sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #41
tatizo umekuw brainwashed kudhani kwamba wale wakoloni waliokuwa wanatesa babu zetu ni kundi moja na waliosambaza dini.Mkuu tuzungumzie afrika mashariki tunapoishi kwanza.Dini walileta wakoloni wa kizungu na kiarabu
watu kama wamishenari hata kama ukoloni usingefika huku wangekuja tu na lengo lao lilikuwa kusambaza injili.
wao lengo lao lilikuwa kusambaza injili tofauti na wale wakoloni ambao lengo lao lilikuwa ni kuichukua ardhi kimabavu. ni watu waliokuwa wanatokea nchi moja lakini moja analeta kampuni ya ukoloni mwengine anakuja kwa nia ya dini,
unasahau kwamba hao wamishemari ndio waliojenga shule zilizowapa elimu hata kina Nyerere.
inabidi ujue utofauti kwanza, kabla hujafikia conclusion, one size does not fit for all,