Pre GE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hahaha kasahau kusema Majaliwa atakuwa waziri mkuu, na Tulua Ackson atakuwa spika wa bunge lijalo.
 
Kwahiyo likitokea la kutokea huyo Nchimbi ndiyo anakuwa Raisi wa Tanzania
Hii nchi ina vituko sana,si ajabu hawajawaza kabisa kuhusu hilo!

Hilo la kutokea na litokee kabla ya July tuone kama Isdor atapumzika akache urais.

At 67 unapumzika nini wakati Wasira yuko 80 na hana habari!

Kutuongezea gharama tu za kuhudumia wastaafu kibao bila sababu ya msingi.

BTW:Mbowe ana la kujifunza!
 
Wapinzani wajipange, bingwa anakabia juu kulinda ubingwa wake....mbinu nzuri sana ya kujihami.
wanatengeneza mashambulizi mfululizo haina kupoa. Mwendo mpela mpela😄😄
 
A

Act ni chama Tanzu cha ccm
fasta ACT na CCM wametangaza wagombea wao wa urais ndani wiki mapema januari. Kule CHADEMA nao watoke na azimio moja la nani agombee urais kampeni zianze tu maana kuna vyama vitaachwa mbali sana bado vimelala usingizi wa kisiasa
 
Naona CCM wamejaribu kuzima hekaheka za chadema. Ngoja tuone. Huu mwaka utakuwa na matukio sana.
 
Nchimbi ni moja wapo ya vijana walioandaliwa muda mrefu sana kushika nafasi kama hizo.

Hivyo sio jambo jipya kwa wengine, ni kutimia kwa jambo lenyewe tu.
 
Reactions: Ame
Wapinzani wajipange, bingwa anakabia juu kulinda ubingwa wake....mbinu nzuri sana ya kujihami.
wanatengeneza mashambulizi mfululizo haina kupoa. Mwendo mpela mpela😄😄
Wanateua majina mapema ili kura feki zikaprintiwe mapema ili wapate ushindi wa kishindo 🤣🤣🤣
 
Ana bahati sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…