Catherine Magige.CCM= chama cha matatizo.Yule mbunge alifiwa na mchepuko juzi anaitwa nani
Catherine Ruge.CHADEMA=chama cha hoja nakukandamizwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Catherine Magige.CCM= chama cha matatizo.Yule mbunge alifiwa na mchepuko juzi anaitwa nani
Halafu akilinda maslahi ya Zanzibar atalaumiwa kama JPM kwa "ukanda/ukabila."
Dear Chadema, jitahidini kufahamu vipaumbele vya Watanzania kisha muwe kipazasauti cha vipaumbele hivyo. Kadhalika, jibidiisheni kusoma upepo wa kisiasa ulivyo. Mama Samia anapendwa na Watanzania, pengine kutokana na kuwa Rais wa kwanza mwanamke. Lakini pia anaongea lugha ya kistaarabu. Sasa mkicheza ovyo karata zenu, mtaishia kuonekana mnam-bully.
Mwisho, mjibidiishe kuwa proactive. Anzisheni mijadala itakayowafanya Watanzania wafanye tafakuri badala ya sasa ambapo mnaendeshwa kwa matukio. Mnasubiri Mama Samia atamke hili au lile mpate cha kuongea.
Povu ruksa 😊
Huyo catherine ruge apeleke ujinga wake huko. Znz Wawe mamlaka kamili halafu samia awe rais wa tanganyika? Mbowe amehongwa na matajiri wa uarabuni avunje muungano. Hela alishaanza kula ana deni...ndio utasikia kila siku anaota katiba wakati suala hilo lilishapita."Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
Huyu Analiwa na nan?"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
Anaupiga mwingi!!!! Labda kama anaupiga mwingi usingizi.... anaupiga mwingi...
Umechanganya siyo Hugo,kuna Ruge na Magige wote ni Catherine.Huyu mbunge anataka kutwambia kuwa katiba mpya itamzuia kuvamia harusi & misiba kama alivyofanya juzi
Mtekenyeni faru John wenu.Atabana ataachia tu. Tuendelee kumtekenya.
Hicho hapo "Amiri Jeshi Mkuu" ndiyo Mamlaka Kamili. Muungano ubakie ni shirikisho na hiari kubaki au kutoka.M (japo sio amiri jeshi mkuu, na !
Rais kaapa kuilinda katiba na kuulinda Muungano.
Mbunge mzima anakuwa ni mjinga wa kuelewa mambo madogo tu......
Kwani kuwa kwake Mzanzibari ndio aivunje KATIBA YA NCHI yenye SERIKALI MBILI NA MUUNGANO IMARA ?!!!
Hivi huu ujinga wa sisi WA BARA kujifanya tunaingilia masuala ya siasa kinzani za ZANZIBAR tunaupendea nini ?!!!
Chadema hawaziwezi SIASA ZA ZANZIBAR .....
Siasa za ZANZIBAR zina chimbuko na historia kubwa ya misimamo kinzani yenye KULINGANA NGUVU.....
Catherine Ruge anatumiwa na G55 iliyofufuka?!!!!!
#KaziIendelee
Historia hata iweje.....Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya 1964 na Muungano tuliokuwa nao ni "marriage of convenience" kwa wakati ule kwenye kipindi cha vita baridi (NATO/ Warsaw Pact).
Ni USA kupitia kachero wao Frank Carlucci aliyekuwa Balozi wao Tanganyika kisha Congo na baadaye akaja kuwa CEO wa CIA. Huyu Carlucci alianza kumshawishi kwanza Jomo Kenyatta kutaka kuiunganisha Zanzibar na Kenya. Jomo Kenyatta atakataa ndipo akamu approach J K Nyerere ambaye alikubali.
Nyerere aliweka muundo wa Serikali 2 ili kutoimeza Zanzibar kama nchi. Alikataa kabisa kuifanya Zanzibar kuwa Mkoa. Hata hivyo vita baridi ilikwisha mwaka 1989 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin. Ushahidi upo kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba uliotaka Serikali 3.
Sababu ya kuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa hazipo. Tunahitaji tu kuwa na ushirikiano kama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Yeyote anayetaka ridhaaa ya kura za Wazanzibari lazima aongelee "sovereignty ya Zanzibar" as a country.
Zanzibar ilikuwa tajiri sana kuliko Oman kabla ya mwaka 1960 na ndiyo sababu Sultan Seyyid Said alihamisha Makao makuu ya Sultanate of Oman kwenda Zanzibar mmamo 1840. Mwaka 1960 kwa mfano Zanzibar ilikuwa na kilometres 22 za barabara ya lami wakati Oman ilikuwa haina. Leo hii Oman ni nchi tajiri sana baada ya kugundua raslimali za mafuta mpaka imekuwa nchi mfadhili.
Mimi ni Mtanganyika naamini kuwa muda wa kuendelea kuishikilia Zanzibar umekwisha. Tuwaache wapate maendeleo kipitia OIC na waanzishe bandari huru kama ilivyo Singapore na Dubai.
Zanzibar imecheleweshwa mno kiuchumi kwa kuwa ndani ya Tanganyika.
Tatizo la Mafisi wa CCM wanadai @ anatekeleza ILANI YA UCHAGUZI YA CCM!!"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge