Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwanini chiembe usijikite kwenye Mambo ya CCM ambacho ndio chama chako?
Unaonekana unapenda wanaume wenye magari Sana. Ungejichangisha ukanunua la kwako ingependeza zaidi kuliko kufuata Mambo ya watu wasiokuhusu...
 
Mimi mwanachadema
 
..hata zile risasi alizopigwa Mwenyekiti wa Ccm ndiye aliyechangia.
 
Hata mimi ningepokea, hakuna tatizo hapo kama hakuna masharti yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…