Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Uislam ni NGONO tu. Bila NGONO hakuna UISLAM.

Ni NGONO DUNIANI na PEPONI.
 
Mimi ndio Mwenyezi Mungu mbona siizitambui hizo dini zote za Uislam na Ukristo.
Haipendez kufanya dhihaka ama kiburi juu ya nafasi si yako.

Chukulia mfano mtu akija jimilikisha mali yako ile ya thamani kubwa kabisa kuwa ni yake, hautahamaki ww, hautamkasirikia, hautapigana nae waziwazi?

Nakushauri acha kabisa, ww pinga dini yoyote usiyoitaka sawa ni maamuzi yako. Lkn usijimilikishe kile sio haki yako.
Na Ole wao, wanaojimilikisha nafasi ya Uungu!
 
Kwenye uisilamu ndoa sio adhabu ndio maana wakati wa kufungishwa ndoa tunaambiwa kuwa tumekuozesha kwa wema hikibidi kuachana muachane kwa wema

Katika uisilamu talaka ni ukombozi kwa moja wa mwanandoa anae kandamizwa na mwenzie ndio maana unaweza ona mtu kudhoofika baada ya kuachana mtu mambo yake yanakuwa mazuli

Uisilamu unatambua kuwa kila kitu kina mwisho hata ndoa hina mwisho wake hata haya maisha yana mwisho

Kutengana viumba kila mtu mchana hanaenda kwa Hawara yake anazini weee kisa heti kuwaficha watu hiyo ni tabia ya kikafiri ndoa ikifika mwisho kila 1 achukue muda wake akatafuta hanae mpenda
Hongereni Mkuu, huku upande wa pili Kanisa halikubali talaka kirahisi hivyo kupelekea Vijana wengi kutumia muda mrefu kujaribu kupata wenza sahihi.

Kuja kutahamaki unakuta mtu anaoa akiwa na miaka 40
 
Usichanganye tamaa za mali za wazazi na ukristo wewe!!! Hao ni wazazi wenye tamaa ya mali. Haihusiani na ukristo!! Inaonekana hata Wakristo wenyewe hawaelewi hili!!!
Kwenye huu mjadala hakuna mkristo wala muislamu, mjadala umejaa kejeli misikitini na makanisani ndio wanahubiriwa hivyo?

Hapa kuna watu wanaoitwa kwa majina yenge asili ya ukristo na uislam.

Nadhani dini zote za kweli zinapaswa kufundisha upendo na kuwavumilia/heshimu watu wenye imani tofauti na wewe.
 
Mbona mnaoa mke mmoja?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nimesema not that much guided by dini...... not that much, sikusema kabisa hakuna amri za dini, hapana. Uislamu hata namna ya kuchamba mavi, una miongozo yake, kukojoa mkojo wa kawaida (wanatembea na chupa za maji akienda kukojoa anaosha mboo) , hata namna ya kulala na mke una miongozo yake, hata namna ya kutoa mahari, ina miongozo yake....kila kitu kina maelekezo ya Mtume/kurani
 
Hiyo elimu yako unayojivunia, ukifa itaishia kaburini, lakini hii Elimu yangu ya Quruani ya Madrasa, nikifa nitafufuka nayo, halafu Mwenyezi Mungu, ataniambia Soma mpaka ulipoishia kule duniani, na nitapewa JANA au sehemu ya peponi kutokana na elimu yangu

Ndiyo maana watoto zenu na watoto zetu hawatafanana kamwe, kutokana na hizi elimu mbili zilizotofautiana
Bladifaken
 
Post hii inakuonesha how primitive you are. Una uhakika gani kuwa Mungu yupo? Una uhakika gani?
Sawa amini na mimi naamini, but sometimes have an independent thinking not guided by religion. Use the following faculties to see the truth around you!

These mental faculties are:

1. Imagination

2. Perception

3. Will

4. Memory

5. Intuition

6. Reason
 
🤣🤣🤣Na hivyo ndo vyeti vya ndoa mmeshikilia? mbona we umevaa smart ye Yuko na mgauni normal Sana🤔ungemtafutia dress Kali na heels za kufa mtu asingenuna.
Huyu sio mimi mkuu,nilimuonesha hii picha nikamwambia kwa sababu za kiuchumi tufunge kama hii .Kumbe mwenzangu anawaza mc awe GaraB na mambo mengine meeengi .Nimemwambia asubiri kidogo.
 
Usichanganye tamaa za mali za wazazi na ukristo wewe!!! Hao ni wazazi wenye tamaa ya mali. Haihusiani na ukristo!! Inaonekana hata Wakristo wenyewe hawaelewi hili!!!
Kwa uelewa wako unadhani mwongozo wa mahari unatakiwa uweje?
 
Si ninekupa maana yake, au huelewi kusoma?

Unafikiri kamusi zimeandikwa na nani? Binadam kama mimi na wewe, siyo muujiza. kumbuka hilo.

Muujiza unaoishi nasi unabaki kuwa mmoja leo hii. Unaujuwa?
Hiyo maana inatoka kichwani kwako. Imehakikiwa na nani? Hata mimi nina maana zangu kichwani.. wewe unaziamini maana zangu?

Mimi nataka unipe MAANA KUTOKA KWENYE KAMUSI/DICTIONARY ya lugha husika.

Najua Unaiogopa Dictionary kwa sababu itakuumbua.

Sasa Nakuuliza tena. [emoji116]
Kamusi/Dictionary inasema Dini ni Nini?
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Kuna wengi wanaoa na kuacha
 
Nakijuwa Kiarabu na Kiswshili kina asilimia kubwa sana ya Kiarabu.

Ukipenda kubali usipopenda usikubali, sikulazimishi.
 
Iweke hapa Tafsiri ya neno DINI kutoka kwenye kamusi ya lugha ya Kiswahili.
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
sasa kama msaafu unaweza kutolea mahali utashindwa kuoa kweli?

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Post hii inakuonesha how primitive you are. Una uhakika gani kuwa Mungu yupo? Una uhakika gani?
Sawa amini na mimi naamini, but sometimes have an independent thinking not guided by religion. Use the following faculties to see the truth around you!

These mental faculties are:

1. Imagination

2. Perception

3. Will

4. Memory

5. Intuition

6. Reason
Tumezaliwa kutokana na tamaa za mapenzi kupitia tupu mbili zinazopitisha uchafu,ulipozaliwa ulikuwa dhaifu sana,kiasi kwamba wazazi wako walikuwa wanamuogopa hata inzi asije kukudhuru

Umekuwa kwa kupewa ulinzi na Mungu tuko ungali tumboni mwa mama yako mpaka leo,unashindwa kuujua umuhimu wa Mungu
 
Iweke hapa Tafsiri ya neno DINI kutoka kwenye kamusi ya lugha ya Kiswahili.
Kamusi tumia wewe usiyeelewa maana ya neno dini. Mimi naielewa maana ya neno dini lilipoanzia hilo neno dini. Kama ulikuwa huelewi, lipo wenye Qur'an ambayi ipo kwa miaka zaidi ya 1,400 leo.

Sasa hiyo kamusi yako ina miaka mingapi?
 
HUMU KUNA VILAZA SANA.

HAMJUI TOFAUTI YA NDOA NA HARUSI???????...........

SHAME
 
Back
Top Bottom