CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

Lissu alijifanya yupo juu ya Sheria wakati Sheria zenyewe hajui
 
Hakimu alivyokuwa anasoma, ni dhahri hakuwa anasoma alichoandika yeye.

Imenikumbisha kauli ya Tibaijuka kuwa aliambiwa na Ndugai, kuvuliwa ubunge Lissu yalikuwa maagizo toka Ikulu.

Ni kweli kabisa. Alikuwa anasoma kitu hajakiandika yeye.
 
Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM.

CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na majaji wa kesi hiyo kutekeleza.

Sababu zinazonifanya niamini ya kwamba CCM kupitia mahakama zake imedhamilia mumnyonga Lissu ni yafuatayo.

1. Kwanza, Hakimu kukubali kila ombi la upande wa mashtaka hata halikiwepo. Nimeshangaa Leo Wakili wa serikali anamuomba Hakimu atoe Amri kabla ya Rulling na kweli Hakimu akatoa Amri kabla ya Rulling.

2. Pili, kukubali kuficha mashahidi baadala ya kuwalinda. Yani mahakama imeamua kuwa na mashahidi ambao hawatajulikana kwa majina. Yote hii ni kutengeneza mashahidi wa uongo watakao kuja kutoa ushahidi wa uongo na wa kutunga ili mahakama imnyonge Lissu kwa kutumia mashahidi wa mchongo.

3. Tatu, kesi kusikiliza gizani. Kwa amri ya mahakama Kuu ni kwamba kesi ya Lissu haitakiwi kurushwa au kuchapishwa na chombo chochote Cha habari. Hii itakuwa kesi ya kwanza ya uhaini kutochapishwa popote. Maana yake hata waliopo mahakamani hawaruhusiwi kuandika chochote kuhusu hiyo kesi. Maana ni kwamba hata kama mahakama imekosea.

Hivyo basi nikiri ya kwamba kwa Sasa serikali ya CCM imedhamilia kumnyomga Lissu hata iweje.
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20250817_164133_0000.png
 
Kutokana na kuwepo kwa Mifarakano mikubwa katika Nchi hii, Chuki kubwa sana kupita kiasi, uovu wa kutisha na udhalimu ulioshamiri, ni hatari kubwa sana kupita kiasi kwa Mtu yoyote yule kumiliki au kuendesha pikipiki na baiskeli hizo zilizogawiwa kwa Wananchi Kama Rushwa ya uchaguzi

Ni kweli kabisa.
 
Teknolojia imekua sana kuna mpaka pen na vifungo vinavyofungwa Camera kwa hio bwana Jaji Oda na Oda zake wanajisumbua tu, hao mashahidi labda wasiwapeleke Mahakamani maana wakiwapeleka Mahakamani siku hio hio watajulikana na watatambulika ni akina nani kwa hio mkumbusheni huyo Jaji na huyo Wakili kilaza wa Serikali kua hio mbinu yao inaenda kufeli

Mashahidi watajulikana ni akaina nani hata kabla kesi haijaanza mahakama Kuu.
 
Hapa ndio kwanza watu wanapasha kile kilichotokea usiku Ndugai kafariki ilikuwa ni rasha rasha watu watajua kwanini ile siku walishangilia na walishangilia kidogo tu bado.

Nchi haijafika hapo kwa bahati mbaya wa kubeba lawama wanajulikana.

Kweli kabisa mkuu.
 
Yule anatumiwa vimemo kwenye laptop yake kwani hamjagundua tu mpaka leo, duh nimeshangaa hamjalijua hilo kwamba Jaji yupo under control hana maamuzi yeye km yeye

Nilishangaa wakili wa serikali kumuomba asome amri kabla ya Rulling naye akasoma amri ingawa ilikuwa imekaa kama ruling. Yule wakili wa serikali ndio anamwandikia Hakimu zile rulling.
 
Teknolojia imekua sana kuna mpaka pen na vifungo vinavyofungwa Camera kwa hio bwana Jaji Oda na Oda zake wanajisumbua tu, hao mashahidi labda wasiwapeleke Mahakamani maana wakiwapeleka Mahakamani siku hio hio watajulikana na watatambulika ni akina nani kwa hio mkumbusheni huyo Jaji na huyo Wakili kilaza wa Serikali kua hio mbinu yao inaenda kufeli
Haa umenikumbusha zile camera walizo wakamata watu kule arusha walikuwa wanachungulia dudu hata kama umevaa nguo
 
Hapa washafeli pakubwa sana labda wasiendelee na kesi ila lazima watachapishwa tu, km wakitaka kuwaua wachipishaji wawaue tu ila hao mashahidi lazima wachapishwe kila mtu awaone na majina yao mpaka ya mama zao na shangazi zao

Nimeona Hakimu anapiga mikwara kwa atakaye chapisha nikashangaa Sana.
 
Back
Top Bottom