CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

Huyo Hakimu analeta mambo ya kuzuia na teknolojia ilivyokua unazuia nini na mashahidi unawaita mahakamani waache watu wachapishe km hutaki wachukue hao mashahidi nenda kajifungie na mkeo Chumbani kwako huko uchukue ushahidi, kinyume na hapo watu lazima watakufurahisha
Wanazidi kumuharibia boss wao tu..!!
Kesi kubwa km hiyo ilikuwa sio ya kuzuia kuwa live..!!
 
Kajiua mwenyewe, atanyongwa hadi kufa, alijitakua mwenyewe. Mtu pekee wa kumuomoa sasa ni Rais wa Tanzania, anaweza kufuta kunyongwa auu kuthibitisha. Sasa wa atakuwa CHADEMA waandae mahafali ya kumuomba Mana amsamehe. Yule Abduli amwaliyemtuka na, na Jaji Mkuu waliyemwita Mrithi wa Werema, sasa itabidi
 
Kama walikufa wenye mamlaka na nguvu. Utakufa wewe utamwacha mwamba anadunda
 
Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM.

CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na majaji wa kesi hiyo kutekeleza.

Sababu zinazonifanya niamini ya kwamba CCM kupitia mahakama zake imedhamilia mumnyonga Lissu ni yafuatayo.

1. Kwanza, Hakimu kukubali kila ombi la upande wa mashtaka hata halikiwepo. Nimeshangaa Leo Wakili wa serikali anamuomba Hakimu atoe Amri kabla ya Rulling na kweli Hakimu akatoa Amri kabla ya Rulling.

2. Pili, kukubali kuficha mashahidi baadala ya kuwalinda. Yani mahakama imeamua kuwa na mashahidi ambao hawatajulikana kwa majina. Yote hii ni kutengeneza mashahidi wa uongo watakao kuja kutoa ushahidi wa uongo na wa kutunga ili mahakama imnyonge Lissu kwa kutumia mashahidi wa mchongo.

3. Tatu, kesi kusikiliza gizani. Kwa amri ya mahakama Kuu ni kwamba kesi ya Lissu haitakiwi kurushwa au kuchapishwa na chombo chochote Cha habari. Hii itakuwa kesi ya kwanza ya uhaini kutochapishwa popote. Maana yake hata waliopo mahakamani hawaruhusiwi kuandika chochote kuhusu hiyo kesi. Maana ni kwamba hata kama mahakama imekosea.

Hivyo basi nikiri ya kwamba kwa Sasa serikali ya CCM imedhamilia kumnyomga Lissu hata iweje.
Kumuua, hawawezi,walijaribu kwa risasi wakati wa yule shetani, uchaguzi Leo, kesho Lisu, yupo huru!
Wakimuua, Lisu, huo moto na, political pressure atakayopatiwa, kizimkazi,atatamani afe azikwe
 
Kuita hii ni njama ya CCM sio sawa. Balozi wa CCM mtaani kwako naye anamshtaki Lissu kwa uhaini? Ibaki kuwa hii ni njama ya watu wachache kwa maslahi yao wenyewe.

Nakubaliana na ww kuwa dalili ya mvua ni mawingu. Kama kwenye kila hoja upande wa mashtaka umeshinda, ni wazi kuwa hata kesi ya msingi Jamhuri watashinda.

Hukumu ya kumnyonga ikitoka, biashara ya Lissu ndio itakuwa imeishia hapo. Hatawasipotekeleza adhabu ya kumyonga watamwacha aozee deathrow maisha yake yate.

Hili litakuwa ni anguko kubwa kabisa la haki za binadamu, uhuru wa maoni na democracy ya ushindani wa vyama vingi.
 
Mahakama kukubali kuendesha kesi gizani ni kukubali kuwa sehemu ya uovu wa waovu.
Mahakama imeuza heshima na haki na kujivisha Uovu
 
Hii Nchi inahitaji ukombozi mwingine tukiacha ule tuliopata kutoka klwa Mzungu,
Wananchi tunaona dhuluma na uonevu lakini tunaishia kulalamika tu bila kuchukua hatua yoyote,
Vyama vya upinzani vinafurahia kuiona chadema kwenye mkwamo wa kisiasa na wao wanaichukua kama fursa ya kukwea kisiasa,kumbe wangeungana na kususa wote uchaguzi Reforms zingefanyika tu kwani ccm isingekuwa na uwezo wa kufanya uchaguzi wao wenyewe,
Wananchi tumebakia kimya ,hakuna haki za binadamu wala taasisi za kiraia zinazopaza sauti.
Leo Lissu kabaki mwenyewe bila mtetezi,Tuna safari ndefu sana,ingekuwa Kenya mpinzani kafanyiwa hivi ni maandamano mwanzo mwisho mpaka kieleweke,
 
Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM.

CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na majaji wa kesi hiyo kutekeleza.

Sababu zinazonifanya niamini ya kwamba CCM kupitia mahakama zake imedhamilia mumnyonga Lissu ni yafuatayo.

1. Kwanza, Hakimu kukubali kila ombi la upande wa mashtaka hata halikiwepo. Nimeshangaa Leo Wakili wa serikali anamuomba Hakimu atoe Amri kabla ya Rulling na kweli Hakimu akatoa Amri kabla ya Rulling.

2. Pili, kukubali kuficha mashahidi baadala ya kuwalinda. Yani mahakama imeamua kuwa na mashahidi ambao hawatajulikana kwa majina. Yote hii ni kutengeneza mashahidi wa uongo watakao kuja kutoa ushahidi wa uongo na wa kutunga ili mahakama imnyonge Lissu kwa kutumia mashahidi wa mchongo.

3. Tatu, kesi kusikiliza gizani. Kwa amri ya mahakama Kuu ni kwamba kesi ya Lissu haitakiwi kurushwa au kuchapishwa na chombo chochote Cha habari. Hii itakuwa kesi ya kwanza ya uhaini kutochapishwa popote. Maana yake hata waliopo mahakamani hawaruhusiwi kuandika chochote kuhusu hiyo kesi. Maana ni kwamba hata kama mahakama imekosea.

Hivyo basi nikiri ya kwamba kwa Sasa serikali ya CCM imedhamilia kumnyomga Lissu hata iweje.
Semeni yooooooote lakini huyu Lissu alihisi yeye ana akili sana kuliko wote, anaweza kuropoka na kutukana yeyote. Sawa sasa dawa yake pekee ni kula kitanzi tu!!
 
CCM ni maiti inayotembea, inajua bila kufanya huu ufirauni haiwezi kupata hata madiwani 20 uchaguzi Mkuu.
Swali je uhuni huu watafanya hadi lini?
 
Kajiua mwenyewe, atanyongwa hadi kufa, alijitakua mwenyewe. Mtu pekee wa kumuomoa sasa ni Rais wa Tanzania, anaweza kufuta kunyongwa auu kuthibitisha. Sasa wa atakuwa CHADEMA waandae mahafali ya kumuomba Mana amsamehe. Yule Abduli amwaliyemtuka na, na Jaji Mkuu waliyemwita Mrithi wa Werema, sasa itabidi

Huyo Rais wako unayemwona Mungu anaweza kufa hata kesho mambo yakabadilika. Usimtegemee mwanadamu kihivyo akina ndugai na Magufuli wapo wapi?. Huyo Samiah wako anaweza kufa akamuacha Lissu yupo hai.
 
Kumuua, hawawezi,walijaribu kwa risasi wakati wa yule shetani, uchaguzi Leo, kesho Lisu, yupo huru!
Wakimuua, Lisu, huo moto na, political pressure atakayopatiwa, kizimkazi,atatamani afe azikwe

Wakimuua Lissu karma yake itakuwa mbaya zaidi ya Lumumba.
 
Back
Top Bottom