Abuu yaseer
Senior Member
- Mar 5, 2023
- 105
- 389
1.MAHARI IMEKUWA GHALI SANA but kwa muslim mahari sio issue sana, ni makubaliano tu na mke, hata msahafu tu unaoa,
2. GHARAMA ZA HARUSI NI KUBWA kwa muslim gharama ni ndogo sana, wali maharage tumemaliza, tunatandika mikeka au tunaazima ya misikitini ndoa imepita
3.DINI INASISITIZA NDOA MNO, Uislam ukifika miaka 30 hukuoa kila mmoja atakushangaa, yaan usihofu kuoa kwa sababu ya hali ya kimaisha "kama Allah alikulisha ukiwa pekeyako basi Allah huyo huyo atakulisha mkiwa wawili au zaidi,
4. Hofu ya zinaa, kwa muslim zinaa ni jambo kubwa na baya kupitiliza, kila mzazi anapambana sana mwanae asiziniwe,
5. KURIDHIKA , most muslim ni watu wa kuridhika na kidogo Allah alichotujaalia, sio lazim uwe na mali nyingi ndo uoe,