Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa lile wowowo au????Makonda ni presidential figure, labda awe fixed naye.
MUJAHEDEEN..
Ngoma mnaicheza sana,hata wewe kwa huu uzi umedhihirisha ya kwamba unaicheza ngoma yake, MAKONDA NI HABARI YA SAYARI NYINGINE KWA SASAFriends and our enemies,
'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics).
'How you do anything,is how you do everything'...(Dante Alighieri)
Wahenga wanasema kwamba 'Kazi ya polisi,waachie polisi',(Leave the police work to the police),same applies kwenye siasa,wapo wanaosema kwamba kazi ya siasa waachie wanasiasa,lakini tukisema tuwaachie wanasiasa hii siasa pekeyao bila hata ya sisi watawaliwa kutoa mitazamo yetu matokeo yake ni kulia na kusaga meno.
Makonda au Bashite ni yule yule,hajawahi kubadilika,the way anavyofanya harakati zake ni vile vile ambavyo amekuwa siku zote anazifanya tokea amefahamika na hadhira ya macho yetu.
Miaka kadhaa iliyopita kipindi akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,JIJI lile halikuacha kuwa na heka heka na pilika kila siku,leo aite mkusanyiko na wamama wajane,kusikiliza kero zo,,kesho yake aite mkusanyiko na boda boda,mtondogoo aite mkusanyiko na walemavu na kadhalika.
Na katika hiyo mikusanyiko yake yoote kipindi hiko kilichokuwa kinafanyika ni kama hiki anachoendelea nacho sasa (How you do anything,is how you do everything)
Kilichotofautiana ni kwamba kwa sasa amepata milege ya kuvuka nje ya boda ya himaya yake ya awali na amepata coverage ya kuzungumzia vitu vingi zaidi ili aweze kuendelea kuvuta attention na sympathy za watu.
Nimependa sana namna ambavyo CCM wenyewe wenye kujitambua walivyoamua kukaa kimya na kumuachia uwanja aendelee na harakati zake,na siyo CCM pekee hata VYAMA VYA UPINZANI,pamoja na kwamba Makonda amekuwa anawachimba chimba na kuwachokonoa hakuna hata mmoja ambae amejaribu kucheza ngoma ya Makonda,ni ukweli usio na shaka kuwa wanamjua ni mtu wa aina gani na kujiingiza kwenye ngoma hiyo ni kujipotezea focus ya kufanya yale yaliyo ya msingi.
Makonda,anafanya kitu ambacho anahisi ni sahihi bahati mbaya sana approach ambayo anaitumia ni kujiweka karibu na kutumia mwamvuli wa mwenyekiti wa chama badala ya kutumia nguvu ya chama katika kuendesha ajenda zake,ni yale yale ambayo alikuwa anayafanya kipindi cha mwendazake ya kujiweka katika position ambayo ni yeye ni RC Muhimu zaidi ya wengine kias cha kufikia hatua ya kusema kuwa yeye ana nafasi kubwa katika nchi hii kuliko hao viongozi wengine,na hao wakubwa wao wanajua.,kiufupi ni RC ambae alikuwa untouchable kiasi kwamba hata pale alipovunja sheria kwa kuvamia Clouds Fm Kwa bunduki waziri aliekawa anahusika na habari alipojaribu kuingilia kati alipoteza nafasi yake kwa kutetea haki kisha yeye mvunja haki Makonda akaendelea kupeta.
Makonda ana haja gani ya kutembelea NYOTA ya Rais Samia kwa kusema kwamba anayofanya yoote katumwa na mwenyekiti wa chama aliemteua badala ya kusema kuwa hayo ni maagizo ya chama??implication yake ni ile ile ya kutaka kuonesha yeye ni smart kuliko wenzake machoni mwa mwenyekiti wa chama ili hali collectively chama hiko ni nguvu ya watu wengi??
Hakika ukimchambua Makonda unaona wazi wazi motive yake ya kujijenga zaidi yeye kuliko chama chake kupitia matatizo ya wananchi ambayo hata hivyo hayajawahi kupungua ndani ya TAIFA HILI,kwani lini Makonda amewahi kuwa MSAFI hadi afikie hatua ya kuguswa sana na haya wanayofanyiwa wananchi??
Nawapongeza CCM na VYAMA VYA UPINZANI waliotambua kuwa hiyo ngoma ni ngoma ya mchiriku na kuigomea kuicheza,kwa kuwa ''HOW MAKONDA IS DOING ANYTHING,IS HOW HE IS DOING EVERYTHING''...
Kwa jinsi ilivyo, Makonda ni Clean up man, The Sweeper Upper!CCM must wake up before it's too late to realize that he is the very way to their destination of woe...
Muulize mama yako mzaziMAFANIKIO YEPI?
Hili nalo neno.How do you waste your valuable time discussing Daudi Albert Bashite?
It is Mirembe case, if not behind bars
Makonda ni chambo, na chambo shurti kiliwe na akishapatikana anayetafutwa huwa ndo mwisho wa chamboFriends and our enemies,
'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics).
'How you do anything,is how you do everything'...(Dante Alighieri)
Wahenga wanasema kwamba 'Kazi ya polisi,waachie polisi',(Leave the police work to the police),same applies kwenye siasa,wapo wanaosema kwamba kazi ya siasa waachie wanasiasa,lakini tukisema tuwaachie wanasiasa hii siasa pekeyao bila hata ya sisi watawaliwa kutoa mitazamo yetu matokeo yake ni kulia na kusaga meno.
Makonda au Bashite ni yule yule,hajawahi kubadilika,the way anavyofanya harakati zake ni vile vile ambavyo amekuwa siku zote anazifanya tokea amefahamika na hadhira ya macho yetu.
Miaka kadhaa iliyopita kipindi akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,JIJI lile halikuacha kuwa na heka heka na pilika kila siku,leo aite mkusanyiko na wamama wajane,kusikiliza kero zo,,kesho yake aite mkusanyiko na boda boda,mtondogoo aite mkusanyiko na walemavu na kadhalika.
Na katika hiyo mikusanyiko yake yoote kipindi hiko kilichokuwa kinafanyika ni kama hiki anachoendelea nacho sasa (How you do anything,is how you do everything)
Kilichotofautiana ni kwamba kwa sasa amepata milege ya kuvuka nje ya boda ya himaya yake ya awali na amepata coverage ya kuzungumzia vitu vingi zaidi ili aweze kuendelea kuvuta attention na sympathy za watu.
Nimependa sana namna ambavyo CCM wenyewe wenye kujitambua walivyoamua kukaa kimya na kumuachia uwanja aendelee na harakati zake,na siyo CCM pekee hata VYAMA VYA UPINZANI,pamoja na kwamba Makonda amekuwa anawachimba chimba na kuwachokonoa hakuna hata mmoja ambae amejaribu kucheza ngoma ya Makonda,ni ukweli usio na shaka kuwa wanamjua ni mtu wa aina gani na kujiingiza kwenye ngoma hiyo ni kujipotezea focus ya kufanya yale yaliyo ya msingi.
Makonda,anafanya kitu ambacho anahisi ni sahihi bahati mbaya sana approach ambayo anaitumia ni kujiweka karibu na kutumia mwamvuli wa mwenyekiti wa chama badala ya kutumia nguvu ya chama katika kuendesha ajenda zake,ni yale yale ambayo alikuwa anayafanya kipindi cha mwendazake ya kujiweka katika position ambayo ni yeye ni RC Muhimu zaidi ya wengine kias cha kufikia hatua ya kusema kuwa yeye ana nafasi kubwa katika nchi hii kuliko hao viongozi wengine,na hao wakubwa wao wanajua.,kiufupi ni RC ambae alikuwa untouchable kiasi kwamba hata pale alipovunja sheria kwa kuvamia Clouds Fm Kwa bunduki waziri aliekawa anahusika na habari alipojaribu kuingilia kati alipoteza nafasi yake kwa kutetea haki kisha yeye mvunja haki Makonda akaendelea kupeta.
Makonda ana haja gani ya kutembelea NYOTA ya Rais Samia kwa kusema kwamba anayofanya yoote katumwa na mwenyekiti wa chama aliemteua badala ya kusema kuwa hayo ni maagizo ya chama??implication yake ni ile ile ya kutaka kuonesha yeye ni smart kuliko wenzake machoni mwa mwenyekiti wa chama ili hali collectively chama hiko ni nguvu ya watu wengi??
Hakika ukimchambua Makonda unaona wazi wazi motive yake ya kujijenga zaidi yeye kuliko chama chake kupitia matatizo ya wananchi ambayo hata hivyo hayajawahi kupungua ndani ya TAIFA HILI,kwani lini Makonda amewahi kuwa MSAFI hadi afikie hatua ya kuguswa sana na haya wanayofanyiwa wananchi??
Nawapongeza CCM na VYAMA VYA UPINZANI waliotambua kuwa hiyo ngoma ni ngoma ya mchiriku na kuigomea kuicheza,kwa kuwa ''HOW MAKONDA IS DOING ANYTHING,IS HOW HE IS DOING EVERYTHING''...
Muulize mama yako mzazi
Hata alipokawa RC Dsm alikuwa habari namba mbili nyuma ya habari ya Boss wake mwendazake,kwani jipya ni lipi katika hayo anayoyafanya..??Mmekuwa kama Hamas kujifariji huku mnakufa!! Makonda ndo habari Na. 1 nchini kwa Sasa!!
Vyovyote mtakavyomtafsiri lakini ukweli ni kwamba jamaa kakamata kwelikweli!! Sasa hivi hata vyama vya upinzani vinaogopa aibu ya kufanya mikutano! Ndo maana Lissu kaamua kufanyia Mkutano redioni
Kama ni hivyo,mrushaji wa ndoana ni nani sasa,CCM au Mwenyekiti wa chama?Makonda ni chambo, na chambo shurti kiliwe na akishapatikana anayetafutwa huwa ndo mwisho wa chambo
Kupigania Haki kama Raia huru wa nchi hii,kwa mfano ni kama hivi tunavyopambana hapa uwanja wa JF...Ok, Mujahedeen wana nafasi gani kwny siasa za nchi yetu?
Even stupid things turn to be talk of the town.He is the talk of the town by the way..!!
Kijiba Cha roho 😆😆😆😆Friends and our enemies,
'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics).
'How you do anything,is how you do everything'...(Dante Alighieri)
Wahenga wanasema kwamba 'Kazi ya polisi,waachie polisi' (Leave the police work to the police), same applies kwenye siasa,wapo wanaosema kwamba kazi ya siasa waachie wanasiasa,lakini tukisema tuwaachie wanasiasa hii siasa pekeyao bila hata ya sisi watawaliwa kutoa mitazamo yetu matokeo yake ni kulia na kusaga meno.
Makonda au Bashite ni yule yule,hajawahi kubadilika,the way anavyofanya harakati zake ni vile vile ambavyo amekuwa siku zote anazifanya tokea amefahamika na hadhira ya macho yetu.
Miaka kadhaa iliyopita kipindi akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,JIJI lile halikuacha kuwa na heka heka na pilika kila siku,leo aite mkusanyiko na wamama wajane,kusikiliza kero zo,,kesho yake aite mkusanyiko na boda boda,mtondogoo aite mkusanyiko na walemavu na kadhalika.
Na katika hiyo mikusanyiko yake yoote kipindi hiko kilichokuwa kinafanyika ni kama hiki anachoendelea nacho sasa (How you do anything,is how you do everything)
Kilichotofautiana ni kwamba kwa sasa amepata milege ya kuvuka nje ya boda ya himaya yake ya awali na amepata coverage ya kuzungumzia vitu vingi zaidi ili aweze kuendelea kuvuta attention na sympathy za watu.
Nimependa sana namna ambavyo CCM wenyewe wenye kujitambua walivyoamua kukaa kimya na kumuachia uwanja aendelee na harakati zake,na siyo CCM pekee hata VYAMA VYA UPINZANI,pamoja na kwamba Makonda amekuwa anawachimba chimba na kuwachokonoa hakuna hata mmoja ambae amejaribu kucheza ngoma ya Makonda,ni ukweli usio na shaka kuwa wanamjua ni mtu wa aina gani na kujiingiza kwenye ngoma hiyo ni kujipotezea focus ya kufanya yale yaliyo ya msingi.
Makonda,anafanya kitu ambacho anahisi ni sahihi bahati mbaya sana approach ambayo anaitumia ni kujiweka karibu na kutumia mwamvuli wa mwenyekiti wa chama badala ya kutumia nguvu ya chama katika kuendesha ajenda zake,ni yale yale ambayo alikuwa anayafanya kipindi cha mwendazake ya kujiweka katika position ambayo ni yeye ni RC Muhimu zaidi ya wengine kias cha kufikia hatua ya kusema kuwa yeye ana nafasi kubwa katika nchi hii kuliko hao viongozi wengine,na hao wakubwa wao wanajua.,kiufupi ni RC ambae alikuwa untouchable kiasi kwamba hata pale alipovunja sheria kwa kuvamia Clouds Fm Kwa bunduki waziri aliekawa anahusika na habari alipojaribu kuingilia kati alipoteza nafasi yake kwa kutetea haki kisha yeye mvunja haki Makonda akaendelea kupeta.
Makonda ana haja gani ya kutembelea NYOTA ya Rais Samia kwa kusema kwamba anayofanya yoote katumwa na mwenyekiti wa chama aliemteua badala ya kusema kuwa hayo ni maagizo ya chama??implication yake ni ile ile ya kutaka kuonesha yeye ni smart kuliko wenzake machoni mwa mwenyekiti wa chama ili hali collectively chama hiko ni nguvu ya watu wengi??
Hakika ukimchambua Makonda unaona wazi wazi motive yake ya kujijenga zaidi yeye kuliko chama chake kupitia matatizo ya wananchi ambayo hata hivyo hayajawahi kupungua ndani ya TAIFA HILI,kwani lini Makonda amewahi kuwa MSAFI hadi afikie hatua ya kuguswa sana na haya wanayofanyiwa wananchi??
Nawapongeza CCM na VYAMA VYA UPINZANI waliotambua kuwa hiyo ngoma ni ngoma ya mchiriku na kuigomea kuicheza,kwa kuwa ''HOW MAKONDA IS DOING ANYTHING,IS HOW HE IS DOING EVERYTHING''...
Ccm ndio maana huwa nawambia ni nguruwe hata akili hamna subirin uchaguzi ndio mtajua na huyo mfoji vyeti wenu.Mmekuwa kama Hamas kujifariji huku mnakufa!! Makonda ndo habari Na. 1 nchini kwa Sasa!!
Vyovyote mtakavyomtafsiri lakini ukweli ni kwamba jamaa kakamata kwelikweli!! Sasa hivi hata vyama vya upinzani vinaogopa aibu ya kufanya mikutano! Ndo maana Lissu kaamua kufanyia Mkutano redioni
Vionjo vya mashangingi ya ccm bhanaKijiba Cha roho 😆😆😆😆
Ni wengi mno, tunaopita kitaa ndo tunaona.Nani aamini Sanaa za Makonda?
Kumbe unamfuatilia na kumsikiliza vizuri ee?? Tena sio mara moja.Friends and our enemies,
'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics).
'How you do anything,is how you do everything'...(Dante Alighieri)
Wahenga wanasema kwamba 'Kazi ya polisi,waachie polisi' (Leave the police work to the police), same applies kwenye siasa,wapo wanaosema kwamba kazi ya siasa waachie wanasiasa,lakini tukisema tuwaachie wanasiasa hii siasa pekeyao bila hata ya sisi watawaliwa kutoa mitazamo yetu matokeo yake ni kulia na kusaga meno.
Makonda au Bashite ni yule yule,hajawahi kubadilika,the way anavyofanya harakati zake ni vile vile ambavyo amekuwa siku zote anazifanya tokea amefahamika na hadhira ya macho yetu.
Miaka kadhaa iliyopita kipindi akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,JIJI lile halikuacha kuwa na heka heka na pilika kila siku,leo aite mkusanyiko na wamama wajane,kusikiliza kero zo,,kesho yake aite mkusanyiko na boda boda,mtondogoo aite mkusanyiko na walemavu na kadhalika.
Na katika hiyo mikusanyiko yake yoote kipindi hiko kilichokuwa kinafanyika ni kama hiki anachoendelea nacho sasa (How you do anything,is how you do everything)
Kilichotofautiana ni kwamba kwa sasa amepata milege ya kuvuka nje ya boda ya himaya yake ya awali na amepata coverage ya kuzungumzia vitu vingi zaidi ili aweze kuendelea kuvuta attention na sympathy za watu.
Nimependa sana namna ambavyo CCM wenyewe wenye kujitambua walivyoamua kukaa kimya na kumuachia uwanja aendelee na harakati zake,na siyo CCM pekee hata VYAMA VYA UPINZANI,pamoja na kwamba Makonda amekuwa anawachimba chimba na kuwachokonoa hakuna hata mmoja ambae amejaribu kucheza ngoma ya Makonda,ni ukweli usio na shaka kuwa wanamjua ni mtu wa aina gani na kujiingiza kwenye ngoma hiyo ni kujipotezea focus ya kufanya yale yaliyo ya msingi.
Makonda,anafanya kitu ambacho anahisi ni sahihi bahati mbaya sana approach ambayo anaitumia ni kujiweka karibu na kutumia mwamvuli wa mwenyekiti wa chama badala ya kutumia nguvu ya chama katika kuendesha ajenda zake,ni yale yale ambayo alikuwa anayafanya kipindi cha mwendazake ya kujiweka katika position ambayo ni yeye ni RC Muhimu zaidi ya wengine kias cha kufikia hatua ya kusema kuwa yeye ana nafasi kubwa katika nchi hii kuliko hao viongozi wengine,na hao wakubwa wao wanajua.,kiufupi ni RC ambae alikuwa untouchable kiasi kwamba hata pale alipovunja sheria kwa kuvamia Clouds Fm Kwa bunduki waziri aliekawa anahusika na habari alipojaribu kuingilia kati alipoteza nafasi yake kwa kutetea haki kisha yeye mvunja haki Makonda akaendelea kupeta.
Makonda ana haja gani ya kutembelea NYOTA ya Rais Samia kwa kusema kwamba anayofanya yoote katumwa na mwenyekiti wa chama aliemteua badala ya kusema kuwa hayo ni maagizo ya chama??implication yake ni ile ile ya kutaka kuonesha yeye ni smart kuliko wenzake machoni mwa mwenyekiti wa chama ili hali collectively chama hiko ni nguvu ya watu wengi??
Hakika ukimchambua Makonda unaona wazi wazi motive yake ya kujijenga zaidi yeye kuliko chama chake kupitia matatizo ya wananchi ambayo hata hivyo hayajawahi kupungua ndani ya TAIFA HILI,kwani lini Makonda amewahi kuwa MSAFI hadi afikie hatua ya kuguswa sana na haya wanayofanyiwa wananchi??
Nawapongeza CCM na VYAMA VYA UPINZANI waliotambua kuwa hiyo ngoma ni ngoma ya mchiriku na kuigomea kuicheza,kwa kuwa ''HOW MAKONDA IS DOING ANYTHING,IS HOW HE IS DOING EVERYTHING''...
Hata chizi huwa anafuatiliwa na kusikilizwa pia,ni haki ya kila mtu hiyo...Kumbe unamfuatilia na kumsikiliza vizuri ee?? Tena sio mara moja.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app