Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Asante mkuuIringa uelekeo wa RNP=Ruaha National Park.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuIringa uelekeo wa RNP=Ruaha National Park.
Asante mkuuRuaha National Park
Barabara si inajengwa shida Iko wapi?Katavi: Wananchi Wilayani Tanganyika wamlilia Mkandarasi kuchelewesha barabara
Wananchi wa Kijiji cha Luhafwe iliyoko Kata ya Tongwe Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wamemuomba mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami inayoanzia Kijiji cha Vikonge hadi Luhafwe kukamilika kwa wakati uliopangwa ili waanze kunufaika nayo. Kolita...www.jamiiforums.com
Luca ameshakuja bado ChoiceLucas Mwashambwa njoo huku wanaibagaza serikali
Hizi Barabara za EPC+F ndio zimekwama kutekelezwa Kwa sababu riba wanayoitaka wakandarasi ni kubwa zaidi.Barabara Saba Zitakazojengwa kwa kiwango cha Lami Jimbo la Kiteto
KITETO KUNUFAIKA NA MRADI WA UJENZI WA BARABARA SABA ZA LAMI Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita, akitoa neno kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Kiteto kwenye Hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba ya Ujenzi wa Barabara Saba. Barabara Saba zitakazojengwa Kiteto ni pamoja na Kongwa -...www.jamiiforums.com
Barabara za EPC+F zimekwama Kwa sababu riba wanayoitaka wakandarasi ni kubwa kuliko uwezo wa Serikali kulipaZaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo
Kwa mara ya Kwanza baada ya Uhuru Tanzania imepata Rais Samia apewe maua yake. Serikali ya Rais Samia imeandika Historia nyingine ya ubunifu kwa kusaini kuanza ujenzi wa barabara za kuu za lami kwenye mikoa 13 kwa pamoja zenye jumla ya urefu wa KM 2035 kwa mtindo wa EPC+ F (Engineering...www.jamiiforums.com
Sasa wakati wanasainishani yale mamikataba kipengele cha riba hakikuwepo? Huu ndiyo uhuni wenyewe sasa 😀😀😀Hizi Barabara za EPC+F ndio zimekwama kutekelezwa Kwa sababu riba wanayoitaka wakandarasi ni kubwa zaidi.
Ndio maana kilikuwa kinategemea soko la riba litakaaje na Serikali ilikuwa na ukomo wa riba ambayo watakuwa tayari kulipa but sokoni riba ikawa zaidi so mkataba ukaishia hapo 😆😆Sasa wakati wanasainishani yale mamikataba kipengele cha riba hakikuwepo? Huu ndiyo uhuni wenyewe sasa 😀😀😀