CCM ikitaka kupata Airtime ya kutosha iwanunue Mbowe, Mnyika na Tundu Lissu hawa mnaowanunua mtafirisika bila mafanikio

CCM ikitaka kupata Airtime ya kutosha iwanunue Mbowe, Mnyika na Tundu Lissu hawa mnaowanunua mtafirisika bila mafanikio

Mimi naomba nikuulize swali moja tu mkuu Erythrocyte:

Hivi huko vijijini, mijini na mitaani, bado mnao madiwani?

Kama bado wapo, hao ndio watu wa chama. Hao ndio watu wa kuwekeza kila raslimali mlizonazo.

Ni bahati mbaya sana mnawekeza sehemu ambazo matokeo yake kwa chama ni hafifu.

Chama kinatakiwa kiwe zaidi huko mitaani, nyinyi mnang'ang'ania makao makuu!
Chadema imeigawa nchi kwa Kanda , viongozi wa Kanda ndio walezi wa madiwani na wabunge wa kanda zote , ondoa shaka kwenye hilo
 
Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti .

Sasa nampelekea ujumbe kwamba , ili Magazeti yaandike habari kama anavyotaka yeye basi afanye hivi , awanunue Lissu , Mnyika na Mbowe , akifanikiwa kununua hawa basi habari yake itaandikwa dunia nzima tena kwa miezi 6 mfululizo , lakini kuwanunua watu duni ambao chadema ilishawabwaga kama Dr Mashinji na Cecil Mwambe kila mara utaendelea kushutumu magazeti .
Mmeishiwa hoja sasa hivi mnaongea pumba.
Sasa uzi gani huu?
 
Katibu Dr Vicent Mashinji anasubiri kuteuliwa kuwa DC (Mkuu Wa Wilaya). Ama kweli watu wanazilawiti elimu zao. [emoji28][emoji1][emoji2]
Si Mashinji huyo tuliyekuwa tunapishana naye palu Ufipa labda mwingine. Hivi wajua ndiye msomi pekee kule kolomije? Hivi wajua ndiye jasusi lisomi lililokuwa kule ufipa kwa kazi maalumu?
Basi tutegemee licheo likubwa ka bhakshishi kwa kazi nzuri aliofanya kule
 
Some one is looking for survival but it is not SURVIVAL OF THE FITTEST. Yuda alitafuta survival kwa vipande 30 vya fedha but alisaliti.. na hivi haku survive!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nondo ni nani?
Ilitakiwa viongozi wote wa upinzani (Zitto, Mbowe, Maalim Seif, Lipumba, Mnyika, Haji Duni, Sugu, Professa Jay, Ado Shaibu, Abdul Nondo, Lissu, Halima Mdee, Ester Matiku, Ester Bulaya, Mbunge Bwege na wengine wote) wahamie CCM kwa pamoja, kuanzia ngazi za taifa mpaka vitongoji na mitaa, tena kwa kushtukiza.

Nina uhakika CCM wenyewe wangeogopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado kuna hali ya kuweweseka sana humu kwa hizi siku za karibuni. Jaribuni kujipa utulivu.
 
Bado kuna hali ya kuweweseka sana humu kwa hizi siku za karibuni. Jaribuni kujipa utulivu.
Tena wanaweweseka sana
Inawezekana Dr. Mashinji sio maarufu na hana ushawishi, bado ni vema kujaribu kujiuliza anaijua CHADEMA kiasi gani, yuko tayari kutoa siri kiasi gani
Wakati huo tuzingatie haiba ya chama chenyewe.
Chenye ubadhirifu, ukosefu wa demokrasia, upendeleo, umafia na udikteta wa Mh. Mbowe mtu lazima uwaze mara mbili.
Chama ambacho CAG Assad alisema kuna Akaunti mia,
hakuna daftari la mali za chama,
Chama ambacho wabunge wanachangishwa zaidi ya milioni 80 kila mwezi halafu baadae 3.6 Bilion zinazowekwa kwenye akaunti hiyo zinatoweka na hakuna mbunge mwenye ujasiri wa kuuliza.

Chama ambacho kila mwaka kinafadhiliwa na mwenyekiti hata kama wana RUZUKU inayokaribia milion 300
Chama ambacho wanaonunua gari kwa USD 63,000/= kisha Majanja mmoja najimilikisha
Chama chenye Red Brigade na kikosi chenye intelijensia kali kiasi hiki ......Basi ni wazi mtendaji mkuu akiamua kujilipua ni majanga sana
Huenda CCM hawajamnunua Mashinji Bali wamenunua taarifa alizonazo
 
Tena wanaweweseka sana
Inawezekana Dr. Mashinji sio maarufu na hana ushawishi, bado ni vema kujaribu kujiuliza anaijua CHADEMA kiasi gani, yuko tayari kutoa siri kiasi gani
Wakati huo tuzingatie haiba ya chama chenyewe.
Chenye ubadhirifu, ukosefu wa demokrasia, upendeleo, umafia na udikteta wa Mh. Mbowe mtu lazima uwaze mara mbili.
Chama ambacho CAG Assad alisema kuna Akaunti mia, hakuna daftari la mali za chama,
Chama ambacho wabunge wanachangishwa zaidi ya milioni 80 kila mwezi halafu baadae 3.6 Bilion zinazowekwa kwenye akaunti hiyo zinatoweka na hakuna mbunge mwenye ujasiri wa kuuliza
Chama chenye Red Brigade kikosi chenye intelijensia kali kiasi hiki basi ni wazi mtendaji mkuu akiamua kujilipua ni majanga sana
Huenda CCM hawajamnunua Mashinji Bali wamenunua taarifa alizonazo
Mashinji aliijua Chadema kuliko Dr Slaa ?
 
Ilitakiwa viongozi wote wa upinzani (Zitto, Mbowe, Maalim Seif, Lipumba, Mnyika, Haji Duni, Sugu, Professa Jay, Ado Shaibu, Abdul Nondo, Lissu, Halima Mdee, Ester Matiku, Ester Bulaya, Mbunge Bwege na wengine wote) wahamie CCM kwa pamoja, kuanzia ngazi za taifa mpaka vitongoji na mitaa, tena kwa kushtukiza.

Nina uhakika CCM wenyewe wangeogopa.
Halafu Ruzuku wamuacbie nani ?
 
[emoji16][emoji16]hii noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom