Hapo ndipo ujamaa unapofeli,
Rais anatakiwa aweke mazingira mazuri ya raia wake ili wapate ustawi mzuri, sheria nzuri , haki n.k
Tumezoea uongo ndo mana kiongozi anajinasibu anaweza kuwaletea hiki na kile na tulivyo mazuzu tunaamini bila kutafakari.
Maendeleo ya mwananchi yanaletwa na mwanachi mwenyewe na si kiongozi
Hapo "Ujamaa" unaouelewa wewe umeingiaje?Hapo ndipo ujamaa unapofeli,
Rais anatakiwa aweke mazingira mazuri ya raia wake ili wapate ustawi mzuri, sheria nzuri , haki n.k
Tumezoea uongo ndo mana kiongozi anajinasibu anaweza kuwaletea hiki na kile na tulivyo mazuzu tunaamini bila kutafakari.
Maendeleo ya mwananchi yanaletwa na mwanachi mwenyewe na si kiongozi
Unaona inawezekana kutenganisha na itikadi za kisiasa huu mchakato wa "Katiba Mpya" utakapoanza?"Position of power"hapa anayo mTanzania, siyo chama chochote cha siasa wala serikali inayoongozwa na chama cha siasa.
Kifaifa=KitaifaLidhia = Ridhia
Again unaogelea mule mule ,Ujamaa" unaoujua wewe unamzuia Rais kuweka mazingira ili wananchi wake wapate ustawi?
Ninapoandika kuhusu "Mungu Wabariki Wazungu" huwa namaanisha , sijui kama unanielewa mkuuUnawajua hawa vijana wawili mkuu 'Erythro'?. Hili ni swali tu.
Lakini nikukumbushe tu, msiache CCM ichukue jukumu la kututengenezea katiba mpya.
Tumekwishauona ubovu wa hiki chama. Sasa watatumia kila mbinu wao ndio waendeshaji wa mchakato mzima wa hiyo katiba mpya.
Ikiwezekana, anzeni na wazee kama Warioba, kuona taratibi zitakazofaa katika kuitengeneza katiba hiyo mpya.
yaani wewe ni mbumbumbu wa kiwango cha kutisha !Nimefurahi sana CCM kuwatuliza CHADEMA hasa wale vijana wake kwa kuwapora agenda kisayansi. Hii ni kazi nzuri ya CCM ya sasa chini ya Mama Samia. Hakuna haja ya ubabe ni mwendo wa kuwatuliza kisiasa na kuwanyima agenda kwenye jamii. Kuanzia leo wananchi wote waliokuwa wanavurugwa na kelele za kina Pambalu watarudisha imani kwa CCM. Na kwa idadi ya wabunge wa CCM bungeni ni bora wapinzani wangetulia hadi 2025 maana hawawezi kutoboa.
JF members wako makini sana kufuatilia uandishi wa mtoa mada, hakuna kuchapia hapaLidhia = Ridhia
Ukiona CCM inaridhia jua, imeisha hiyooo!Nchi ni ya Watanzania wote, Hakuna haja ya watu kujimilikisha Kipande. Nawaona waliokuwa wanaizodoa CHADEMA wakipiga U-turn Kali.
We all know better, CCM holds all the cards, and it has nothing to lose should the entire process come to a halt. So neither citizens not opposition are in position of power to decide the fate of Tanzania. Mbowe knows it very well that's why he's focusing on boardroom diplomacy to attain the constitution."Position of power"hapa anayo mTanzania, siyo chama chochote cha siasa wala serikali inayoongozwa na chama cha siasa.
Swadakta !We all know better, CCM holds all the cards, and it has nothing to lose should the entire process come to a halt. So neither citizens not opposition are in position of power to decide the fate of Tanzania. Mbowe knows it very well that's why he's focusing on boardroom diplomacy to attain the constitution.
Unadhani kwa nini CCM walikuwa wanaikwepa kuileta?Kifaifa = Kitaifa.
Katiba hata ibadilishwe kila mwaka haitasaidia kama uelewa wa watu utabakia kuwa huu huu.
CCM walibinua vifungu juu chini waka'edit maoni ya umma wakaweka maoni ya CCM.Kwani Kikwete si aliipeleka katiba mpya mpaka pale alipojikuta wale waliokuwa wakimpresha kumbe lao halikuwa maudhui ya katiba? Kwao lilikuwa kujiondolea vile walivyoona kama vikwazo kushinda uchaguzi na kuingia Ikulu.
Haya bana ngoja tuone huyu nahodha chombo atakifikisha wapi. Sisi yetu macho.
Kikosi kazi kile ni upotevu wa pesa na muda, Mama kaona mbali.Ina maana wanapingana na maoni ya kikosi kazi,kuhusu mchakato kuanza mwaka 2025