Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Majority wanoa kwa pennies tu, hilo linafanya ndoa nyingi za kiislam kuwa rahisi, hata kuachana pia rahisi tu. Ukiona familia ya kiislam baba na mama tangu ujanani ni nadra sana, wengi wanaachana, wanaoa na kuolewa tena, yaani tafrani.
Ht wakristo wengi tu wanatengana...then kila mmoja anatafuta wa kuzini nae...maisha yanaendelea

Ila pia inategemea na mahali ulipo, kila mtu anatumia references zake. Huku kwetu raha tu, hakuna makasiriko.
 
Kivumbi leo.Ni mlolongo tu wa mambo sasa mtu anataka mc awe GaraB hela zinatoka wapi .Nilimwambia mama G tunatoka na huu mtoko alinuna mwezi mzima.View attachment 2623908
🤣🤣🤣Na hivyo ndo vyeti vya ndoa mmeshikilia? mbona we umevaa smart ye Yuko na mgauni normal Sana🤔ungemtafutia dress Kali na heels za kufa mtu asingenuna.
 
Kinachokwamisha vijana wa kikristo kuoa ni mahari tu unaambiwa simple tu utoe mahari mil 3 ?
Kwa waislamu elfu 50 tu unachukua jiko
Hiyo mahali bali ni mali,mahari sio pesa wala haina kiwango chochote hatakacho hitaji muolewaji toka kwa muoaji kadiri ya uwezo wake ndio mahari

Hiweje kijana fukara wazazi wamwambie m3 hiyo ni tabia ya kukomaza zinaaa
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Muhammad alikuwa ana miaka 50 alivyooa mtoto wa miaka 9. Angalia pande mbili za story. Umeshawahi mskia demu wa kikristro anaolewa ana miaka 9
 
Muislam jina tu huyo...waislam wa bongo, bongo kumshinda shetani na vituko vyake sio kazi nyepesi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nlikula nae maisha sana na alikua huru sana kwangu, alikua akinambia nimpelekee chipsi kuku nampelekea anapumzika nusu saa au lisaa baada ya hapo hyo miuno sasa
 
ILA ndoa ambazo sio reliable na sio garantii kabisa ni ndoa za kiislam . Yaani unawezA kupewa talaka kwa matamshi tu ukiwa chooni na ukawa sio mke.

Suala la Zina halihusiani na udini, hapa umekuwa too subjective . Halaf ishu sio kuoa tu, ishu ni unayemuoa ni mna chemistry na understanding kuishi maisha yoyote , au ndio utaongeza mke wa pili

Mke wa pili kwa dunia ya sasa ni aina nyingine ya uasherati ulio halalishwa maana unaanza kwanza kumzunguka mke wako then mwisho wa siku unamuongezea ndani
Kuachana kupo pote pote usijidanganye, tena wa kristo wanaachana kwa fujo na hasara linalo sababisha wengi wa chukie kuoa tena.
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Waislamu hawanaga longolongo na uzungu mwingi
 
Angel bernard kaachwa?
Hiki kipengele wanawake wengi hukipenda,kwani huamini kuwa wapo salama zaidi kutoachwa! Kumbe kuna wakati mambo yanageuka vibaya mno! Na kuona kuhama wimbi ndo suluhisho.mifano mingi tunayo hapa, flora mbasha,Angel Bernab,na huku mtaani ndo usipime,ila wengi wakitaka kuachana husingizia kuwa uzinzi lkn sio kweli,
 
Back
Top Bottom