Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Keshamlipa tayarP Diddy akijichanganya kulipa hizo hela atafukua makaburi ya zamani asijaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshamlipa tayarP Diddy akijichanganya kulipa hizo hela atafukua makaburi ya zamani asijaribu
Demu alikuwa na hamu tu ya kumchokoza mwambaMAREKANI: Msanii wa Muziki wa Rap, Sean "Diddy" Combs na Msanii wa R&B, Casandra "Cassie" Ventura wamemalizana Kisheria siku moja baada ya Cassie kumshtaki Diddy kwa tuhuma za ubakaji na unyanyasaji wa Kingono
Taarifa ya pamoja ya Wawili hao imesema walifikia makubaliano ya kusuluhisha suala hilo kwa amani siku ya Ijumaa, Novemba 17, 2023 bila kufichua maelezo zaidi
Kesi iliyofunguliwa Novemba 16, 2023, Cassie alidai Diddy alimpiga, kumbaka, kumuingiza katika Matumizi ya Vileo na Dawa Za Kulevya na kumhusisha na biashara ya ngono kwa zaidi ya Miaka 10 walipokuwa katika uhusiano wa kimapenzi
View attachment 2817462
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekuchaaaaa!!!
Diddy kayatimbaa mweeeh.
Yaan hatari tupuu,Ukifanya ubaya unafumuka tu baadae watu washaanza kutoa mabaya yake rafiki yake kim porter ,na wengine pia Rkelly ilianza hivi hivii
Yaan hatari tupuu,
Huyo Diddy ana skendo had ya ulawitiii?/Scandal kibao hadi za kulawiti watoto wa kiume
Huyo Diddy ana skendo had ya ulawitiii?/
Hapo didy kajichanganya kwa hiyo tusubiri episode nyingine. Maana makaburi ya baby momma wake Kim poter yashaanza kufukuliwa na mtu kafariki kitamboWashamalizana tayari nadhan didy kamlipa cassie pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2816118
Cassie amefungua kesi ya dola milioni 30 dhidi ya Diddy akimtuhumu kwa ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Mwanadada huyo anasema muda mfupi baada ya kukutana na Diddy mwaka 2005, akiwa na umri wa miaka 19, alianza tabia ya kumdhibiti na kumnyanyasa ikiwa ni pamoja na kumlazimisha kutumia dawa za kulevya, kumpiga na kumlazimisha kulala na malaya wa kiume huku akirekodi filamu hizo.
Kesi hiyo imeibua hisia za watu wengi mtandaoni wakidai kuwa inaweza kuibua watu wengi waliofanyiwa vitendo kama hivyo na Diddy na kudai kuwa inaweza kuwa ndio mwisho wa Diddy.
Yameanza fukuliwa kim porter alikuwa anataka kuachia kitabu chake kuhusu maisha yake akafa ghafla na kifo hakielewekiHapo didy kajichanganya kwa hiyo tusubiri episode nyingine. Maana makaburi ya baby momma wake Kim poter yashaanza kufukuliwa na mtu kafariki kitambo
Ila cassie kala kibunda 😁😁, 30m na wakati utajiri wake wote haufiki 10m.
Duhhh ishakuwa story kubwa sasa. Ngoja niingie TwitterYameanza fukuliwa kim porter alikuwa anataka kuachia kitabu chake kuhusu maisha yake akafa ghafla na kifo hakieleweki
Wale aloanzisha nao lebo yake nao wamekufa wakitaka kuachia vitabu inaonekana kuna mengi ,mdogo wake kim p anasema didy alimbikiri Justin bieber ila kama kuna yana ukweli apate yanayomstahili tu siku hizi malipo hapa hapa dunian
Kuna ex bodyguard wake didy Ndio kaongea hayoDuhhh ishakuwa story kubwa sasa. Ngoja niingie Twitter
Huyu hapa anaitwa GeneDuhhh ishakuwa story kubwa sasa. Ngoja niingie Twitter
Kwa hali inavyoenda, tusubiri kuona documentaryHuyu hapa anaitwa Gene