CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

Wakisema CCM chama maana yake kina kila aina ya wataalamu.

Kila mtu anajua they can ‘rig election’ kwa katiba ya sasa na kushinda. Ila mule ndani kuna watu wamebobea kwenye siasa wanafahamu umuhimu wa kupata ridhaa ya wananchi au kuonekana wanayo.

Makonda hayupo kwa sababu ya kufurukana na CDM (unless inapobidi) au kufurahisha chawa wa mama (ambao wengi ni anti-Magufuli) au wanaomuunga mkono kwa sababu za kidini.

Makonda yupo kwa sababu ya strategists wa chama, atimize lengo lao (washauri wa raisi Ikulu na kwenye chama wanaoangalia siasa kwa uhalisia).

Kazi ya strategists ni kutoa mapendekezo how best to trouble shoot the problem of declining support ya raisi and how best to mobilise support ya chama kwa wapiga kura ‘charm offensive’ (hiyo ndio kazi anayofanya Makonda).

Huyo Rajabu Lhuwavi mshauri wa raisi kwenye maswala ya siasa ni Mzanzibari (alikuwa mshauri wa JK pia kwenye siasa na ndio aliemleta Magufuli) CV yake inajumuisha senior army officer wa JWTZ (kapigana vita Kagera), mtaalamu wa siasa, diplomat nyuma ya pazia (kabla ya hata kupewa ubalozi na Magufuli) na ukisikia walinzi wa chama ndio watu wa aina hiyo (wao wanachojali ni Tanzania kwanza na CCM) nothing else matters, huyu ndio aliewafunga uhamsho sio Kikwete.

Kama sio umri Lhuwavi ana sifa za kuwa mkurugenzi wa TISS unadhani watu kama hawa as strategist wanajali chawa mnafikiria nini au wanasiasa ambao ascendancy yao ni connection ya baba zao, au awajui how rotten the system is na warekebishe vipi kupata kura.

Don’t waste your time kudhani huko CCM muda huu watakusikiliza ujinga utakaoandika kuhusu Makonda. Eti CCM halisi, unaijua CCM halisi wewe au unaropoka tu.

Personally, sijui Makonda amepikwa vipi na yupo level gani; ila anachofanya ni kazi ya system bila ya yeye kujua au kuto kujua.

Nje ya chawa, ‘bi-tozo’ ana maisha halisi ya kutaka support ya wananchi. We unadhani ukija hapa kutetea teuzi zake za kidini ndio mwisho wa support anazotaka kisiasa kuelekea uchaguzi ujao.
I like you comrade,you are very very intelligent,I wish to hear more from you,your only weakness is islamophobia to me,toa hoja zako tujifunze,na ndiyo maana halisi ya Jamii Forum,Mimi kuwa kwangu Mjahidina kusikupe shida,ni ruksa na wewe kuwa mfia kristo,Mimi nimezaliwa Mjahidina na nitakufa Mjahidina Inshallah,na najiskia more than proud and blessed to live and die as mujahedeen....
 
Mnalishwa Kila kitu na kumeza bila ata kutafuna..ukiulizwa hapo una ushahidi utabaki ukikenua kijampio tu

Stupid
Unataka ushahidi Gani zaidi ya ule wa kuvamia Vyombo vya Habari na mitutu ya bunduki?

Kila kitu kina key indicators...
 
Ni Wivu tu. Aliyemteua anajua how Makonda is smart and potential. Ni mtu anayeamua kufuga mbwa namna na rangi gani. Kama Rais katika woooote kaona huyo ndo the best we ni nani unamkosoa?
You are missing the point,kila teuzi Zina expectations zake...

Even mwendazake alimteua kuwa ni RC kipindi kile,Nini kilitokea katika kutekeleza majukum yake ya ukuu wa mkoa?na why had anaenda kaburini hakumrudisha kwenye circle yake?
 
Wakati nakubaliana kwa kiasi fulani na hoja yako, lakini sikubaliani ni hii hoja "YavPolisi waachie polisi wenyewe". Hawa viumbe ni wakatili wasiojali hata utu.
 
Wakati nakubaliana kwa kiasi fulani na hoja yako, lakini sikubaliani ni hii hoja "YavPolisi waachie polisi wenyewe". Hawa viumbe ni wakatili wasiojali hata utu.
Ni msemo tuh wa wahenga,maana yake ni pana kidogo,ila haimaanisha Moja Kwa Moja kuwa ya polisi waachie polisi...
 
Loh! The Big Show, kuna wakati naona nilifanya kosa kukuweka pamoja na akina Mwamshambwa. Kumbe nilifanya kosa. In this presentarion you have argued sensibly and professionally.

Watu walio wahi kuwa karibu na Makonda, wanasema huyu bwana, kipaji pekee kikubwa alicho nacho ni unafiki. Kwenye hili watafute watoto wa Hayati Samwel Sitta, watakuambia.

Wanasema, hata wewe hapo, leo hii ukawa na madaraka makubwa, Makonda akawa ana nafasi ya kukufikia, ndani ya muda mfupi, vitimbwi atakavyokufanyia, unaweza kudanganyika kuwa hapa Duniani hakuna mtu anayekupenda, kukuheshimu na kukuthamini kama Makonda.

Makonda alipopata nafasi ya kumfikia Hayati Samwel Sita, alikuwa anawasiliana naye mara nyingi kuliko watoto wake, alikuwa anaenda kumwona Sita mara nyingi kuliko watoto wake, na akifika nyumbani kwa Sita alihangaika kufanya kila kilichowezekana ili ionekane tu kuwa yeye ni bora kuliko mwingine yeyote hapo nyumbani. Wanafamilia wanadai ilifikia wakati Mzee Sita alimwona Makonda ni bora kwa kila kitu kuliko wanawe, hata akashiriki katika kupatikana kwa vyeti vya kununua ili Makonda akasome.

Ukumbuke wakati Kikwete akiwa Rais, Makonda alithubutu hata kumfungia kamba za viatu Ridhiwani. Alimnyenyekea Ridhiwani kwa kiwango cha ajabu, hata ikifikia Ridhiwani kumpigia debe Makonda kwa Baba yake ili apewe ukuu wa Wilaya. Kumbe mapenzi yale yote aliyokuwa akiyaonesha yalikuwa bandia, na unafiki mtupu. Na hiyo ilikuja kuthibitika Kikwete alipoondoka madarakani.

Makonda ni mwovu kwa asili yake. Akiwa hajawa Mkuu wa Wilaya, alimbaka binamu yake, wakayamaliza kiundugu. Alipokuwa RC, ndipo alipofanya uchafu mwingi wa ajabu, mpaka mauaji. Kila aliyemsema vibaya Magufuli, Makonda alitaka kumwonesha Magufuli kuwa yeye amesikitishwa na kukasirishwa na jambo hilo kuzidi hata Magufuli mwenyewe. Alifanya uovu mwingi, hadi kuua watu waliomsema vibaya Magufuli ili kumrubuni Magufuli aamini kuwa hapa Duniani hakuna mtu aliyekuwa anampenda yeye Magufuli kama Makonda. Mtu mwovu wa namna ya Makonda hawezi kuwa na moyo wa kupigania haki za watu wakati yeye mwenyewe ni dhulumati mkubwa. Mtu anayeona kudhulumu roho za watu ni jambo la kawaida, ataumizwa vipi na kudhulumiwa mtu kiwanja? Yeye mwenyewe akiwa RC Dar alidhulumu kiwanja cha familia ya Chacha kilichopo Capripoint, kilichokuwa kinunuliwe na msaidizi wake, halafu leo ndiyo aumizwe na mtu aliyedhulumiwa kiwanja?

Anachokifanya Makonda, ni kuangalia angle iliyo rahisi kuwarubuni watu ili malengo yake maovu yatimie.

Wala siyo ajabu, kwa muda mfupi, Rais Samia akikosa tu uwerevu atamwamini Makonda kuliko hata familia yake. Ila cha ajabu, pale Rais Samia atakapotoka Madarakani, na Makonda akawa kwenye nafasi ya uongozi, atatumika kumnyanyasa au kuinyanyasa familia yake.

Mnafiki ni kama mwizi, hana rafiki. Urafiki unaokuwepo ni wa kutengeneza mazingira ya kumwezesha kukifikia anachotaka kukiiba.

Kuna siku lazima Rais Samia atakuja kujuta, kama ilivyojuta familia ya Kikwete wakati Makonda akiwa RC.
Story za kusadikika na wivu ndio unaokusumbua, wewe upo clean kiasi gani!?
 
Ni Wivu tu. Aliyemteua anajua how Makonda is smart and potential. Ni mtu anayeamua kufuga mbwa namna na rangi gani. Kama Rais katika woooote kaona huyo ndo the best we ni nani unamkosoa?
Kwani kila anayeteuliwa na Rais huwa ni mtu anayefaa? Rais ni mtu kama wewe, kuna maeneo anaweza kuwa sahihi, kuna maeneo anaweza kuboronga sana. Hili la Makonda, ameboronga sana.
 
utakufa Vibaya sana
Endelea kuota. Mwambie maneno hayo huyo muuaji wenu. Shetani hata siku moja hakupi mafanikio ya kudumu. Yeye na ninyi mlio sehemu ya uovu wake mnaamini mmefanikiwa, lakini mjue kuwa mpo katika kujidanganya na kujifariji. Kuna siku maovu yenu mtayalipia gharama kubwa.
 
Friends and our enemies,

'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics).

'How you do anything,is how you do everything'...(Dante Alighieri)

Wahenga wanasema kwamba 'Kazi ya polisi,waachie polisi' (Leave the police work to the police), same applies kwenye siasa,wapo wanaosema kwamba kazi ya siasa waachie wanasiasa,lakini tukisema tuwaachie wanasiasa hii siasa pekeyao bila hata ya sisi watawaliwa kutoa mitazamo yetu matokeo yake ni kulia na kusaga meno.

Makonda au Bashite ni yule yule,hajawahi kubadilika,the way anavyofanya harakati zake ni vile vile ambavyo amekuwa siku zote anazifanya tokea amefahamika na hadhira ya macho yetu.

Miaka kadhaa iliyopita kipindi akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,JIJI lile halikuacha kuwa na heka heka na pilika kila siku,leo aite mkusanyiko na wamama wajane,kusikiliza kero zo,,kesho yake aite mkusanyiko na boda boda,mtondogoo aite mkusanyiko na walemavu na kadhalika.

Na katika hiyo mikusanyiko yake yoote kipindi hiko kilichokuwa kinafanyika ni kama hiki anachoendelea nacho sasa (How you do anything,is how you do everything)

Kilichotofautiana ni kwamba kwa sasa amepata milege ya kuvuka nje ya boda ya himaya yake ya awali na amepata coverage ya kuzungumzia vitu vingi zaidi ili aweze kuendelea kuvuta attention na sympathy za watu.

Nimependa sana namna ambavyo CCM wenyewe wenye kujitambua walivyoamua kukaa kimya na kumuachia uwanja aendelee na harakati zake,na siyo CCM pekee hata VYAMA VYA UPINZANI,pamoja na kwamba Makonda amekuwa anawachimba chimba na kuwachokonoa hakuna hata mmoja ambae amejaribu kucheza ngoma ya Makonda,ni ukweli usio na shaka kuwa wanamjua ni mtu wa aina gani na kujiingiza kwenye ngoma hiyo ni kujipotezea focus ya kufanya yale yaliyo ya msingi.

Makonda,anafanya kitu ambacho anahisi ni sahihi bahati mbaya sana approach ambayo anaitumia ni kujiweka karibu na kutumia mwamvuli wa mwenyekiti wa chama badala ya kutumia nguvu ya chama katika kuendesha ajenda zake,ni yale yale ambayo alikuwa anayafanya kipindi cha mwendazake ya kujiweka katika position ambayo ni yeye ni RC Muhimu zaidi ya wengine kias cha kufikia hatua ya kusema kuwa yeye ana nafasi kubwa katika nchi hii kuliko hao viongozi wengine,na hao wakubwa wao wanajua.,kiufupi ni RC ambae alikuwa untouchable kiasi kwamba hata pale alipovunja sheria kwa kuvamia Clouds Fm Kwa bunduki waziri aliekawa anahusika na habari alipojaribu kuingilia kati alipoteza nafasi yake kwa kutetea haki kisha yeye mvunja haki Makonda akaendelea kupeta.

Makonda ana haja gani ya kutembelea NYOTA ya Rais Samia kwa kusema kwamba anayofanya yoote katumwa na mwenyekiti wa chama aliemteua badala ya kusema kuwa hayo ni maagizo ya chama??implication yake ni ile ile ya kutaka kuonesha yeye ni smart kuliko wenzake machoni mwa mwenyekiti wa chama ili hali collectively chama hiko ni nguvu ya watu wengi(How you do anything, is how you everything)

Hakika ukimchambua Makonda unaona wazi wazi motive yake ya kujijenga zaidi yeye kuliko chama chake kupitia matatizo ya wananchi ambayo hata hivyo hayajawahi kupungua ndani ya TAIFA HILI,kwani lini Makonda amewahi kuwa MSAFI hadi afikie hatua ya kuguswa sana na haya wanayofanyiwa wananchi??

Case nyingi za kupotea kwa watu kipindi Cha mwendazake,uminyaji wa vyombo vya habari,dhuluma Kwa wafanyabiashara wengi mfano hata like sakata lake na GSM,kupigwa Risasi Kwa Tundu lisu,kudukuliwa conversations za simu za wale makada wa chama wakisema mwendazake,kuwakashifu viongozi wastaafu yeye na mwenzake Ally Hapi ukiunganisha dots zinafika kwake,Jeuri ya kusimama kifua mbele anazitoa wapi.

Nawapongeza CCM na VYAMA VYA UPINZANI waliotambua kuwa hiyo ngoma ni ngoma ya mchiriku na kuigomea kuicheza,kwa kuwa ''HOW MAKONDA IS DOING ANYTHING,IS HOW HE IS DOING EVERYTHING''...
Broken English ya kutosha bora ungeandika kiswahili tu
 
Mnalishwa Kila kitu na kumeza bila ata kutafuna..ukiulizwa hapo una ushahidi utabaki ukikenua kijampio tu

Stupid
We make argument with sound people not with people rich in idiocity and crippled brain of your kind.
 
You are missing the point,kila teuzi Zina expectations zake...

Even mwendazake alimteua kuwa ni RC kipindi kile,Nini kilitokea katika kutekeleza majukum yake ya ukuu wa mkoa?na why had anaenda kaburini hakumrudisha kwenye circle yake?
Baada ya mbwembwe zote za kumhadaa marehemu Magufuli, marehemu alipokuja kutambua jinsi alivyotumia jina lake kuwapora nyumba GSM na uchafu mwingi, hakutaka hata kumsikia. Future yake ya kisiasa iliishia pale.
 
Baada ya mbwembwe zote za kumhadaa marehemu Magufuli, marehemu alipokuja kutambua jinsi alivyotumia jina lake kuwapora nyumba GSM na uchafu mwingi, hakutaka hata kumsikia. Future yake ya kisiasa iliishia pale.
Exactly,sema wabongo ni wepesi sana kusahau
 
Ukizungumzia upuuzi wa mpuuzi jua wewe ni mpuuzi promax!

Makonda kakushika kende kwelikweli!

Nilitarajia uitishe Mkutano wa hadhara wa wenye akili tuone unavyoelekeza ujinga wa Makonda.

Umekuja huku kujificha kwetu wajinga tunaomuunga mkono Makonda!

Mbwa
 
Story za kusadikika na wivu ndio unaokusumbua, wewe upo clean kiasi gani!?
Naweza nisiwe clean kwa kiwango chako na vya wengine, lakini kwa 100%, sijawahi na wala sitawahi kumpoteza mtu, kumwua mtu, kupora mali ya mtu, kumtesa mtu au kumwibia yeyote.
 
Ukizungumzia upuuzi wa mpuuzi jua wewe ni mpuuzi promax!

Makonda kakushika kende kwelikweli!

Nilitarajia uitishe Mkutano wa hadhara wa wenye akili tuone unavyoelekeza ujinga wa Makonda.

Umekuja huku kujificha kwetu wajinga tunaomuunga mkono Makonda!

Mbwa
Kama hauko smart upstairs huwezi kuelewa,hakuna anaesema makonda ni mpuuz unless otherwise hujasoma kinachojadiliwa na siyo jukumu langu kupanua uelewa wa ubongo wako,the owner of your thinking capacity is sumpa...! not me...
 
Endelea kuota. Mwambie maneno hayo huyo muuaji wenu. Shetani hata siku moja hakupi mafanikio ya kudumu. Yeye na ninyi mlio sehemu ya uovu wake mnaamini mmefanikiwa, lakini mjue kuwa mpo katika kujidanganya na kujifariji. Kuna siku maovu yenu mtayalipia gharama kubwa.
ma mtu majinga kama wewe lazima muuliwe kwani Lisu anafaida gani Sasa y kuishi alikuwa wa kumuua kabisa
 
Tuliza Kalio weweee!!

Pambania Chama chako CDM kinazidi kupotea
Chama changu Chadema??

Mimi Chadema?Kama SIJAWAHI kuwa shabiki wa chama Tawala CCM nitawezaje kuwa shabiki wa Chadema?

Yani Mimi niwe mshabiki wa wanasiasa?halafu Ujahidina nimuachie nani?
 
ma mtu majinga kama wewe lazima muuliwe kwani Lisu anafaida gani Sasa y kuishi alikuwa wa kumuua kabisa
Hata ukimuua kwani wewe utaishi milele?

Mmempoteza Ben saanane na Azory Gwanda,sawa...

Sisemi kuwa mwendazake ndie muhusika sina ushahidi Katika Hilo,lakini je,swali kwako yuko wapi mwendazake Leo?heshimu pumzi ya kila kiumbe kilicho hai juu ya huu mgongo wa ardhi,we live once Kisha tunawapisha wengine,that's Life.
 
Back
Top Bottom