CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

Nilijaribu tu kuhoji
 
Respect bro.
Let your ego not drive you out of your dignity.
Leave this kind of the statements to noise makers.
Acha kumshutumu awehuru kuuongea Kwa uhuru, na utoa maoni yake bila kuzongwa ni haki yake ya msingi.
 
Najua Kitendo mlichokifanya kwa Wapuuzi wengi waliopo mtapata Sifa na Kupongezwa ila kwa Werevu wachache ndiyo wanazidi tu Kuwadharau japo mlishadharaulika Kitambo tu.

Huu Moyo wenu wa Kinafiki mnaouita ni wa Kibinadamu mbona hamkuufanya Kwake Tundu Lissu hasa pale alipokumbwa na matatizo makubwa ya Kutaka Kuuwawa na Magaidi na Mbwa Wakali mliowafuga katika Chama chenu cha CCM?

Nimalizie tu kwa Kusema Hongereni kwa Unafiki wenu wa Kumtembelea Mgonjwa Hospitalini, ila chonde chonde Mkewe asianze tu Kuombwa Namba za Simu kwani Mumewe bado yuko Hai na japo anaumwa hivyo, ila anampenda Mamsampu wake huyo Mrembo kuliko hata Wake zenu wengi.

Msinune nimetoa tu Tahadhari Kwenu!!!
 
Najua Kitendo mlichokifanya kwa Wapuuzi wengi waliopo mtapata Sifa na Kupongezwa ila kwa Werevu wachache ndiyo wanazidi tu Kuwadharau japo mlishadharaulika Kitambo tu...
Hukumuona Chief Hangaya ameenda kumsalimia Tundu?
 
Najua Kitendo mlichokifanya kwa Wapuuzi wengi waliopo mtapata Sifa na Kupongezwa ila kwa Werevu wachache ndiyo wanazidi tu Kuwadharau japo mlishadharaulika Kitambo tu...
Hii thread naiwekea lamination nitaisoma Hadi 2030 Mungu akiniweka hai. Hili kundi la Wanafiki linaloshangilia matatizo ya Wapinzani Leo kujifanya wema kuliko Wema Sepetu ni janjajanja ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…