ana ushahidi wa kuonewa, aende mahakamani.
Porojo tupu; jimbo la Hai siyo kubwa kiasi cha kushindwa kumaliza kujumlisha kura hizo ndani ya masaa kumi. Walimaliza kuhesabu na kujumlisha kura zao alfajiri; na siyo huko tu walikomaliza kuhesabu alfajiri, majimbo mengi hali ilikuwa hivyo.Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Mimi nilikuwa unatuletea hesabu kamili ya kura, au mbinu iliyotumoka!Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Yaani lijama wewe ni zero. Unaleta hisia. Basi ujue huyo tapeli wako keshashindwa na hatokuja kuwa mbunge tena wa Hai.Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...