whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Ulilichaguaje? Ulikuwa kipofu?Sababu ni hii:
"Mpaka kifo kitutenganishe".
Yaani unalazimishwa kuishi na lijitu jingajinga maisha yako yote.
Lakini nzuri ni ipi?Wakristu hawabanwi na dini kwenye maisha yao, wao ni wao kwanza kabla ya dini.
ILa waislam dini inawabana mno, wao ni dini kwanza wao baadae. Kwao kuoa ni lazima na pia ni nadra kumkuta mtu mzima above 40 wa kiislam hata mke ila kwa wakristo wapo kibao, na unakuta hata huo mpango hana kabisa.
Mke ana heshima yake bana, utaoaje unapika mandazi hakuna pilau, au unatoa mahari jogoo kweli?Lakini nzuri ni ipi?
Kubanwa na dini ama kuishi wewe kabla ya dini?
Mimi naona Mungu kwanza
Kama mzee wa miaka 40 bado hajaoa maana yake huyo ni mzinzi kwasababu haipo namna huwa hafanyi tendo
Kuhusu ndoa,waislamu ni bora sana
Ni kwl maan ndoa za kiislam hazina gharama unaweza kutoa hata mahari 50k kikubwa ni makubaliano pia mnaweza funga ndoa ya mkeka tu chapu1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!
2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.
3. Uzinifu kwa kijana kafiri ni kama kunywa maji tu.
Kwa mimi navyoona heshima ya mke haionekani kwenye kiasi kikubwa cha mahari wala pilauMke ana heshima yake bana, utaoaje unapika mandazi hakuna pilau, au unatoa mahari jogoo kweli?
Kwani wakiristo wa pwani wanatofauti gani na waislamu wa pwani mbona wote ni wale wale, kama ni elimu wote wanafanana.Nilitegemea reponse hii maana siyo mara ya kwanza ku discuss issues za hivi. Nenda pwani yote, nilichokisema utakiona, apparent on the face of their daily doings. face the reality and be ready to make a reform!
Muislam anaoa ili aongeze idadi ya waislam hakuna kingine.Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.
shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Nachangia mada, Its not something personal. Mimi yakinishinda najinyanyua...hutaona nalalamika hapaUlilichaguaje? Ulikuwa kipofu?
Ukristo siyo dini.
Dini kwa Mwenyezi Mungu ni Uislam tu.
🤣🤣🤣🤣🤣Sababu ni hii:
"Mpaka kifo kitutenganishe".
Yaani unalazimishwa kuishi na lijitu jingajinga maisha yako yote.
Hiki kipengele wanawake wengi hukipenda,kwani huamini kuwa wapo salama zaidi kutoachwa! Kumbe kuna wakati mambo yanageuka vibaya mno! Na kuona kuhama wimbi ndo suluhisho.mifano mingi tunayo hapa, flora mbasha,Angel Bernab,na huku mtaani ndo usipime,ila wengi wakitaka kuachana husingizia kuwa uzinzi lkn sio kweli,Sababu ni hii:
"Mpaka kifo kitutenganishe".
Yaani unalazimishwa kuishi na lijitu jingajinga maisha yako yote.
Sidhani kama wanaume wanapenda. Maana wanawake pasua vichwa wapo, na huwezi kumuacha kirahisi.Hiki kipengele wanawake wengi hukipenda,kwani huamini kuwa wapo salama zaidi kutoachwa! Kumbe kuna wakati mambo yanageuka vibaya mno! Na kuona kuhama wimbi ndo suluhisho.mifano mingi tunayo hapa, flora mbasha,Angel Bernab,na huku mtaani ndo usipime,ila wengi wakitaka kuachana husingizia kuwa uzinzi lkn sio kweli,
MaendeleoWagalatia wao wamekariri nini?