CCM: Ujenzi barabara ya Iringa - Msembe kilometa 104 kufungua fursa Nyanda za Juu Kusini, Ni utapeli Tena?

CCM: Ujenzi barabara ya Iringa - Msembe kilometa 104 kufungua fursa Nyanda za Juu Kusini, Ni utapeli Tena?

Saafi sana mkuu Milele Amina..unatukumbushe Mh Megawati , Mzee wa Sengerema na miradi HEWA ya UMEME kipindi kileeee bungeni..yaani ilikuwa full porojo
 
Hizi Barabara za EPC+F ndio zimekwama kutekelezwa Kwa sababu riba wanayoitaka wakandarasi ni kubwa zaidi.
 
Barabara za EPC+F zimekwama Kwa sababu riba wanayoitaka wakandarasi ni kubwa kuliko uwezo wa Serikali kulipa
 
Sasa wakati wanasainishani yale mamikataba kipengele cha riba hakikuwepo? Huu ndiyo uhuni wenyewe sasa 😀😀😀
Ndio maana kilikuwa kinategemea soko la riba litakaaje na Serikali ilikuwa na ukomo wa riba ambayo watakuwa tayari kulipa but sokoni riba ikawa zaidi so mkataba ukaishia hapo 😆😆
 
 
 
 
 
Back
Top Bottom