Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tunao ndugu wauaji, wezi na mengineo mengi kinyume chetu, lakini bado ni ndugu zetu na hatuwajibiki kwa matendo yao. Je, hao askari watesaji na sisi tuzichukie na kuzitenga familia zao?Ndugu akiungana na shetani bado ni ndugu! EeeeenHeeeee!
Mwenyewe kapokeaHatuzitaki lissu asipokee hii politiki ya kinafiki kinachofwata watamuuliza zile walizochangia wananchi zimeenda wapi huo ni mtego.
Nimekupata sana mkuu...wanasema wameingiza kwenye akaunti ya Lissu aliyoelekeza watu wachangiaji.
..ila hili na jambo la kusitisha kwamba wamechangia huku wakifanya kejeli.
..Mch.Msigwa haikumpasa kujidhalilisha kiwango hicho.
Lissu anao uwezo wa kuzima hoja zao, tuupe muda nafasi.Lakini kitendo cha Lissu kupokea hizo 5.3mil ndio litakuwa kosa kubwa, CCM wataimba huo wimbo mpaka next year kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.
Pokea Lissu waliokuchangia wanakukubali ndiyo maana wamekubali kuchanga. Hata huyo Makalla ameonesha anakukubali. Ndiyo maana kachangisha wanaomzunguuka mama! Wamechoka pia wanaficha uovu wao.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi Milioni Tano Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu ili kufanyia matengenezo gari yake.
Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akiwa kwenye mkutano wa chama hicho kwenye uwanja wa Furahisha jijini Mwanza alimuomba Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi kuhamasisha wanachama wa CCM kumchangia Lissu ili gari hilo limuwezeshe kufanya shughuli za siasa.
Kwa upande wake, Dkt Emmanuel Nchimbi amesema siasa si uadui hivyo ni vyema kushikana mkono pale panapobidi kwani wanasiasa wote wanaijenga Tanzania.
Alipotafutwa kuzungumzia kitendo hicho kilichofanywa na CCM, Lissu amewashukuru CCM kwa mchango na kwamba atazipokea fedha hizo kama ambayo amekuwa akipokea kutoka kwa makundi tofauti ya watu.
"Nawashukuru, kama nilivyosema...hatukusema tunachangiwa na wanaChadema peke yao, kama nilivyotibiwa, sikutibiwa na wanaChadema peke yao. Kwa hiyo, wakichangia nitazipokea, sina sababu ya kukataa," amesema Lissu.
Mwananchi
Na huwa anawaambiaga, kama ni hongo ili ninyamaze - Hapana. Aliwahi kusema maneno hayo walimlaumu eti anamsema vibaya Mama wakati amemsaidia mengi!..subiri Lissu aanze kumbonda Mama Abduli utasikia wanavyomlaumu.
Hapana, siyo "kuzitenga familia zao", ni kuwatenga wao waovu. Mkijihusisha nao bila hata ya kukemea maovu yao nanyi mtakuwa waovu kama hao ndugu zenu.Tunao ndugu wauaji, wezi na mengineo mengi kinyume chetu, lakini bado ni ndugu zetu na hatuwajibiki kwa matendo yao. Je, hao askari watesaji na sisi tuzichukie na kuzitenga familia zao?
Una namba zake umuulize? Maana hilo ni swali personalNashangaa kwa nini ndugu yangu Lissu kapunguza moto wa kuhamasisha michango. Au kuchangisha ilikuwa njia ya kutakatisha fedha ionekane zimetoka kwa wananchi
Sina, kama unazo naomba Mr. DetectiveUna namba zake umuulize? Maana hilo ni swali personal
CCM yooooote 24/7 hawaishi kumuwaza Lissu, Ama Mbowe ama CHADEMA😀Nashangaa kwa nini ndugu yangu Lissu kapunguza moto wa kuhamasisha michango. Au kuchangisha ilikuwa njia ya kutakatisha fedha ionekane zimetoka kwa wananchi
CCM yooooote 24/7 hawaishi kumuwaza Lissu, Ama Mbowe ama CHADEMA😀Nashangaa kwa nini ndugu yangu Lissu kapunguza moto wa kuhamasisha michango. Au kuchangisha ilikuwa njia ya kutakatisha fedha ionekane zimetoka kwa wananchi
Jitahidi wasijue huna akiliTundu Antipas Lisu hajawahi kuchangisha michango wa kununua gari 🐼
Wewe umechangia sh ngapi?Nashangaa kwa nini ndugu yangu Lissu kapunguza moto wa kuhamasisha michango. Au kuchangisha ilikuwa njia ya kutakatisha fedha ionekane zimetoka kwa wananchi