Pre GE2025 Catherine Magige: Luhaga Mpina ni mtu wa ovyo ambaye haamini uongozi wa mwanamke

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijui kwanini wanawake ukiwakosoa huwa wanatumia jinsia yao kusema ndio sababu ya kukosolewa. Yani hii ni jambo la kushangaza sana kwa kweli.
 
Pole sana mkuu umesema kwa kuguswa sana na hali ilivyo ndani ya chama.

Binafsi nakubaliana na point yako ya kuwa Mpina anakuwa na point mara nyingi kwenye madai yake pale bungeni ila nadhani ni kwa njia gani anawasilisha.

Kinacho mponza ni yeye kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali wakati yeye ni mwanachama wa ccm chama ambacho kinaongoza nchi.

Kwa utamaduni wa ccm ni kuwa ukiwa mwana ccm hutakiwi kuikosoa serikali ya ccm.
 
Haya yameshapangwa, huyo mpina 2025 hapitishwi na CCM, na kura zitaibwa ili asishinde
Huyu mdada ni collateral tu kwa kuwa ni non elect member ndio maana anatumika
Hii nchi hakuna wa kuishinda CCM, the rest is history
Hata kina Kinjeketile walikuwa wanaamini kuwa nchi hii hakuna mtu wa kuitawala
 
Chama cha majizi, mafisadi na machawa. CCM
 
Ukute Yuko "Member of Parliament" ndio maana
 
Watapigana vipapai wafe wote hawa mbwa wa kijani na laana za mababu, mizimu,watanzania ziwe juu ya CCM hata mwanzo na mwisho wa Dahari
Amen🙏😏😏
 
Amemshambulia kwa matusi mbunge Mpina utadhani wapo vyama tofauti.

Hii ni dalili tosha kuwa CCM sasa hivi kuna moto unawaka chini kwa chini.[emoji1787]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Mkuu mbona hajatoa matusi yoyote dhidi ya Luhaga Mpina? Inaonekana unajambo lako wewe!
 
Mkuu taja tusi moja ambalo katukana? Acha uongo, simamia ukweli. Usitumie uongo kuhalalisha ukweli!
 
Mkuu me sio mtu wa masiasa ila naomba kuuliza , anachokisrma Mpina ni ukweli au uongo ? Kama ni uongo hiyo ni mbaya kama ni ukweli basi kwa faida ya watu wengi wa hili taifa acha ukweli usemwe, na kama mtu akisemwa ukweli unasema atafutiwe system ya kuwekwa kwenye mstari ili watu wachache wa ccm wafichiwe siri ya upumbavu wanaofanya ambao unawafaidisha wao tu na familia zao huo ni ujinga wa kiwango cha lami na kwa muktadha huo, Mpina atakuwa na point kwa maslai ya watanzania, sababu kwa situation ilivyo saivi ni familia tano tu Tanzania zinaamua nani awe rais hapa Tz, wengine wote ni machawa wa hizo familia na malipo ya huo uchawa ni kupewa ubunge na uwaziri, akitokea mtu msema ukweli anaonekana snitch, huoni hapo kama kuna tatizo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…