CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Sasa hilo kiusomi ni kosa la nani zaidi???Msomi husika au serikali ndugu???
Ni kosa la kimfumo Si la Mwanafunzi binafsi,

Enzi zile Mwanafunzi alipaata uji na chakula Cha mchana shuleni,

Ndomana tunadai KATIBA mpya Ili tuiue ccm na mfumo kandamizi ktk Nchi.
 
Kabla ya Uhuru 80% ya mji wa Dar es salaam ulikuwa Planned na 20 ilikuwa Squatter miaka 60 baada ya uhuru 90% ya dar es salaam Squatter na 10 % ndiyo planned.

Hii unasemaje ni kusonga mbele au kurudi Nyuma?
 
Hatujafika popote. Tulipofika ni natural course to ya mambo.
Tanzania kutoka kuwa ya tatu kutoka mwisho kwa nchi masikini kabisa Duniani, mpaka kuwa kwenye top Ten ya nchi zenye uchumi mkubwa barani Afrika sio jambo la kitoto... Ni hatua kubwa sana. Wamarekani wanaita a Giant Leap.
 
Kabla ya Uhuru 80% ya mji wa Dart es salaam ulikuwa Planned na 20 ilikuwa Squatter miaka 60 baada ya uhuru 90% ya dar es salaam Squatter na 10 % ndiyo planned .
Hii unasemaje ni kusonga mbele au kurudi Nyuma?
Kipimo chako ndio hicho kisomi kuipongeza au kuilaumu serikali??
 
Ebu nifafanulie hii point vizuri mdogo wangu
Ni kosa la kimfumo Si la Mwanafunzi binafsi,

Enzi zile Mwanafunzi alipaata uji na chakula Cha mchana shuleni,

Ndomana tunadai KATIBA mpya Ili tuiue ccm na mfumo kandamizi ktk Nchi.
 
Mdogo wangu ndani ya CCM hatuna ukabila
CCM imekufa kimfumo kutokana na misingi yake haiwezi tena kuendana na wakati na zama za Utandawazi.
Ndo maana CCM inapambana na Vyombo vya Habari, inapambana na masanduku ya Kura.

Inapambana na Mfumo uliofeli wa Muungano wa Mbili kuelekea moja, Inapambana na Kodo Lukuki za kupata mapato ya kuendeshea Serikali na Chama huku wakitegemea wahisani kuwapa fedha za Maendeleo.

Funny CCM haiwezi tena
Ife au ipumzike.

Kila sku inaKuza nguvu za Majeshi na Vyombo vya Upelelezi badala ya kukuza technologia na kupunguza nguvu kazi ya Binadamu anayehitaji Mishahara na Marupu rupu.
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Umesahau kuweka namba yako ya simu hapo chini, watakutafutaje?
 
Ebu nifafanulie hii point vizuri mdogo wangu
Nchi iliwatumia walimu wa Kidato Cha nne enzi zile hatukuwa na WASOMI wengi,

Umewahi jiuliza Mwalimu aliyefail kidato Cha nne na kusomea ualimu,

Anawezaje kumfundisha Mwanafunzi akafaulu kidato Cha nne ambacho mwalimu Alifail?

ELIMU yetu Ina changamoto kimfumo,

Tunadai KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.
 
Kipimo chako ndio hicho kisomi kuipongeza au kuilaumu serikali??
Siwezi kupongeza kwa kupewa huduma ninayostahiki. Bali napongeza kwa kupewa kile nisichostahiki, wewe vipi , hujuwi hata mennas ya Kinchi?

Serikali inawajibu mkubwa sana kwa raia, ikiwemo kumpatia Huduma za Afya, Elimu Bora, Makaazi Bora na Msaada wakati wa Matatizo. Huu ni wajibu wa Serikali makini na Adilifu.

wajibu wa raia ni kulipa Kodi stahiki na kutii Sheria za Mtawala Muadilifu.
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
wachumia tumbo mnajitoa akili, hivi umasikini wote huu na hali ngumu ya maisha unadiriki kuleta utumbo humu?

Tangu uhuru hadi leo ccm bado wanajenga vyumba vya madarasa huku hakuna ajira za walimu, zahanati na hawatoi ajira kwa manesi na madaktari, wanajenga barabara za kichina huko maji yakiwa ya mgao ifike sehemu nyie macc muwe na aibu kusifia ujinga
 
Hapana sijatest na sisi wasomi tunaamini katika hoja sio matusi au huo wehu unaoutaja.Karibuni sana tuendelee wasomi
Nawapongeza kwa kipi kipindi viongozi wanafanikiwa na wafuasi wanaungua ?
Kwann mko bize kumanage image ya chama kuliko majukumu ?
 
wachumia tumbo mnajitoa akili, hivi umasikini wote huu na hali ngumu ya maisha unadiriki kuleta utumbo humu? tangu uhuru hadi leo ccm bado wanajenga vyumba vya madarasa huku hakuna ajira za walimu, zahanati na hawatoi ajira kwa manesi na madaktari, wanajenga barabara za kichina huko maji yakiwa ya mgao ifike sehemu nyie macc muwe na aibu kusifia ujinga
Karibu sana uchangie hoja maana serikali yetu ni sikivu.Karibu sana ndugu yangu ila lugha ya staha zaidi kama msomi ni jambo jema zaidi.Karibu
 
Ebu nifafanulie hii point vizuri mdogo wangu
Naweza kukusaidia, Mfumo wetu wa elimu ni Butu. Unamaliza shule unatafuta ajira, ndivyo sylabus livyoandaliwa.

Ukifeli unaingia mtaani uanjiajiri kiujasiriamali. Ujuzi umekuwa nadra katika mifumo yetu ya Kishule.

Mhe. Mkapa katika Utawala wake ndio kidogo alijaribu kuleta Mfumo wa Veta ili kuziba pengo la Kiujuzi
 
Naweza kukusaidia,
Mfumo wetu wa elimu ni Butu.
Unamaliza shule unatafuta ajira, ndivyo sylabus livyoandaliwa.
Ukifeli unaingia mtaani uanjiajiri kiujasiriamali. Ujuzi umekuwa nadra katika mifumo yetu ya Kishule.
Mhw> Mkapa katika Utawala wake ndio kidogo alijaribu kuleta Mfumowa Veta li kuziba pengo la Kiujuzi
Kwahiyo wewe unatazama hilo tu na kuona serikali haijafanya lolote tokea 1960??
 
Siwezi kupongeza kwa kupewa huduma ninayostahiki. Bali napongeza kwa kupewa kile nisichostahiki, wewe vipi , hujuwi hata mennas ya Kinchi?.
Serikali inawajibu mkubwa sana kwa raia, ikiwemo kumpatia Huduma za Afya, Elimu Bora, Makaazi Bora na Msaada wakati wa Matatizo.
Huu ni wajibu wa Serikali makini na Adilifu.
wajibu wa raia ni kulipa Kodi stahiki na kutii Sheria za Mtawala Muadilifu.
Wajibu unaendana na shukurani mdogo wangu.Au nakosea???
 
Nchi iliwatumia walimu wa Kidato Cha nne enzi zile hatukuwa na WASOMI wengi,

Umewahi jiuliza Mwalimu aliyefail kidato Cha nne na kusomea ualimu,

Anawezaje kumfundisha Mwanafunzi akafaulu kidato Cha nne ambacho mwalimu Alifail?

ELIMU yetu Ina changamoto kimfumo,

Tunadai KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.
Karibu uendelee tunapokea uchambuzi wako
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.

Tunashukuru kwa yote, ila kaeni pembeni sasa maana mmeshachoka na safari hiyo ndefu.
 
Back
Top Bottom