Catherine Ruge: Rais Samia anawanyima Wazanzibar wenzake fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili


..leo umeongea jambo la maana sana.
 
Chadema nyie ni vichwa panzi hamnazo kabisa mnatoa matamko kama vile mna namna ya kufanya.
Katiba tu ya kichama chenu imewashinda mpumbavu mwenyekiti wenu anawatawala toka awamu ya tatu mpaka leo ya sita kweli nyie ni akili mgando mnaswagwa tu kama makondo.
 
Huyu mbunge anataka kutwambia kuwa katiba mpya itamzuia kuvamia harusi & misiba kama alivyofanya juzi
 
Huyo catherine ruge apeleke ujinga wake huko. Znz Wawe mamlaka kamili halafu samia awe rais wa tanganyika? Mbowe amehongwa na matajiri wa uarabuni avunje muungano. Hela alishaanza kula ana deni...ndio utasikia kila siku anaota katiba wakati suala hilo lilishapita.
 
Siyo yeye Mkuu...Mvamizi ni Catherine Magige wa CCM
 


Sasa Zanzibar ikiwa nchi yenye mamlaka kamili huwezi tena kusema ni muungano maana itakuwa kama Kenya
 
Huyu mbunge anataka kutwambia kuwa katiba mpya itamzuia kuvamia harusi & misiba kama alivyofanya juzi
Umechanganya siyo Hugo,kuna Ruge na Magige wote ni Catherine.
1.Chadema
2.CCM
Mleta mada ni No 1
 
Mbunge mzima anakuwa ni mjinga wa kuelewa mambo madogo tu......

Kwani kuwa kwake Mzanzibari ndio aivunje KATIBA YA NCHI yenye SERIKALI MBILI NA MUUNGANO IMARA ?!!!

Hivi huu ujinga wa sisi WA BARA kujifanya tunaingilia masuala ya siasa kinzani za ZANZIBAR tunaupendea nini ?!!!

Chadema hawaziwezi SIASA ZA ZANZIBAR .....

Siasa za ZANZIBAR zina chimbuko na historia kubwa ya misimamo kinzani yenye KULINGANA NGUVU.....

Catherine Ruge anatumiwa na G55 iliyofufuka?!!!!!


#KaziIendelee
 
M (japo sio amiri jeshi mkuu, na !
Hicho hapo "Amiri Jeshi Mkuu" ndiyo Mamlaka Kamili. Muungano ubakie ni shirikisho na hiari kubaki au kutoka.

Kutokana na wakati tuliopo hakiepukiki wala Tanganyika haita ATHIRIKA. Let them Go
 

Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya 1964 na Muungano tuliokuwa nao ni "marriage of convenience" kwa wakati ule kwenye kipindi cha vita baridi (NATO/ Warsaw Pact).

Ni USA kupitia kachero wao Frank Carlucci aliyekuwa Balozi wao Tanganyika kisha Congo na baadaye akaja kuwa CEO wa CIA. Huyu Carlucci alianza kumshawishi kwanza Jomo Kenyatta kutaka kuiunganisha Zanzibar na Kenya. Jomo Kenyatta atakataa ndipo akamu approach J K Nyerere ambaye alikubali.

Nyerere aliweka muundo wa Serikali 2 ili kutoimeza Zanzibar kama nchi. Alikataa kabisa kuifanya Zanzibar kuwa Mkoa. Hata hivyo vita baridi ilikwisha mwaka 1989 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin. Ushahidi upo kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba uliotaka Serikali 3.

Sababu ya kuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa hazipo. Tunahitaji tu kuwa na ushirikiano kama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Yeyote anayetaka ridhaaa ya kura za Wazanzibari lazima aongelee "sovereignty ya Zanzibar" as a country.

Zanzibar ilikuwa tajiri sana kuliko Oman kabla ya mwaka 1960 na ndiyo sababu Sultan Seyyid Said alihamisha Makao makuu ya Sultanate of Oman kwenda Zanzibar mmamo 1840. Mwaka 1960 kwa mfano Zanzibar ilikuwa na kilometres 22 za barabara ya lami wakati Oman ilikuwa haina. Leo hii Oman ni nchi tajiri sana baada ya kugundua raslimali za mafuta mpaka imekuwa nchi mfadhili.

Mimi ni Mtanganyika naamini kuwa muda wa kuendelea kuishikilia Zanzibar umekwisha. Tuwaache wapate maendeleo kipitia OIC na waanzishe bandari huru kama ilivyo Singapore na Dubai.

Zanzibar imecheleweshwa mno kiuchumi kwa kuwa ndani ya Tanganyika.

 
Historia hata iweje.....

Suala ni je TANZANIA YA MUUNGANO haina faida kwa WATU WA BARA NA ZANZIBAR?!!!!

Ukitaka kufukua makaburi utayafukua mpaka ya wahindi wekundu kuidai AMERIKA YAO.....
 
Hoja ina mashiko yenye ubaguzi ndan yake.
 
Siasa za WAZANZIBARI hawaziwezi CHADEMA.....

Huko ni CCM vs ACT WAZALENDO tu......

Rais wa JMT ameapa KUULINDA MUUNGANO WA SERIKALI MBILI.....

#KaziIendelee
 
Tatizo la Mafisi wa CCM wanadai @ anatekeleza ILANI YA UCHAGUZI YA CCM!!
Shida ya majitu ya CCM yanaona ILANI NI MUHIMU KULIKO KATIBA YA JMT!! What a nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…