Ni kosa la kimfumo Si la Mwanafunzi binafsi,Sasa hilo kiusomi ni kosa la nani zaidi???Msomi husika au serikali ndugu???
Tanzania kutoka kuwa ya tatu kutoka mwisho kwa nchi masikini kabisa Duniani, mpaka kuwa kwenye top Ten ya nchi zenye uchumi mkubwa barani Afrika sio jambo la kitoto... Ni hatua kubwa sana. Wamarekani wanaita a Giant Leap.Hatujafika popote. Tulipofika ni natural course to ya mambo.
Mdogo wangu ndani ya CCM hatuna ukabilaHuyo mleta uzi ni team sukuma gang hivyo inabidi umsamehe tu maana ashapigika vya kutosha.
Kipimo chako ndio hicho kisomi kuipongeza au kuilaumu serikali??Kabla ya Uhuru 80% ya mji wa Dart es salaam ulikuwa Planned na 20 ilikuwa Squatter miaka 60 baada ya uhuru 90% ya dar es salaam Squatter na 10 % ndiyo planned .
Hii unasemaje ni kusonga mbele au kurudi Nyuma?
Ni kosa la kimfumo Si la Mwanafunzi binafsi,
Enzi zile Mwanafunzi alipaata uji na chakula Cha mchana shuleni,
Ndomana tunadai KATIBA mpya Ili tuiue ccm na mfumo kandamizi ktk Nchi.
CCM imekufa kimfumo kutokana na misingi yake haiwezi tena kuendana na wakati na zama za Utandawazi.Mdogo wangu ndani ya CCM hatuna ukabila
Umesahau kuweka namba yako ya simu hapo chini, watakutafutaje?Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Nchi iliwatumia walimu wa Kidato Cha nne enzi zile hatukuwa na WASOMI wengi,Ebu nifafanulie hii point vizuri mdogo wangu
Siwezi kupongeza kwa kupewa huduma ninayostahiki. Bali napongeza kwa kupewa kile nisichostahiki, wewe vipi , hujuwi hata mennas ya Kinchi?Kipimo chako ndio hicho kisomi kuipongeza au kuilaumu serikali??
wachumia tumbo mnajitoa akili, hivi umasikini wote huu na hali ngumu ya maisha unadiriki kuleta utumbo humu?Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Nawapongeza kwa kipi kipindi viongozi wanafanikiwa na wafuasi wanaungua ?Hapana sijatest na sisi wasomi tunaamini katika hoja sio matusi au huo wehu unaoutaja.Karibuni sana tuendelee wasomi
Karibu sana uchangie hoja maana serikali yetu ni sikivu.Karibu sana ndugu yangu ila lugha ya staha zaidi kama msomi ni jambo jema zaidi.Karibuwachumia tumbo mnajitoa akili, hivi umasikini wote huu na hali ngumu ya maisha unadiriki kuleta utumbo humu? tangu uhuru hadi leo ccm bado wanajenga vyumba vya madarasa huku hakuna ajira za walimu, zahanati na hawatoi ajira kwa manesi na madaktari, wanajenga barabara za kichina huko maji yakiwa ya mgao ifike sehemu nyie macc muwe na aibu kusifia ujinga
Naweza kukusaidia, Mfumo wetu wa elimu ni Butu. Unamaliza shule unatafuta ajira, ndivyo sylabus livyoandaliwa.Ebu nifafanulie hii point vizuri mdogo wangu
Labda ungefafanua zaidi hapa kisomi mdauNawapongeza kwa kipi kipindi viongozi wanafanikiwa na wafuasi wanaungua ?
Kwann mko bize kumanage image ya chama kuliko majukumu ?
Kwahiyo wewe unatazama hilo tu na kuona serikali haijafanya lolote tokea 1960??Naweza kukusaidia,
Mfumo wetu wa elimu ni Butu.
Unamaliza shule unatafuta ajira, ndivyo sylabus livyoandaliwa.
Ukifeli unaingia mtaani uanjiajiri kiujasiriamali. Ujuzi umekuwa nadra katika mifumo yetu ya Kishule.
Mhw> Mkapa katika Utawala wake ndio kidogo alijaribu kuleta Mfumowa Veta li kuziba pengo la Kiujuzi
Wajibu unaendana na shukurani mdogo wangu.Au nakosea???Siwezi kupongeza kwa kupewa huduma ninayostahiki. Bali napongeza kwa kupewa kile nisichostahiki, wewe vipi , hujuwi hata mennas ya Kinchi?.
Serikali inawajibu mkubwa sana kwa raia, ikiwemo kumpatia Huduma za Afya, Elimu Bora, Makaazi Bora na Msaada wakati wa Matatizo.
Huu ni wajibu wa Serikali makini na Adilifu.
wajibu wa raia ni kulipa Kodi stahiki na kutii Sheria za Mtawala Muadilifu.
Karibu uendelee tunapokea uchambuzi wakoNchi iliwatumia walimu wa Kidato Cha nne enzi zile hatukuwa na WASOMI wengi,
Umewahi jiuliza Mwalimu aliyefail kidato Cha nne na kusomea ualimu,
Anawezaje kumfundisha Mwanafunzi akafaulu kidato Cha nne ambacho mwalimu Alifail?
ELIMU yetu Ina changamoto kimfumo,
Tunadai KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Unaweza kufafanua zaidi mdau hii pointiTunashukuru kwa yote, ila kaeni pembeni sasa maana mmeshachoka na safari hiyo ndefu.