CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

Tatu, kesi kusikiliza gizani. Kwa amri ya mahakama Kuu ni kwamba kesi ya Lissu haitakiwi kurushwa au kuchapishwa na chombo chochote Cha habari. Hii itakuwa kesi ya kwanza ya uhaini kutochapishwa popote. Maana yake hata waliopo mahakamani hawaruhusiwi kuandika chochote kuhusu hiyo kesi. Maana ni kwamba hata kama mahakama imekosea.🥺🥺🥺🥺
 
Jaji hana Akili hawa ndio wale wakifa watu wanafanya Sherehe, siwalaumu watu badala hakimu/jaji atoe maamuzi kwa kuangalia usawa na sheria inavyotaka anatoa maamuzi kwa kuangalia uchawa na maelezo kutoka juu
 
Litakuwa jambo baya,na watu watweweseka na watawala pia!
 
Hakimu alivyokuwa anasoma, ni dhahri hakuwa anasoma alichoandika yeye.

Imenikumbisha kauli ya Tibaijuka kuwa aliambiwa na Ndugai, kuvuliwa ubunge Lissu yalikuwa maagizo toka Ikulu.
Kwa kweli inafikirisha. Hakimu anajirudiarudia, hajui kituo kipo wapi, anapata kigugumizi.

Angeandika mwenyewe vigumu hayo kutokea.
 
mkuu ondoa shaka hakuna kesi pale ya kumfunga au kumuua lisu. wanamwogopa na walitafuta sababu ya kutokupata dhamana ila sahau kabisa kunyongwa au kufungwa maisha , isipokuwa walijua wazi wakimwacha nje ukizingatia misimamo wake na oparesheni Ile .........pasingekalika japo Bado Wana hahaha
 

Nashangaa sana Mkuu. Eti kurusha live kesi kunahatarisha mashahidi. Uongo kabisa.
 
Usiingilie mahakama asipokutwa na hatia ataachiwa akikutwa na hatia atanyongwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…