Pre GE2025 CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwanini chiembe usijikite kwenye Mambo ya CCM ambacho ndio chama chako?
Unaonekana unapenda wanaume wenye magari Sana. Ungejichangisha ukanunua la kwako ingependeza zaidi kuliko kufuata Mambo ya watu wasiokuhusu...
 
Mimi mwanachadema
 
..hata zile risasi alizopigwa Mwenyekiti wa Ccm ndiye aliyechangia.
 
Back
Top Bottom