Loh! The Big Show, kuna wakati naona nilifanya kosa kukuweka pamoja na akina Mwamshambwa. Kumbe nilifanya kosa. In this presentarion you have argued sensibly and professionally.
Watu walio wahi kuwa karibu na Makonda, wanasema huyu bwana, kipaji pekee kikubwa alicho nacho ni unafiki. Kwenye hili watafute watoto wa Hayati Samwel Sitta, watakuambia.
Wanasema, hata wewe hapo, leo hii ukawa na madaraka makubwa, Makonda akawa ana nafasi ya kukufikia, ndani ya muda mfupi, vitimbwi atakavyokufanyia, unaweza kudanganyika kuwa hapa Duniani hakuna mtu anayekupenda, kukuheshimu na kukuthamini kama Makonda.
Makonda alipopata nafasi ya kumfikia Hayati Samwel Sita, alikuwa anawasiliana naye mara nyingi kuliko watoto wake, alikuwa anaenda kumwona Sita mara nyingi kuliko watoto wake, na akifika nyumbani kwa Sita alihangaika kufanya kila kilichowezekana ili ionekane tu kuwa yeye ni bora kuliko mwingine yeyote hapo nyumbani. Wanafamilia wanadai ilifikia wakati Mzee Sita alimwona Makonda ni bora kwa kila kitu kuliko wanawe, hata akashiriki katika kupatikana kwa vyeti vya kununua ili Makonda akasome.
Ukumbuke wakati Kikwete akiwa Rais, Makonda alithubutu hata kumfungia kamba za viatu Ridhiwani. Alimnyenyekea Ridhiwani kwa kiwango cha ajabu, hata ikifikia Ridhiwani kumpigia debe Makonda kwa Baba yake ili apewe ukuu wa Wilaya. Kumbe mapenzi yale yote aliyokuwa akiyaonesha yalikuwa bandia, na unafiki mtupu. Na hiyo ilikuja kuthibitika Kikwete alipoondoka madarakani.
Makonda ni mwovu kwa asili yake. Akiwa hajawa Mkuu wa Wilaya, alimbaka binamu yake, wakayamaliza kiundugu. Alipokuwa RC, ndipo alipofanya uchafu mwingi wa ajabu, mpaka mauaji. Kila aliyemsema vibaya Magufuli, Makonda alitaka kumwonesha Magufuli kuwa yeye amesikitishwa na kukasirishwa na jambo hilo kuzidi hata Magufuli mwenyewe. Alifanya uovu mwingi, hadi kuua watu waliomsema vibaya Magufuli ili kumrubuni Magufuli aamini kuwa hapa Duniani hakuna mtu aliyekuwa anampenda yeye Magufuli kama Makonda. Mtu mwovu wa namna ya Makonda hawezi kuwa na moyo wa kupigania haki za watu wakati yeye mwenyewe ni dhulumati mkubwa. Mtu anayeona kudhulumu roho za watu ni jambo la kawaida, ataumizwa vipi na kudhulumiwa mtu kiwanja? Yeye mwenyewe akiwa RC Dar alidhulumu kiwanja cha familia ya Chacha kilichopo Capripoint, kilichokuwa kinunuliwe na msaidizi wake, halafu leo ndiyo aumizwe na mtu aliyedhulumiwa kiwanja?
Anachokifanya Makonda, ni kuangalia angle iliyo rahisi kuwarubuni watu ili malengo yake maovu yatimie.
Wala siyo ajabu, kwa muda mfupi, Rais Samia akikosa tu uwerevu atamwamini Makonda kuliko hata familia yake. Ila cha ajabu, pale Rais Samia atakapotoka Madarakani, na Makonda akawa kwenye nafasi ya uongozi, atatumika kumnyanyasa au kuinyanyasa familia yake.
Mnafiki ni kama mwizi, hana rafiki. Urafiki unaokuwepo ni wa kutengeneza mazingira ya kumwezesha kukifikia anachotaka kukiiba.
Kuna siku lazima Rais Samia atakuja kujuta, kama ilivyojuta familia ya Kikwete wakati Makonda akiwa RC.