Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Uko sahihi, lakini Waislamu hawajabadirika sana kama wakristo. Christians are westernized and slowly abandoning the traditional way of life compared to moselems.
Ukubali na ushoga basi kama hao Western ndio miungu yako unayoifuata inachokifanya,
Wewe itakua kipa katoka sio bure,maana unahara hovyo kama Bata,umeirukia thd kwa chuki ya udini,
Punguza mihemko binti.
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana kafiri ni kama kunywa maji tu.
Kwa hiyo magaidi ni mtelezo tu?
Tukubaliane kiroho safi[emoji23][emoji23]
1. Wakristo=kafiri
2. Waislam=magaidi[emoji23][emoji23]
 
Ndoa ni hitaji la Kiimani zaidi kwa wenye Imani ya dini zote iwe Muislamu ama Mkristo.

Wenzetu Waislamu ndoa imerahishishwa mno, kuanzia kwenye kuoa hadi Kuachana.

Nina rafiki yangu, alimwacha Mke wake kwa Kumwambia Nakuacha mara 3 na Mke akawa ameachwa.
 
Wengi wao hawakwenda shule za juu, hivyo mila za kijadi na kidini zinatawala zaidi ,aisha na matendo yao kuliko modern fprm of life..... maisha yao wameyakabidhi kwa Allah! . Moslems their religion is quite internalised. Mfano madrasa mtoto akikosa kwenda anaweza kupigwa mpaka akafa, lkn hizi formal schooling asipokwenda huwa siyo hoja sana as long as amkenda madrasa

The Arabic term islām, literally “surrender,” illuminates the fundamental religious idea of Islam—that the believer (called a Muslim, from the active particle of islām) accepts surrender to the will of Allah (in Arabic, Allāh: God)
Wewe inaoneka umesoma ila bado unaujinga % ya wasomi kati ya wagalatia na waislamu almost on the same par, isipo kua wengi wsoslamu wanajiajiri kazi nyingi makaafiri wana bagua waislamu, ndo maana uaoni sanaa huko.
 
Wewe inaoneka umesoma ila bado unaujinga % ya wasomi kati ya wagalatia na waislamu almost on the same par, isipo kua wengi wsoslamu wanajiajiri kazi nyingi makaafiri wana bagua waislamu, ndo maana uaoni sanaa huko.
Nilitegemea reponse hii maana siyo mara ya kwanza ku discuss issues za hivi. Nenda pwani yote, nilichokisema utakiona, apparent on the face of their daily doings. face the reality and be ready to make a reform!
 
Mama una furushi lango nyumbani?
Najua hitakiri lkn koments zako zinaongea mengi...pole
Mie furushi langu naliweza, kumbuka kwamba na mimi ni furushi kwa hilo furushi langu.
Sina matatizo makubwa sihitaji pole lakini wengi sababu ndo hiyo. Unalazimishwa kuishi na mtu hata kama ana tabia mbaya unatakiwa kuvumilia msiachane.
 
Back
Top Bottom