Hiyo PhD kasomea nini. Maana nyingi za kibongo hazina impact kwa jamiiKatibu Dr Vicent Mashinji anasubiri kuteuliwa kuwa DC (Mkuu Wa Wilaya). Ama kweli watu wanazilawiti elimu zao. [emoji28][emoji1][emoji2]
Chadema imeigawa nchi kwa Kanda , viongozi wa Kanda ndio walezi wa madiwani na wabunge wa kanda zote , ondoa shaka kwenye hiloMimi naomba nikuulize swali moja tu mkuu Erythrocyte:
Hivi huko vijijini, mijini na mitaani, bado mnao madiwani?
Kama bado wapo, hao ndio watu wa chama. Hao ndio watu wa kuwekeza kila raslimali mlizonazo.
Ni bahati mbaya sana mnawekeza sehemu ambazo matokeo yake kwa chama ni hafifu.
Chama kinatakiwa kiwe zaidi huko mitaani, nyinyi mnang'ang'ania makao makuu!
Lakini athari zake zilionekana alipokua CHADEMASlaa alipokelewa chadema baada ya kukatwa ccm , kwahiyo hakutokea chadema , alikuwa kama lowassa , mwambe au Sumaye
Mmeishiwa hoja sasa hivi mnaongea pumba.Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti .
Sasa nampelekea ujumbe kwamba , ili Magazeti yaandike habari kama anavyotaka yeye basi afanye hivi , awanunue Lissu , Mnyika na Mbowe , akifanikiwa kununua hawa basi habari yake itaandikwa dunia nzima tena kwa miezi 6 mfululizo , lakini kuwanunua watu duni ambao chadema ilishawabwaga kama Dr Mashinji na Cecil Mwambe kila mara utaendelea kushutumu magazeti .
Si Mashinji huyo tuliyekuwa tunapishana naye palu Ufipa labda mwingine. Hivi wajua ndiye msomi pekee kule kolomije? Hivi wajua ndiye jasusi lisomi lililokuwa kule ufipa kwa kazi maalumu?Katibu Dr Vicent Mashinji anasubiri kuteuliwa kuwa DC (Mkuu Wa Wilaya). Ama kweli watu wanazilawiti elimu zao. [emoji28][emoji1][emoji2]
umekuja kufanya nini sasa ?Mmeishiwa hoja sasa hivi mnaongea pumba.
Sasa uzi gani huu?
Ilitakiwa viongozi wote wa upinzani (Zitto, Mbowe, Maalim Seif, Lipumba, Mnyika, Haji Duni, Sugu, Professa Jay, Ado Shaibu, Abdul Nondo, Lissu, Halima Mdee, Ester Matiku, Ester Bulaya, Mbunge Bwege na wengine wote) wahamie CCM kwa pamoja, kuanzia ngazi za taifa mpaka vitongoji na mitaa, tena kwa kushtukiza.
Nina uhakika CCM wenyewe wangeogopa.
Kukosa hekima ni mzigo kwa chama.Mjifariji tu jamaa wamechukua engine room nyie mnakula moshi halafu mnajisifia uselamavi
Tena wanaweweseka sanaBado kuna hali ya kuweweseka sana humu kwa hizi siku za karibuni. Jaribuni kujipa utulivu.
Mashinji aliijua Chadema kuliko Dr Slaa ?Tena wanaweweseka sana
Inawezekana Dr. Mashinji sio maarufu na hana ushawishi, bado ni vema kujaribu kujiuliza anaijua CHADEMA kiasi gani, yuko tayari kutoa siri kiasi gani
Wakati huo tuzingatie haiba ya chama chenyewe.
Chenye ubadhirifu, ukosefu wa demokrasia, upendeleo, umafia na udikteta wa Mh. Mbowe mtu lazima uwaze mara mbili.
Chama ambacho CAG Assad alisema kuna Akaunti mia, hakuna daftari la mali za chama,
Chama ambacho wabunge wanachangishwa zaidi ya milioni 80 kila mwezi halafu baadae 3.6 Bilion zinazowekwa kwenye akaunti hiyo zinatoweka na hakuna mbunge mwenye ujasiri wa kuuliza
Chama chenye Red Brigade kikosi chenye intelijensia kali kiasi hiki basi ni wazi mtendaji mkuu akiamua kujilipua ni majanga sana
Huenda CCM hawajamnunua Mashinji Bali wamenunua taarifa alizonazo
Kuijua CHADEMA ni jambo moja kuanika uozo ni jambo jingine. Slaa alikuwa na kifuaMashinji aliijua Chadema kuliko Dr Slaa ?
Chadema haina mipango yoyote ya kulipua nchi , tegemeo kubwa ni wananchiKuijua CHADEMA ni jambo moja kuanika uozo ni jambo jingine. Slaa alikuwa na kifua
Siku Lissu akinunuliwa basi na mimi rasmi. kwenye siasa Lolote linawezekekana . njaa ni kitu hatari sana...na wengi huwa wanakamatiwa hapo....Mkuu jiamini ww kama ww basi!
Inawezekana udc unalipa sana kuliko ukatibu wa chama chetu pendwa. Kuanzia heshima na madili.Katibu Dr Vicent Mashinji anasubiri kuteuliwa kuwa DC (Mkuu Wa Wilaya). Ama kweli watu wanazilawiti elimu zao. [emoji28][emoji1][emoji2]
Halafu Ruzuku wamuacbie nani ?Ilitakiwa viongozi wote wa upinzani (Zitto, Mbowe, Maalim Seif, Lipumba, Mnyika, Haji Duni, Sugu, Professa Jay, Ado Shaibu, Abdul Nondo, Lissu, Halima Mdee, Ester Matiku, Ester Bulaya, Mbunge Bwege na wengine wote) wahamie CCM kwa pamoja, kuanzia ngazi za taifa mpaka vitongoji na mitaa, tena kwa kushtukiza.
Nina uhakika CCM wenyewe wangeogopa.
kwani mbowe ni mpinzani?ππππ
[emoji16][emoji16]hii nomaIlitakiwa viongozi wote wa upinzani (Zitto, Mbowe, Maalim Seif, Lipumba, Mnyika, Haji Duni, Sugu, Professa Jay, Ado Shaibu, Abdul Nondo, Lissu, Halima Mdee, Ester Matiku, Ester Bulaya, Mbunge Bwege na wengine wote) wahamie CCM kwa pamoja, kuanzia ngazi za taifa mpaka vitongoji na mitaa, tena kwa kushtukiza.
Nina uhakika CCM wenyewe wangeogopa.
Hata mtz wa kawaida asiyejua siasa Dr Mashinji hakuwahi kuwa Dr Slaa...alipwaya, alipwelepeta, watz wengi ukiwauliza ni nani hawamjui...
Everyday is Saturday..................π