Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Naam.

Bado sijajibiwa.

Narudia.

Kwani kuoa lazima?

Huyo Yesu mwenyewe hakuna rekodi kwamba alioa, sasa utalazimishaje wafuasi wake waoe?
Kabisa mkuu, !!
Hapa umenikumbusha Jambo.
Waasisi wa hizi dini pia walikuwa/Wana mlengo tofauti katika suala zima la kuoa.
Wakati muasisi wa uislaam Mohammed SAW akihimiza kuoa kwa vitendo, yaani yeye mwenyewe kuwa champion wa kuoa hata kuonesha jamii kuwa ' age is just a number' kwa kuoa binti wa miaka tisa, Mambo ni tofauti upande wa ukristo , Yesu mwenyewe hakuoa, na hata mafundisho yaliyofuta baada yake Bado yalionesha kwamba kuoa si Jambo la lazima, na pengine imeelezwa kwamba ni Bora mtu asioe ili awe na muda wa kutosha kutekeleza maagizo ya muumba wake.
Hapa ndani Kuna kampeni ya kataa ndoa, hebu tuanzie hapa kupata data Hawa waungaji mkono kampeni hi ni watu wa imani gani?
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
Kafiri mkweo
 
Tukuonyeshe njia??au tukuache na ujinga wako uzeeke nao??
Njia naziona kila siku.

Jifunze wewe "njia ya mfumo wa maisha" ...
Qur'an 3:5
...Leo nimekukamilishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAM uwe ndiyo Dini...
 
Njia naziona kika siku.

Jifunze wewe njia ya mfumo wa maisha...
Qur'an 3:5
...Leo nimekukamilishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAM uwe ndiyo Dini...

John 14:6,achana na njia za mchongo kutoka pangoni.
 
Sisi tunaoa hata mara 3 kwa week siyo issue kama nyie
 
Kabisa kila mtu ana mipango yake na ujui anapitia tatizo gani mtu una ajira/kipato utaoaje.Cost za ndoa za kikirsto sio mchezo ila za kislam ni chap.
Hiyo ni kweli wakiristo hasiri yenu sio ndio mfano paulo hakuoa mapapa wote wanakufa bila ndio mapadire nao wanaishi bila wake lakini mitaani wanatembeza kichapo kwa makahaba
 
Kafiri anazini na kafiri mwenzie
 
Hiyo ni kweli wakiristo hasiri yenu sio ndio mfano paulo hakuoa mapapa wote wanakufa bila ndio mapadire nao wanaishi bila wake lakini mitaani wanatembeza kichapo kwa makahaba

Padri gani kakutembezea kichapo mkuu??
 
Imani si muhimu, kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kukubali imani yoyote iliyopo, au hata kuanzisha yake.

Ukishaelewa hilo, utaelewa kwamba kila mtu ana uhuru wake, aoe, asioe, aolewe, asiolewe, kivyake.

Tatizo liko wapi?

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
 
Sababu ni hii:
"Mpaka kifo kitutenganishe".
Yaani unalazimishwa kuishi na lijitu jingajinga maisha yako yote.
Wakirito wako dawati la jinsia wakidai talaka mahakamani usisema wanatengana viumba mpaka wanachoka mwisho mahakamani
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
Mmh as if nyie hamzini, na ni malaika😏, kuzini na dini ya mtu vinahusianaje?
 
Neno dini kwa Kiswahili linatokana na neno "din" kwa Kiarabu ambalo kwa Kiswahili huwezi kulitagsiri kwa neno moja, kwa kulifafanua lina maanisha "njia ya mfumo wa maisha".
Hakuna neno ambalo halina tafsiri...Acha janjajanja wewe. Kila neno lina tafsiri Ndio maana kuna kitu kinaitwa KAMUSI/DICTIONARY.

Tafsiri ya maneno yote hupatikana kwenye dictionary/kamusi.
Neno Dini/Religion lipo kwenye kamusi na lina maana yake.

Dictionary yako ndio inasema "Dini ni mfumo wa maisha"? Ni dictionary ya msikitini au ya wapi?

Niwekee hapa Maana ya neno DINI/RELIGION kutoka kwenye DICTIONARY/KAMUSI.
 
HAKUNA KITU KAMA HICHO KWENYE UKRISTO!!! Wewe unachanganya na mambo ya makabila na mila za makabila!!! Huo SIYO UKRISTO. Mambo ya mablankenti ya sijui bibi shangazi has NOTHING TO DO WITH CHRISTIANITY
Bro ni umeuliza swali lakin kama vile una marking scheme yako kichwani. Kila unachoelezwa unajibu has nothing to do with Christianity.

Ina maana hujawahi kuhudhuria hizo harusi ukakutana na hayo unayoyapinga? Dini kama dini inaweza isiwe na hizo taratibu lakini bado taratibu zinafanyika kwenye hizo harusi Kwa sana tu.
 
Si ninekupa maana yake, au huelewi kusoma?

Unafikiri kamusi zimeandikwa na nani? Binadam kama mimi na wewe, siyo muujiza. kumbuka hilo.

Muujiza unaoishi nasi unabaki kuwa mmoja leo hii. Unaujuwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…