dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
NAKAZIAKwani kuoa lazima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIAKwani kuoa lazima?
Kuna faida ya kubadilika kuacha kufata asili ya utaratibu wa ndoa unaofanana hata na ndoa za kitamaduni za afrika ?Uko sahihi, lakini Waislamu hawajabadirika sana kama wakristo. Christians are westernized and slowly abandoning the traditional way of life compared to moselems.
Binti mbona unahasira kama umemwamgiwa maji ya shombo la Samaki?
Ukubali na ushoga basi kama hao Western ndio miungu yako unayoifuata inachokifanya,Uko sahihi, lakini Waislamu hawajabadirika sana kama wakristo. Christians are westernized and slowly abandoning the traditional way of life compared to moselems.
Kwa hiyo magaidi ni mtelezo tu?1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!
2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.
3. Uzinifu kwa kijana kafiri ni kama kunywa maji tu.
Vijibu vya watoto wa darasa la pili hivi,kanimwagia mama yako
Mitoto ya haramu kuongezeka mitaaniNini faida na hasara ya utafiti wako?
Nilijua tu wewe punguani utanikimbia,haya Dada kila la heri.takataka kama wewe is to block you to reduce reading posts from stupid mind
Wewe inaoneka umesoma ila bado unaujinga % ya wasomi kati ya wagalatia na waislamu almost on the same par, isipo kua wengi wsoslamu wanajiajiri kazi nyingi makaafiri wana bagua waislamu, ndo maana uaoni sanaa huko.Wengi wao hawakwenda shule za juu, hivyo mila za kijadi na kidini zinatawala zaidi ,aisha na matendo yao kuliko modern fprm of life..... maisha yao wameyakabidhi kwa Allah! . Moslems their religion is quite internalised. Mfano madrasa mtoto akikosa kwenda anaweza kupigwa mpaka akafa, lkn hizi formal schooling asipokwenda huwa siyo hoja sana as long as amkenda madrasa
The Arabic term islām, literally “surrender,” illuminates the fundamental religious idea of Islam—that the believer (called a Muslim, from the active particle of islām) accepts surrender to the will of Allah (in Arabic, Allāh: God)
Nilitegemea reponse hii maana siyo mara ya kwanza ku discuss issues za hivi. Nenda pwani yote, nilichokisema utakiona, apparent on the face of their daily doings. face the reality and be ready to make a reform!Wewe inaoneka umesoma ila bado unaujinga % ya wasomi kati ya wagalatia na waislamu almost on the same par, isipo kua wengi wsoslamu wanajiajiri kazi nyingi makaafiri wana bagua waislamu, ndo maana uaoni sanaa huko.
Mama una furushi lango nyumbani?Sababu ni hii:
"Mpaka kifo kitutenganishe".
Yaani unalazimishwa kuishi na lijitu jingajinga maisha yako yote.
Naam.NAKAZIA
Mie furushi langu naliweza, kumbuka kwamba na mimi ni furushi kwa hilo furushi langu.Mama una furushi lango nyumbani?
Najua hitakiri lkn koments zako zinaongea mengi...pole