CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

Tatu, kesi kusikiliza gizani. Kwa amri ya mahakama Kuu ni kwamba kesi ya Lissu haitakiwi kurushwa au kuchapishwa na chombo chochote Cha habari. Hii itakuwa kesi ya kwanza ya uhaini kutochapishwa popote. Maana yake hata waliopo mahakamani hawaruhusiwi kuandika chochote kuhusu hiyo kesi. Maana ni kwamba hata kama mahakama imekosea.🥺🥺🥺🥺

Yani hata taarifa ya habari ITV hawatakiwi kuitangaza.
 
Nashangaa sana Mkuu. Eti kurusha live kesi kunahatarisha mashahidi. Uongo kabisa.
utafanyaje kama mmoja wa mashahidi ni Mnyika let say.
Si mtaenda kumchomea nyumba?
Witness protection ni jambo la kila siku mahakamani
 
Nimeona Hakimu anapiga mikwara kwa atakaye chapisha nikashangaa Sana.
Jaji au Hakimu hatoamini macho yake mashahidi wote wataanikwa labda aende akachukue ushahidi akiwa Chumbani kwake yeye na mkewe
 
Mashahidi wanachekesha kinouma..!!

Wote wameona You tube ndo wamehamasika kufanya vurugu na wamekamatwa wakiwa vijiweni..!! 😹😹

Bora hata hao. Utashangaa meneja wa hoteli kubwa akidai Lissu alikuwa anafanya vikao vya kumpindua serikali hotelini kwake.
 
Haa umenikumbusha zile camera walizo wakamata watu kule arusha walikuwa wanachungulia dudu hata kama umevaa nguo
Huyo Hakimu analeta mambo ya kuzuia na teknolojia ilivyokua unazuia nini na mashahidi unawaita mahakamani waache watu wachapishe km hutaki wachukue hao mashahidi nenda kajifungie na mkeo Chumbani kwako huko uchukue ushahidi, kinyume na hapo watu lazima watakufurahisha
 
mkuu ondoa shaka hakuna kesi pale ya kumfunga au kumuua lisu. wanamwogopa na walitafuta sababu ya kutokupata dhamana ila sahau kabisa kunyongwa au kufungwa maisha , isipokuwa walijua wazi wakimwacha nje ukizingatia misimamo wake na oparesheni Ile .........pasingekalika japo Bado Wana hahaha

Ningekubaliana na wewe kama Hawa mashahidi wa kutengenezwa wasingeletwa.
 
Nilishangaa wakili wa serikali kumuomba asome amri kabla ya Rulling naye akasoma amri ingawa ilikuwa imekaa kama ruling. Yule wakili wa serikali ndio anamwandikia Hakimu zile rulling.
Hakimu kiazi sana mimi tangu nimemwangalia siku ile ya Oda nikajua huyu hakimu huyu mizinguo
 
utafanyaje kama mmoja wa mashahidi ni Mnyika let say.
Si mtaenda kumchomea nyumba?
Witness protection ni jambo la kila siku mahakamani

Mbona mnaogopa Sana. Mbona wakili wa serikali yupo na hakuna anayehangaika naye.
 
Usiingilie mahakama asipokutwa na hatia ataachiwa akikutwa na hatia atanyongwa.

Rostam alishasema kuhusu mahakama za kisutu kupigiwa simu na viongozi wa serikali.
 
Lissu alijifanya yupo juu ya Sheria wakati Sheria zenyewe hajui

Sheria gani hajui. Ingekuwa sheria hajui mpaka Leo information ingekuwa haijapelekwa mahakama Kuu. Utetezi wake ndio umewalazimisha kumpeleka mahakama Kuu.
 
Mpaka hapa Samia ameshachafuka big times busara ilikuwa kuachana na hii case mapema ila mpaka hapa ni muendelezo wa kujipaka mavi usoni.
 
Back
Top Bottom