🤣 🤣 🤣 Lucas mwashambwa unatiwa huku. Unaambiwa urudi darasani ukasomee uchawa, bado hujaiva.Huyu ndo chawa sasa,lucas mshambwabwaaaa akasome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 Lucas mwashambwa unatiwa huku. Unaambiwa urudi darasani ukasomee uchawa, bado hujaiva.Huyu ndo chawa sasa,lucas mshambwabwaaaa akasome
🤣🤣🤣💬Huyu ndo chawa sasa,lucas mshambwabwaaaa akasome
CCM haiwezii kubadilisha sheria za Uchaguzi wa mfumo wa Chama kimoja ni mpaka wawekewe vikwazo vya kutosafiri na kukamata fedha zao wanazoficha nje ya NchiWatu wakishiriki uchaguzi ntawashanga kweli
Ova
Ukishakuwa kiongozi huna mambo binafsi, narudia tena kwa ninyi UVCCM , ukwa kiongozi wa umma hata ukipiga chafya inatuhusu watanzania wote.
Kwahiyo hata ukienda kulewa na kulala baa ni mambo yako binafsi, wakati unapogazma ujue kila kitu
Kweli kuna mtoto anazaliwa hana baba au hili ni tusi laini linalokubalika kwa kuwa anayeshambuliwa ni Jokate. Unapoandika habari binafsi za viongozi uwe tayari kwa lolote hasa kama kuna chembe ya kumvunjia heshima kiongozi.Ukishakuwa kiongozi huna mambo binafsi, narudia tena kwa ninyi UVCCM , ukwa kiongozi wa umma hata ukipiga chafya inatuhusu watanzania wote.
Kwahiyo hata ukienda kulewa na kulala baa ni mambo yako binafsi, wakati unapogazma ujue kila kitu ni cha umma.
Kwenye makutano ya Ubungo, Mnazi mmoja , posta , oysterbay wale watoto wana baba?Kweli kuna mtoto anazaliwa hana baba au hili ni tusi laini linalokubalika kwa kuwa anayeshambuliwa ni Jokate. Unapoandika habari binafsi za viongozi uwe tayari kwa lolote hasa kama kuna chembe ya kumvunjia heshima kiongozi.
Hapo unamtusi kiongozi, mtoto wake hayupo barabarani akiomba msaada.Kwenye makutano ya Ubungo, Mnazi mmoja , posta , oysterbay wale watoto wana baba?
Jiunge forum ya watoto huku hukuwezi, hujui lugha na naona unataka kunichefua tu, sana sana nitafukunyua habari zako nilale mbele na weweHapo unamtusi kiongozi, mtoto wake hayupo barabarani akiomba msaada.
Nimeona ni UVCCM sana kale katoto ka Zanzibar, nakupumzisha , nitakurudia baada ya kupata supu ya utumbo.Hapo unamtusi kiongozi, mtoto wake hayupo barabarani akiomba msaada.
Single mother wa Taifa....
View attachment 2843509
Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake UWT, Jokate Mwegelo amewapigia magoti Wananchi wa Mbinga Mkoani Ruvuma ambako ndiko nyumbani kwao akiwashukuru kwa kumlea huku akiwaomba wamuombee na wamuunge mkono Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na kumpa kura nyingi za Urais mwaka 2025 kwa heshima aliyowapa Mbinga kutokana na kumteua yeye kuwa Katibu Mkuu wa UWT.
“Nimekuja kwa Wazee wangu nyumbani kwa Wazazi wangu mnipe baraka zenu na naamini jinsi nilivyoingia sio kama nitakavyotoka nikitoka moto utawaka, nimekuja kupata baraka zenu lakini naomba niwapigie magoti niwashukuru yaani nawashukuru mno, mniombee mnitie nguvu kazi hii huko nyuma walikuwa wanapewa akina Mama wazitowazito lakini safari hii nimepewa Mimi”“Niko tayari kusumbuliwa na kutumika Mimi ni Mtumishi wenu, tushikamane , tupendane , tuombeane kheri, mmenilea mmenitunza nimerudi kwenye ardhi ya Wazazi wangu”
“Naomba tumuunge mkono Rais Samia kwa heshima aliyotupa Wana Mbinga kuniteua Mimi Mtoto wenu, zawadi pekee ninayoomba na wala msinipatie Mimi hizi zawadi tumpatie Mh. Rais kura za kishindo kutoka Mbinga tukatae Watu wanaokuja kutudanganya nasikia wanapitapita Wazee wangu tusiruhusu hayo mambo”
Wanaomba miaka 5 kabla ya mitano kuisha, Wnomba waongezewe muda wa kuongeza nauli, kuongeza tozo , kukata umeme na kuboresha masiha ya wawekezaji na wamasai wote wahamie Tanga.CCM tumechelewa sana kuanza kampeni.Wenzetu Chadema walianza siku mrefu zaidi.
Tunashindana kwa hoja, si ushabiki, umwamba wa mitandaoni au nguvu yako ya kifedha. Huu mtandao ni wa kila mtu na tusitishane. Sentesi Kama hii ni nini? kama si utoto "nitakufukunyua habari zako nilale mbele na wewe". Ngoma hii umeshindwa kuicheza , umeisha choka kufikiri - mfumo dume, unatumia misuri kupenyeza hoja zake zinazozalilisha wanawake hasa wanaoonekana kufanikiwa kama akina Jokate. Aluta continua!Jiunge forum ya watoto huku hukuwezi, hujui lugha na naona unataka kunichefua tu, sana sana nitafukunyua habari zako nilale mbele na wewe
Unaweza kuw ana hoja nzuri lakini hapo mwanzo mambo ya Jokate kupata mtoto bila ndoa rasmi na baba wa mtoto kutojulikana sidhani kama yalikuwa na umuhimu sana.
View attachment 2843509
Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake UWT, Jokate Mwegelo amewapigia magoti Wananchi wa Mbinga Mkoani Ruvuma ambako ndiko nyumbani kwao akiwashukuru kwa kumlea huku akiwaomba wamuombee na wamuunge mkono Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na kumpa kura nyingi za Urais mwaka 2025 kwa heshima aliyowapa Mbinga kutokana na kumteua yeye kuwa Katibu Mkuu wa UWT.
“Nimekuja kwa Wazee wangu nyumbani kwa Wazazi wangu mnipe baraka zenu na naamini jinsi nilivyoingia sio kama nitakavyotoka nikitoka moto utawaka, nimekuja kupata baraka zenu lakini naomba niwapigie magoti niwashukuru yaani nawashukuru mno, mniombee mnitie nguvu kazi hii huko nyuma walikuwa wanapewa akina Mama wazitowazito lakini safari hii nimepewa Mimi”“Niko tayari kusumbuliwa na kutumika Mimi ni Mtumishi wenu, tushikamane , tupendane , tuombeane kheri, mmenilea mmenitunza nimerudi kwenye ardhi ya Wazazi wangu”
“Naomba tumuunge mkono Rais Samia kwa heshima aliyotupa Wana Mbinga kuniteua Mimi Mtoto wenu, zawadi pekee ninayoomba na wala msinipatie Mimi hizi zawadi tumpatie Mh. Rais kura za kishindo kutoka Mbinga tukatae Watu wanaokuja kutudanganya nasikia wanapitapita Wazee wangu tusiruhusu hayo mambo”
Nchi inavituko sana hii, kweli nimeamini ccm aliondoka nayo Mwl Nyerere

Kama hiki kipindi cha "probation period" mambo yamekuwa hivi, itakuwaje akishaingia kipindi chake cha mwisho ambacho hatakuwa tena na wasiwasi wa kuja kuomba tena kura?!
View attachment 2843509
Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake UWT, Jokate Mwegelo amewapigia magoti Wananchi wa Mbinga Mkoani Ruvuma ambako ndiko nyumbani kwao akiwashukuru kwa kumlea huku akiwaomba wamuombee na wamuunge mkono Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na kumpa kura nyingi za Urais mwaka 2025 kwa heshima aliyowapa Mbinga kutokana na kumteua yeye kuwa Katibu Mkuu wa UWT.
“Nimekuja kwa Wazee wangu nyumbani kwa Wazazi wangu mnipe baraka zenu na naamini jinsi nilivyoingia sio kama nitakavyotoka nikitoka moto utawaka, nimekuja kupata baraka zenu lakini naomba niwapigie magoti niwashukuru yaani nawashukuru mno, mniombee mnitie nguvu kazi hii huko nyuma walikuwa wanapewa akina Mama wazitowazito lakini safari hii nimepewa Mimi”“Niko tayari kusumbuliwa na kutumika Mimi ni Mtumishi wenu, tushikamane , tupendane , tuombeane kheri, mmenilea mmenitunza nimerudi kwenye ardhi ya Wazazi wangu”
“Naomba tumuunge mkono Rais Samia kwa heshima aliyotupa Wana Mbinga kuniteua Mimi Mtoto wenu, zawadi pekee ninayoomba na wala msinipatie Mimi hizi zawadi tumpatie Mh. Rais kura za kishindo kutoka Mbinga tukatae Watu wanaokuja kutudanganya nasikia wanapitapita Wazee wangu tusiruhusu hayo mambo”
Watapora tu tena kwa uwazi, Trust me!
Hawa Mashetani hawamuogopi hata Mungu na wala hofu.
Hayo mambo binafsi ya Jokate unayaweka kwenye uzi huu kwa sababu gani? Wewe kama ni mtu uliyekamilika na huna madhaifu katika hii dunia, mshukuru sana Mungu lakini usiwabeze wasiokuwa na wenza.
Wacha tuone kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii kama sio katibu mkuu kiongozi basi ni waziri mkuu atakuwa mwanamke!
Extremely saddening. Haelewi utawala bora, inashangaza sana.
Kwa saab Jokate alisoma shule za awali ubalozini USA, wakati wanarudi nyumbani wao ndio walionekana wana exposure mtaani. Ungedhani labda msingi wa elimu ya uzunguni na exposure na Kiingereza vingemsaidia kuisoma zaidi dunia na kuelewa mambo ya utawala bora.
Cha ajabu yeye ndio ana act kiswahili kuliko viongozi wenzake waliozaliwa na kukulia Tandale, Liwale, Kisarawe, hawajawahi hata kuijua Nairobi.
Kwenye kusukuma maendeleo ya nchi Maadili na Uzalendo ni muhimu kuliko Elimu na Exposure.