CCM imeanza kampeni uchaguzi 2025. Jokate amuombea kura Samia, apiga magoti

Watu wakishiriki uchaguzi ntawashanga kweli

Ova
CCM haiwezii kubadilisha sheria za Uchaguzi wa mfumo wa Chama kimoja ni mpaka wawekewe vikwazo vya kutosafiri na kukamata fedha zao wanazoficha nje ya Nchi
 
Ukishakuwa kiongozi huna mambo binafsi, narudia tena kwa ninyi UVCCM , ukwa kiongozi wa umma hata ukipiga chafya inatuhusu watanzania wote.
Kwahiyo hata ukienda kulewa na kulala baa ni mambo yako binafsi, wakati unapogazma ujue kila kitu

Ukishakuwa kiongozi huna mambo binafsi, narudia tena kwa ninyi UVCCM , ukwa kiongozi wa umma hata ukipiga chafya inatuhusu watanzania wote.
Kwahiyo hata ukienda kulewa na kulala baa ni mambo yako binafsi, wakati unapogazma ujue kila kitu ni cha umma.
Kweli kuna mtoto anazaliwa hana baba au hili ni tusi laini linalokubalika kwa kuwa anayeshambuliwa ni Jokate. Unapoandika habari binafsi za viongozi uwe tayari kwa lolote hasa kama kuna chembe ya kumvunjia heshima kiongozi.
 
Kweli kuna mtoto anazaliwa hana baba au hili ni tusi laini linalokubalika kwa kuwa anayeshambuliwa ni Jokate. Unapoandika habari binafsi za viongozi uwe tayari kwa lolote hasa kama kuna chembe ya kumvunjia heshima kiongozi.
Kwenye makutano ya Ubungo, Mnazi mmoja , posta , oysterbay wale watoto wana baba?
 
Hapo unamtusi kiongozi, mtoto wake hayupo barabarani akiomba msaada.
Jiunge forum ya watoto huku hukuwezi, hujui lugha na naona unataka kunichefua tu, sana sana nitafukunyua habari zako nilale mbele na wewe
 
Single mother wa Taifa....

CCM inaweza kila kitu. Hata wakienda kupambana kuzimu kumchagua mtawala wanashinda kwa kura zote hata za shetty mwenyewe itahesabika kwao
 
CCM tumechelewa sana kuanza kampeni.Wenzetu Chadema walianza siku mrefu zaidi.
 
CCM tumechelewa sana kuanza kampeni.Wenzetu Chadema walianza siku mrefu zaidi.
Wanaomba miaka 5 kabla ya mitano kuisha, Wnomba waongezewe muda wa kuongeza nauli, kuongeza tozo , kukata umeme na kuboresha masiha ya wawekezaji na wamasai wote wahamie Tanga.
 
Kama Mtanganyika hawezi gombea urais Zanzibar kadhalika Mzanzibari hawezi gombea uraisi wa Tanganyika(Jamhuri ya Muungano). Ukweli mchungu apishe TU. Aking'ang'ana damu nyingi zitamwagika ili yeye ashinde na udhalimu mwingi kutendeka kisa kulazimisha mambo. Halafu watu tunapenda mabadiliko na mabadiliko ndo maisha. Huwezi kula ugali siku zote mpaka kufa, huwezi Vaa nguo moja mpaka kufa, sheria hubadilika, vitu hudadilika, CCM NINI HATA KISIJE CHAMA KINGINE!! .
 
Jiunge forum ya watoto huku hukuwezi, hujui lugha na naona unataka kunichefua tu, sana sana nitafukunyua habari zako nilale mbele na wewe
Tunashindana kwa hoja, si ushabiki, umwamba wa mitandaoni au nguvu yako ya kifedha. Huu mtandao ni wa kila mtu na tusitishane. Sentesi Kama hii ni nini? kama si utoto "nitakufukunyua habari zako nilale mbele na wewe". Ngoma hii umeshindwa kuicheza , umeisha choka kufikiri - mfumo dume, unatumia misuri kupenyeza hoja zake zinazozalilisha wanawake hasa wanaoonekana kufanikiwa kama akina Jokate. Aluta continua!
 
Unaweza kuw ana hoja nzuri lakini hapo mwanzo mambo ya Jokate kupata mtoto bila ndoa rasmi na baba wa mtoto kutojulikana sidhani kama yalikuwa na umuhimu sana.
 
Nchi inavituko sana hii, kweli nimeamini ccm aliondoka nayo Mwl Nyerere
 

Kama hiki kipindi cha "probation period" mambo yamekuwa hivi, itakuwaje akishaingia kipindi chake cha mwisho ambacho hatakuwa tena na wasiwasi wa kuja kuomba tena kura?!

Kwa kweli CCM mtuletee mwingine. Huyu wa sasa, hapana.
 
Hayo mambo binafsi ya Jokate unayaweka kwenye uzi huu kwa sababu gani? Wewe kama ni mtu uliyekamilika na huna madhaifu katika hii dunia, mshukuru sana Mungu lakini usiwabeze wasiokuwa na wenza.

Ukishakuwa public figure kubali kufatiliwa.
 

Kweli sikutegemea jokate naye kubwa chawa. Hili inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…