Ajabu aliye omba kustaafu ana nguvu ya kazi kuliko anae ingia kazini.Kuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Nyie vijana wa uvccm mjifunze jambo. Sio mnakaa mnatukana watu hovyo.Ajabu aliye omba kustaafu ana nguvu ya kazi kuliko anae ingia kazini.
Ila mwakani kitatoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kitamuacha Lissu anabweka tu kama mbwa asiye na madhara! Ahahahahaha!!Hakuna dharau
Na chenyewe kimezeeka,kuwa na wasira ni size yake!
Ww huna hizo busaraKijana awe makamu mwenyekiti wa CCM? Hawa wanaoshindia mitandaoni wakitukanana? Hiyo nafasi inahitaji busara
Busara zinatokana na experience, sasa mtu kamaliza chuo anatembea na bahasha, hajajadili mradi wa maendeleo hata wa milioni 200Ww huna hizo busara
Unaenda kuangalia mechi ya Yanga anaondolewa kwenye mashindano. Unapiga kelele baa au kibanda umiza. Unatoka hapo unaenda nyumbani ukijua familia yako ipo salama salimini. Unafika, unapakuliwa chakula, unakula, una make jokes na watoto wako wakubwa kuhusu matokeo ya Yanga, Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM na Uchaguzi wa Chadema. Baada ya hapo unaenda kulala na kukoroma hadi asubuhi.Wameongoz miaka yote sawa wameleta impact gani kwenye Taifa?
Kuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Umri WA kina mfano jokate kushuka chini hakuna WA kuongoza chama ,usikimbilie jobless maana hao hawana vigezo kabisa ....Makamu kwanza hanaga kazi nyingi kama mwenyekitiBusara zinatokana na experience, sasa mtu kamaliza chuo anatembea na bahasha, hajajadili mradi wa maendeleo hata wa milioni 200
Siyo kweli na hakuna ukweli wa maneno ya Lisu na Team Lisu kuhusu rushwa, hawana ushahidi wowote kuhusu hilo, sio video, sio picha, siyo nyaraka, wala account.Sasa kama unaunga mkono wala rushwa hata wewe utaonekana hivyo hata kama ujala hata mia.
Siyo kweli na hakuna ukweli wa maneno ya Lisu na Team Lisu kuhusu rushwa, hawana ushahidi wowote kuhusu hilo, sio video, sio picha, siyo nyaraka, wala account.
Wao ni matusi na kelele zisizokuwa na msingi wowote, zaidi ya wivu, majungu, na kutaka madaraka kwa malengo yao binafsi.
Ni ujinga na utoto tu, hawana lolote, halafu kwa kubwabwaja huko wanataka washinde waongoze chama, chama gani. Labda wakasajiri chao cha kuropoka hovyo.
HahahaKila nafsi itaonja umauti vijana mtapa nafasi tu!!! msiwaze
Kashawaloga wajumbe wote pale wanapiga kura kama Mazombi tuuKuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?
Umaskimi ni vita binafsi kuundoaMambo ya kichawi tena? Huo uchawi umeshindwa kumaliza tatizo la umaskini, Njaa na shida kibao tu.
Uchawi hauna nafasi kwenye jamii iliyostarabika
We jamaa IQ yako ndogo sana, suala la kuendesha nchi ni pana sana sio suala la kula tu na kuongelea simba na yanga! Hao watoto wake unaowazungumzia future yao ipo vipi? Je wanapata elimu sahihi itayoweza kukabiliana na changamoto za ulimwengu wa sasa au Bora liende?Unaenda kuangalia mechi ya Yanga anaondolewa kwenye mashindano. Unapiga kelele baa au kibanda umiza. Unatoka hapo unaenda nyumbani ukijua familia yako ipo salama salimini. Unafika, unapakuliwa chakula, unakula, una make jokes na watoto wako wakubwa kuhusu matokeo ya Yanga, Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM na Uchaguzi wa Chadema. Baada ya hapo unaenda kulala na kukoroma hadi asubuhi.
Hiyo ndiyo impact. Kama huamini nenda hama na familia yako uende Msumbiji au Sudan nyambafu wewe!
Kama wewe hukupata elimu sahihi pole sana. Mimi niliipata na watoto wangu waliipata na wengine wanaendelea kupata.We jamaa IQ yako ndogo sana, suala la kuendesha nchi ni pana sana sio suala la kula tu na kuongelea simba na yanga! Hao watoto wake unaowazungumzia future yao ipo vipi? Je wanapata elimu sahihi itayoweza kukabiliana na changamoto za ulimwengu wa sasa au Bora liende?
Ndio mana niikakwambia IQ yako ndogo! Kwanini niende burundi wakati nchi yangu ni Tanzania? Kiufupi elimu inatakiwa iboreshwe kukidhi viwango vya sasa na sio kuwaambia watu wapeleke watoto burundiKama wewe hukupata elimu sahihi pole sana. Mimi niliipata na watoto wangu waliipata na wengine wanaendelea kupata.
By the way, watoto wako si uwapeleke Burundi wakapate hiyo elimu sahihi ambayo wewe uliikosa Tanzania?
Nani kati yangu na wewe ana IQ ndogo? Wewe unasema Tanzania elimu haikidhi si ndio? Kwahiyo si uwapeleke watoto wako Burundi? Au unataka waendelee kupata elimu isiyokidhi?Ndio mana niikakwambia IQ yako ndogo! Kwanini niende burundi wakati nchi yangu ni Tanzania? Kiufupi elimu inatakiwa iboreshwe kukidhi viwango vya sasa na sio kuwaambia watu wapeleke watoto burundi
Wassira ndiye mganga wao kwenye uchaguzi japo yeye alibwagwa na binti mdogo.Kuna mambo mengine ni kama dharau.
Watu waliopata fursa miaka mingi huko nyuma na wamestafu bila kuwa na impact ya maana kwenye Taifa wanarudishwa ili iweje?
Hii sio dharau kwa vijana na watu makini ndani ya Chama chetu cha CCM?