CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

We mshamba kafiche huo upumbavu wako, aliyejenga ana anayeendelea kujenga hiyo reli ni Samia, halafu achana na Kikwete, yule.mzee ni level nyingine usimfananishe na mshamba km Magufuli. Mpango wa hiyo reli kujengwa ulikuwa ndani ya ilani ya CCM, CCM ina mipango ya muda mrefu inayotelekezwa kwa awamu we kenge
 
Umeongea point kubwa sana, JPM alifungua watu akili na mtizamo chanya. Anaebisha ni haki yake pia kubishia kila.jombo
Nchi hii ni tajiri, bila Magufuli tusingekuwa na fly over, stand za mabasi, masoko, SGR, bwawa la Nyerere, ATCL ,Ikulu ya Chamwino na kikubwa zaidi bado tungekuwa Dar Es Salaam badala ya Dodoma, Bandari ingeendeshwa na serikali, wamasai wasingehamisha huko kwao, tusingekuwa huru wakati wa Corona na mengine mengi Magufuli hana mfano, itachukua muda sana kumpata mtu mwenye uthubutu kama Magufuli.
 
Kama huwezi kitu ni kheri ukae pembeni ni busara

Mazee majinga majinga tu ndio yanapenda sifa

Mtu anaita Papaa Mopaa aje amtumbuize 🤭

Eti useme tuna wazee, hata majinga yanazeeka mvi sio kigezo cha utimamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…