Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Mujahedeen huwa wanapigania haki au dini?Kupigania Haki kama Raia huru wa nchi hii,kwa mfano ni kama hivi tunavyopambana hapa uwanja wa JF...
Haki na dini ni vitu tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mujahedeen huwa wanapigania haki au dini?Kupigania Haki kama Raia huru wa nchi hii,kwa mfano ni kama hivi tunavyopambana hapa uwanja wa JF...
BILA DINI DUNIANI,HAKUNA HAKI...Mujahedeen huwa wanapigania haki au dini?
Haki na dini ni vitu tofauti.
Friends and our enemies,
'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics).
Nawapongeza CCM na VYAMA VYA UPINZANI waliotambua kuwa hiyo ngoma ni ngoma ya mchiriku na kuigomea kuicheza,kwa kuwa ''HOW MAKONDA IS DOING ANYTHING,IS HOW HE IS DOING EVERYTHING''...
Mostly by low minds.He is the talk of the town by the way..!!
Wewe uko upande gani?
Ccm, upinzani au mwenyekiti wa ccm?
Maana ni wazi kwamba hauko upamde wa makonda.
Loh! The Big Show, kuna wakati naona nilifanya kosa kukuweka pamoja na akina Mwamshambwa. Kumbe nilifanya kosa. In this presentarion you have argued sensibly and professionally.
Kuna siku lazima Rais Samia atakuja kujuta, kama ilivyojuta familia ya Kikwete wakati Makonda akiwa RC.
utaipenda ngoma ya Hussein Machozi 🐒Friends and our enemies,
'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics).
'How you do anything,is how you do everything'...(Dante Alighieri)
Wahenga wanasema kwamba 'Kazi ya polisi,waachie polisi' (Leave the police work to the police), same applies kwenye siasa,wapo wanaosema kwamba kazi ya siasa waachie wanasiasa,lakini tukisema tuwaachie wanasiasa hii siasa pekeyao bila hata ya sisi watawaliwa kutoa mitazamo yetu matokeo yake ni kulia na kusaga meno.
Makonda au Bashite ni yule yule,hajawahi kubadilika,the way anavyofanya harakati zake ni vile vile ambavyo amekuwa siku zote anazifanya tokea amefahamika na hadhira ya macho yetu.
Miaka kadhaa iliyopita kipindi akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,JIJI lile halikuacha kuwa na heka heka na pilika kila siku,leo aite mkusanyiko na wamama wajane,kusikiliza kero zo,,kesho yake aite mkusanyiko na boda boda,mtondogoo aite mkusanyiko na walemavu na kadhalika.
Na katika hiyo mikusanyiko yake yoote kipindi hiko kilichokuwa kinafanyika ni kama hiki anachoendelea nacho sasa (How you do anything,is how you do everything)
Kilichotofautiana ni kwamba kwa sasa amepata milege ya kuvuka nje ya boda ya himaya yake ya awali na amepata coverage ya kuzungumzia vitu vingi zaidi ili aweze kuendelea kuvuta attention na sympathy za watu.
Nimependa sana namna ambavyo CCM wenyewe wenye kujitambua walivyoamua kukaa kimya na kumuachia uwanja aendelee na harakati zake,na siyo CCM pekee hata VYAMA VYA UPINZANI,pamoja na kwamba Makonda amekuwa anawachimba chimba na kuwachokonoa hakuna hata mmoja ambae amejaribu kucheza ngoma ya Makonda,ni ukweli usio na shaka kuwa wanamjua ni mtu wa aina gani na kujiingiza kwenye ngoma hiyo ni kujipotezea focus ya kufanya yale yaliyo ya msingi.
Makonda,anafanya kitu ambacho anahisi ni sahihi bahati mbaya sana approach ambayo anaitumia ni kujiweka karibu na kutumia mwamvuli wa mwenyekiti wa chama badala ya kutumia nguvu ya chama katika kuendesha ajenda zake,ni yale yale ambayo alikuwa anayafanya kipindi cha mwendazake ya kujiweka katika position ambayo ni yeye ni RC Muhimu zaidi ya wengine kias cha kufikia hatua ya kusema kuwa yeye ana nafasi kubwa katika nchi hii kuliko hao viongozi wengine,na hao wakubwa wao wanajua.,kiufupi ni RC ambae alikuwa untouchable kiasi kwamba hata pale alipovunja sheria kwa kuvamia Clouds Fm Kwa bunduki waziri aliekawa anahusika na habari alipojaribu kuingilia kati alipoteza nafasi yake kwa kutetea haki kisha yeye mvunja haki Makonda akaendelea kupeta.
Makonda ana haja gani ya kutembelea NYOTA ya Rais Samia kwa kusema kwamba anayofanya yoote katumwa na mwenyekiti wa chama aliemteua badala ya kusema kuwa hayo ni maagizo ya chama??implication yake ni ile ile ya kutaka kuonesha yeye ni smart kuliko wenzake machoni mwa mwenyekiti wa chama ili hali collectively chama hiko ni nguvu ya watu wengi??
Hakika ukimchambua Makonda unaona wazi wazi motive yake ya kujijenga zaidi yeye kuliko chama chake kupitia matatizo ya wananchi ambayo hata hivyo hayajawahi kupungua ndani ya TAIFA HILI,kwani lini Makonda amewahi kuwa MSAFI hadi afikie hatua ya kuguswa sana na haya wanayofanyiwa wananchi??
Nawapongeza CCM na VYAMA VYA UPINZANI waliotambua kuwa hiyo ngoma ni ngoma ya mchiriku na kuigomea kuicheza,kwa kuwa ''HOW MAKONDA IS DOING ANYTHING,IS HOW HE IS DOING EVERYTHING''...
Hawana uwezo wa kuicheza, wapo kimywa kwa sababu wanauona mziki ulivo mnene kwa upande waoFriends and our enemies,

Tulioguswa moja kwa moja hatuyaoni maigizoTatizo ni kwamba Makinda anajua hii nchi imejaa wajinga na ndio maana anakuja na siasa zilizojaa maigizo ili aweze kuliwin hili kundi
Wananzengo wanataka matokeo, wanasafiri kumfata alipo ili wapate matokeo, labda kama kuna ushauri wa ndani waambie wabadlike, wawajali watu wao oli makonda asieleweke tenaLoh! The Big Show, kuna wakati naona nilifanya kosa kukuweka pamoja na akina Mwamshambwa. Kumbe nilifanya kosa. In this presentarion you have argued sensibly and professionally.
Watu walio wahi kuwa karibu na Makonda, wanasema huyu bwana, kipaji pekee kikubwa alicho nacho ni unafiki. Kwenye hili watafute watoto wa Hayati Samwel Sitta, watakuambia.
Wanasema, hata wewe hapo, leo hii ukawa na madaraka makubwa, Makonda akawa ana nafasi ya kukufikia, ndani ya muda mfupi, vitimbwi atakavyokufanyia, unaweza kudanganyika kuwa hapa Duniani hakuna mtu anayekupenda, kukuheshimu na kukuthamini kama Makonda.
Makonda alipopata nafasi ya kumfikia Hayati Samwel Sita, alikuwa anawasiliana naye mara nyingi kuliko watoto wake, alikuwa anaenda kumwona Sita mara nyingi kuliko watoto wake, na akifika nyumbani kwa Sita alihangaika kufanya kila kilichowezekana ili ionekane tu kuwa yeye ni bora kuliko mwingine yeyote hapo nyumbani. Wanafamilia wanadai ilifikia wakati Mzee Sita alimwona Makonda ni bora kwa kila kitu kuliko wanawe, hata akashiriki katika kupatikana kwa vyeti vya kununua ili Makonda akasome.
Ukumbuke wakati Kikwete akiwa Rais, Makonda alithubutu hata kumfungia kamba za viatu Ridhiwani. Alimnyenyekea Ridhiwani kwa kiwango cha ajabu, hata ikifikia Ridhiwani kumpigia debe Makonda kwa Baba yake ili apewe ukuu wa Wilaya. Kumbe mapenzi yale yote aliyokuwa akiyaonesha yalikuwa bandia, na unafiki mtupu. Na hiyo ilikuja kuthibitika Kikwete alipoondoka madarakani.
Makonda ni mwovu kwa asili yake. Akiwa hajawa Mkuu wa Wilaya, alimbaka binamu yake, wakayamaliza kiundugu. Alipokuwa RC, ndipo alipofanya uchafu mwingi wa ajabu, mpaka mauaji. Kila aliyemsema vibaya Magufuli, Makonda alitaka kumwonesha Magufuli kuwa yeye amesikitishwa na kukasirishwa na jambo hilo kuzidi hata Magufuli mwenyewe. Alifanya uovu mwingi, hadi kuua watu waliomsema vibaya Magufuli ili kumrubuni Magufuli aamini kuwa hapa Duniani hakuna mtu aliyekuwa anampenda yeye Magufuli kama Makonda. Mtu mwovu wa namna ya Makonda hawezi kuwa na moyo wa kupigania haki za watu wakati yeye mwenyewe ni dhulumati mkubwa. Mtu anayeona kudhulumu roho za watu ni jambo la kawaida, ataumizwa vipi na kudhulumiwa mtu kiwanja? Yeye mwenyewe akiwa RC Dar alidhulumu kiwanja cha familia ya Chacha kilichopo Capripoint, kilichokuwa kinunuliwe na msaidizi wake, halafu leo ndiyo aumizwe na mtu aliyedhulumiwa kiwanja?
Anachokifanya Makonda, ni kuangalia angle iliyo rahisi kuwarubuni watu ili malengo yake maovu yatimie.
Wala siyo ajabu, kwa muda mfupi, Rais Samia akikosa tu uwerevu atamwamini Makonda kuliko hata familia yake. Ila cha ajabu, pale Rais Samia atakapotoka Madarakani, na Makonda akawa kwenye nafasi ya uongozi, atatumika kumnyanyasa au kuinyanyasa familia yake.
Mnafiki ni kama mwizi, hana rafiki. Urafiki unaokuwepo ni wa kutengeneza mazingira ya kumwezesha kukifikia anachotaka kukiiba.
Kuna siku lazima Rais Samia atakuja kujuta, kama ilivyojuta familia ya Kikwete wakati Makonda akiwa RC.
CCM ipi tena wakati Samia ndiye aliyemchagua? Lawama zote ni kwa Samia kwani viongozi wengine wote wa CCM hawampendi lakini wanaogopa. BTW mtanzania ni mtu wa ajabu mno. Nimeona jinsi wazee na vipara vyao wanaendeshwa na Makonda nikabaki kusikitika. Wanamwogopa Makonda kuliko hata Mungu. Kuna mama mmoja sijui ni mkuu wa wilaya Iringa huko, aliitwa, akaenda kwa panic kali huku anainama kwa kuabudu kama anasali.CCM must wake up before it's too late to realize that he is the very way to their destination of woe...
Sis tunamwelewa mno yaani huku mitaani tembea uskie mzee jamaa ni man of the match
No other term could describe DAB than that.....drama queens
WIVU TU,How do you waste your valuable time discussing Daudi Albert Bashite?
It is Mirembe case, if not behind bars
Wananzengo wanataka matokeo, wanasafiri kumfata alipo ili wapate matokeo, labda kama kuna ushauri wa ndani waambie wabadlike, wawajali watu wao oli makonda asieleweke tena
We mpk siku ukipogwa mimba na makonda ndio utakuwa na akili.Mmekuwa kama Hamas kujifariji huku mnakufa!! Makonda ndo habari Na. 1 nchini kwa Sasa!!
Vyovyote mtakavyomtafsiri lakini ukweli ni kwamba jamaa kakamata kwelikweli!! Sasa hivi hata vyama vya upinzani vinaogopa aibu ya kufanya mikutano! Ndo maana Lissu kaamua kufanyia Mkutano redioni
Kwa kutujazia gazeti namna hii, huku ukiongea pumba tupu ni dhahiri unateseka sana na Makonda. Makonda tayari amefanya Mambo makubwa sana. Pole sana muhuni usiye na huruma na wananchi unaingiz siasa za hovyo na ki pumbavu.Friends and our enemies,