Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

Mkuu tuzungumzie afrika mashariki tunapoishi kwanza.Dini walileta wakoloni wa kizungu na kiarabu
tatizo umekuw brainwashed kudhani kwamba wale wakoloni waliokuwa wanatesa babu zetu ni kundi moja na waliosambaza dini.

watu kama wamishenari hata kama ukoloni usingefika huku wangekuja tu na lengo lao lilikuwa kusambaza injili.

wao lengo lao lilikuwa kusambaza injili tofauti na wale wakoloni ambao lengo lao lilikuwa ni kuichukua ardhi kimabavu. ni watu waliokuwa wanatokea nchi moja lakini moja analeta kampuni ya ukoloni mwengine anakuja kwa nia ya dini,

unasahau kwamba hao wamishemari ndio waliojenga shule zilizowapa elimu hata kina Nyerere.

inabidi ujue utofauti kwanza, kabla hujafikia conclusion, one size does not fit for all,
 
Mkuu mbona unawatetea sana wakoloni?????? Ni kwa sababu ya udini au una sababu nyingine nyuma ya pazia????
 

Umesema waislamu hawapendi kazini! Hii Sio zina uliyo ruhusiwa na Quran??[emoji101]
[emoji116][emoji116]
Surah Al-Mu'minoon

قَدْ أَفْلَحَ ٱلْمُؤْمِنُونَ ﴿١﴾
HAKIKA wamefanikiwa Waumini,

ٱلَّذِينَ هُمْ فِى صَلَاتِهِمْ خَٰشِعُونَ ﴿٢﴾
Ambao ni wanyenyekevu katika Sala zao,

وَٱلَّذِينَ هُمْ عَنِ ٱللَّغْوِ مُعْرِضُونَ ﴿٣﴾
Na ambao hujiepusha na mambo ya upuuzi,

وَٱلَّذِينَ هُمْ لِلزَّكَوٰةِ فَٰعِلُونَ ﴿٤﴾
Na ambao wanatoa Zaka,

وَٱلَّذِينَ هُمْ لِفُرُوجِهِمْ حَٰفِظُونَ ﴿٥﴾
Na ambao wanazilinda tupu zao,

Nielekeze aya Hii chini hapo! hutakiwi Kuilinda tupu yako Kwa Mkeo wa ndoa hapo dhahir! [emoji120]
Na hiyo nyongeza ambayo unao wamiliki mkono wako wa kuume jee ni wake zako??[emoji101][emoji101]
[emoji116][emoji116]

إِلَّا عَلَىٰٓ أَزْوَٰجِهِمْ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَٰنُهُمْ فَإِنَّهُمْ غَيْرُ مَلُومِينَ ﴿٦﴾
Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa


Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Confused fellow hu uzi sio wa kidini toa hapa ignorance usiharibu uzi wa mwezako, wewe kama una chuki zako, peleke kule unako kujua mwenyewe.
 
Malezi gani unao manisha ya kufundisha watoto wao kuka na vimada, kuzini au nini? Kwanza Unatumia vigezo gani kufanya conclusion hiyo? Umefanya tsfiti gani? Ilete hapa tuichambue
Unaelewa Maana ya Ukristo wewe????
UKRISTO NI KUYAFUATA NA KUYAISHI MAFUNDISHO YA YESU!
sasa TUONYESHE aya ALIPO FUNDISHA YESU Wakristo wawe na vimada![emoji101][emoji101]
Waislamu Ndio Walio ruhusiwa kuwa na vimada!
[emoji116][emoji116]
Surah Al-Mu'minoon

قَدْ أَفْلَحَ ٱلْمُؤْمِنُونَ ﴿١﴾
HAKIKA wamefanikiwa Waumini,


ٱلَّذِينَ هُمْ فِى صَلَاتِهِمْ خَٰشِعُونَ ﴿٢﴾
Ambao ni wanyenyekevu katika Sala zao,


وَٱلَّذِينَ هُمْ عَنِ ٱللَّغْوِ مُعْرِضُونَ ﴿٣﴾
Na ambao hujiepusha na mambo ya
upuuzi,

وَٱلَّذِينَ هُمْ لِلزَّكَوٰةِ فَٰعِلُونَ ﴿٤﴾
Na ambao wanatoa Zaka,


وَٱلَّذِينَ هُمْ لِفُرُوجِهِمْ حَٰفِظُونَ ﴿٥﴾
Na ambao wanazilinda tupu zao,


إِلَّا عَلَىٰٓ أَزْوَٰجِهِمْ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَٰنُهُمْ فَإِنَّهُمْ غَيْرُ مَلُومِينَ ﴿٦﴾
Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa

Ref aya ya Saba inao wamiliki mkono wa kuume ni wake zao?!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
naombeni mfungue uzi wenu unaohusu mambo mnayobishana muache kuujaza huu uzi, please
 
Usinge nyooshea kidole Wakristo!
Heri ungesema mama/baba zetu wazinzi kuliko ulivyosema mama/baba Yako ni mzinzi! [emoji15][emoji12]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya ndoa ni magumu sana mkuu, kupendana ni gharama na kuachana ni bure kabisa. usichukulie kwamba watu wenye imani fulani huwa wanadumu kwenye ndoa au mahusiano.
Utafiti wake huenda ni kwa familia yao tu...
 
Kwa hiyo wakristo wenye mke mmoja hawachepuki,kama tunavyoaminishwa mapadri huwa hawashiliki tendo la ngono?
 
Wanaume wengi wa kiislam Wana matala sana
Matala yariyoruhusiwa na dini yao,lakini wakristo wengi sana wanaishi kwa kuzini yaani mtu anaishi bila ndoa na mke wake na wanazaa watoto,halafu unakuta labda wazazi ni waimba kwaya
 
Ni kweli asilimia kubwa ya niliosoma nao wanakua wanaishi na mama tu na baba anakua anawasupoort kwa mbali au ni victim wa kua na mama wawili

Yaan baba yao anakua na wake wawili
Kuwa na wake wawili siyo tatizo,je anawahudumia?tofauti na mtu anayeishi na mwanamke mmoja,halafu hajafunga ndoa.

Tufate mafundisho ya Mungu,siyo utamaduni wa watu waliotuletea dini
 
Wamisionari wa ulaya walikua mawakala wa ukoloni,kujenga shule na huduma zingine ilikua kupata kundi la vibaraka na kupoza upinzani dhidi ya ukoloni,ndiyo maana Nyerere akaamua kuwageuka waislam watanganyika wenzie kisa dini,yeye na Wana genzi wenzie wakimuona mzungu mkiristo ni mwenzao kuliko bibi titi Mohammed
 
suala hili halina cha dini wala nini kimsingi single mothers wameendelea kuwa wengi sana miaka hii kutokana na ujuaji wa wana beijing ndiomaana wanaume wanaona isiwe tabu wanasepa tu , siku akiamua kula vombo anatafuta kitoto chake cha chuo anazuuza mchezo umeisha , usifuge mbuzi wakati una uwezo wa kununua maziwa utakuja kunishukuru badae.
 
Ni kweli asilimia kubwa ya niliosoma nao wanakua wanaishi na mama tu na baba anakua anawasupoort kwa mbali au ni victim wa kua na mama wawili

Yaan baba yao anakua na wake wawili
Lakini mbona jamii ya wafugaji utakuta Baba ana wake zaidi ya mmoja lakini wote wanaishi pamoja wote wazazi na watoto, kwanini Waislamu wasiwaige Jamii ya kifugaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…