CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

Unaweza taja Mwana CCM au Kiongozi mmoja wa Serikali aliyekataa kucheza Ngoma ya Makonda? Na utoe ushahidi tafadhali!
 
Mtu aliejitoa kusikiliza watu ndo hitaji letu wananchi hasa wale tuliotelekezwa kana kwamba sis si sehemu ya taifa letu, habari za akina musolin, Hitler na wengineo sis hatujihusishi nao maana hata hao unaodhani kwako ni bora sisi tuliotengwa tunawachukulia kama ni akina Hitler, kwakua tangu wawe pale walipo sisi bado hatujanufaika nao kama wanavojinufaisha wao.


Wananchi si wajinga kama unavofikiri, wanajua kila linalojili ktk taifa lao, kitendo cha kumwona MAKONDA kama kimbilio lao ni kutokana na ombwe lilopo inchini ktk uongozi.

Otherwise wenye mamlaka wafanye kujitathmin .
 

Chama chake kiko nchi nzima toka ngazi ya Kijiji na kata washindwe kusikiliza watu, ila mwanamazingabwe mmoja ndio aweze?! Wajinga ndio waliwao.
 
Kweli kabisa
 
Kwa hiyo?
 
Aliita mpaka wachina wakaja na Boti kutoka Mashariki ya Mbali wakatua nanga Pale Kigamboni wakaja kutibu Walemavu😂😂
 
How do you waste your valuable time discussing Daudi Albert Bashite?

It is Mirembe case, if not behind bars
Kwanini nyie Wanaccm kindaki ndaki mnamkataa makonda? Si ndio anasaidia kurudisha imani chama kilichochokwa?
 
Kwa hili nakupinga. Ndani ya Ccm na Tanzania Mwenyekiti ni mungu wao. Hakuma wa kukohoa.
 
Kwani kila anayeteuliwa na Rais huwa ni mtu anayefaa? Rais ni mtu kama wewe, kuna maeneo anaweza kuwa sahihi, kuna maeneo anaweza kuboronga sana. Hili la Makonda, ameboronga sana.
Na watu wanaomfuata nao wameboronga?
 
Nani anampa bajeti ya kuzunguka na magari yote yale?

Kwanini wafanyakazi wa Serikali wanafunga ofisi na kuamdamana naye akiwa mkoa fulani?

Je hayo madhaifu anayoibua yamesababishwa na Serikali ya chama gani?

Je Rais Samia ni DHAIFU?

Je Samia anashindwa kuwapiga chini mawaziri aliowateua wenyewe hadi amtumie Zerobrain Makonda?
 
Maswali yako ni mazuri,yenye akili,natafakari jinsi ya kuyajibu Kwa utuvu mkubwa.
 
Kwanini nyie Wanaccm kindaki ndaki mnamkataa makonda? Si ndio anasaidia kurudisha imani chama kilichochokwa?
Hawawezi kumpenda kindakindaki ni wezi,hawafanyikazi, na yeye yupo kuwa nyoosha,mama aliliona Hilo Wacha wapige kelele mwisho wimbo watauelewa na watauimba tu.wao bila chama Wana ujanja gani tena,chama ni chaka lao ngoja lifyekwe wabaki wazi.
 
Hate in a total sense, what a fool. Grow up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…