Wewe unadhani katiba inamaliza kila kitu? Haiwezi kuwa hivyo.uchaguzi uliporudiwa nini kilitokea?
Umesahau Raila alijiapisha....
unayajua maoni ya Wakenya kwasasa kuhusiana na hiyo katiba mpya unayowsifia nayo?
Hivi unajua hiyo katiba mpya wakenya wa kawaida wameshaanza kuiona kero..
Hivi unajua Kenya pamoja na kuwa na katiba mpya bado mpaka leo wana migogoro ya kisiasa kila leo?.....
Hapo kwanza nicheke 🤣Chadema TAASISI KUBWA Africa Mashariki na Kati
Viva Kamanda wa Anga
Viva Tundu Lissu
Viva PAMBALU
Viva Mwaipaya
Kwani si Kikwete kashika remote.Kwani Kikwete si aliipeleka katiba mpya mpaka pale alipojikuta wale waliokuwa wakimpresha kumbe lao halikuwa maudhui ya katiba? Kwao lilikuwa kujiondolea vile walivyoona kama vikwazo kushinda uchaguzi na kuingia Ikulu.
Haya bana ngoja tuone huyu nahodha chombo atakifikisha wapi. Sisi yetu macho.
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wake kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote.
====
1. Maridhiano ya kifaifa.
2. Kufufuliwa kwa mchakato wa Katiba kwa kuzingatia mazingira ya bora ya sasa.
"Chama cha Mapinduzi tunasisitiza umuhimu wa uwepo wa Katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa na kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wa katiba mpya kwa masilahi mapana ya taifa na maendeleo kwa ujumla." ameeleza Ndg. Shaka Hamdu Shaka, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ya Taifa - Itikadi na Uenezi wakati akizungumza na wanahabari.
View attachment 2269081
Yaani hata sielewi maana utafikiri katiba ya zamani ndiyo iliwafanya waifisadi nchi na kushindwa kuwa wabunifu kwa maendeleo ya nchi.Kwani si Kikwete kashika remote.
I simply cannot believe I am reading this from you!We all know better, CCM holds all the cards, and it has nothing to lose should the entire process come to a halt. So neither citizens not opposition are in position of power to decide the fate of Tanzania. Mbowe knows it very well that's why he's focusing on boardroom diplomacy to attain the constitution.
Since when did common peasant matter to CCM?? Samia wants to neutralize the political arena since she's not ready to have two battle fronts in terms of internal power struggle whilst going toe to toe with CHADEMA and that's about it. However should CCM decide otherwise then there's no way CHADEMA or wananchi can hold CCM hostage in the name of katiba mpya!!I simply cannot believe I am reading this from you!
Why should they (CCM) bother then, if they have all that power as you suggest?
They have moved from positions of "working on the economy first", to "thinking about the new constitution after 2025" to now the same being a "requirement from the citizenry." What do you think is moving their goal posts?
It's not Mbowe doing that in case you're misreading their thought processes.
At least give them credit in that they know how to read the mood of the nation.
Watanzania, tujizuie sana kuendekeza au kujizoeza kutamka maneno ambayo sio tu ni ya kibaguzi na kikabila Bali pia yanatia hasira,Leo mtachanganyikiwa.
Harakati za Mbowe zimezaa matunda. Na Bado Rais Samia amedhamilia kuikomboa Tanzani nyie sukuma gang hamna chenu.
Sawa kwa ushauri wako.Watanzania, tujizuie sana kuendekeza au kujizoeza kutamka maneno ambayo sio tu ni ya kibaguzi na kikabila Bali pia yanatia hasira,
Na maneno kama haya yakitamkwa na kutamkwa kwa kipindi kirefu bado hujenga hilo linalotamkwa kuwa kweli,
Na madhara baadaye ni kugawa taifa na utaifa wetu,
Kwa ni I hoja yako inapoisha lazima utaje neno Sukuma gang’,
Unajuaje labda hiyo hoja unayozhani hai Sukuma gang hawaipendi, kumbe wapo wengi wanaokuunga mkono,
Sio lazima hai sukuma gang wapende au wasipende hiyo hoja yako, wapo wanaoipenda hoja yako vilivile.
Hoja yako ikiwa nzuri na wakaipenda kama Watanzania kiujumla, wakifikia hilo neno la kiubaguzi, sidhani kama wataipenda tena, maana ni neno ambayo linajenga uhasama na maudhi vilevile.
Tuache kushabikia maneno ambayo yanaudhi, mwisho wake siku zote sio mzuri.
Ni ushauri tu
I see no correlation with the Kenyan situation. The Tanzanian situation is completely different; for one, they have a relatively working mother law compared to the rule of jungle we have over here! Understand the dynamics of Ruto vis-a vis that of Uhuru; once they had won their second term, all that had brought them together vanished. It was natural that they would drift apart.Since when did common peasant matter to CCM?? Samia wants to neutralize the political arena since she's not ready to have two battle fronts in terms of internal power struggle whilst going toe to toe with CHADEMA and that's about it. However should CCM decide otherwise then there's no way CHADEMA or wananchi can hold CCM hostage in the name of katiba mpya!!
Odinga has resolved to boardroom politics and it's working, Mbowe has realized boardroom Diplomacy is the way to go. Should he halt the negotiations at any point then it's a win for CCM cause they'll prove it's them who initiated constitution reforms but on the contrary it's the opposition that disrupts the process on the other hand what can opposition or wananchi do to scare CCM??
CCM don't need the new constitution in fact it's to their own disadvantage. So they hove leverage over the opposition!!! Afterall they've nothing to lose come 2025 coz we both know the winner is determined way before polling date!!!
Miaka 60 ambayo mmeiba mali za nchi hii haijawatosha?muda huo na gharama zake tungeutumia kuhakikisha kila kaya inakuwa na maji safi na salama.
Muda huo na gharama zake tungeutumia kuhakikisha kila kaya inapata umeme wa uhakika.
Muda huo na gharama zake tungehakikisha kila wilaya inakuwa na hospitali ya kubwa ya rufaa na vitanda cha kutosha..
Muda huo na gharama zake tungehakikisha pale muhimbiri tunatahini madaktari wa kutosha, mafamasia na manesi wa kutosha kuhakikisha tunapunguza gap la mgonjwa na daktari..
Hivyo navyo bila shaka vinahitaki katiba mpya, Katiba kwa sasa sio tatizo la msingi halipaswa kuwa kipaumbele cha Taifa, nikupoteza muda na rasilimali...
Nadhani tungeanzia ilipoachia tume ya Jaji Warioba.walete katiba ya Warioba,hawachelewi kutuchomekea ya Kikwete
Unataka uone mabadiliko ya majirani zako kwani wewe yanakuhusu nini?.Huwezi ukatengeneza cha kwako kizuri mpaka uone cha jirani kwanza.Hivi watu wengine mkoje.yaani badala ukae uwaze nchi itapataje katiba mpya nzuri yakutuongoza kwa manufaa ya miaka 50 ijayo wewe unaona hivi tunavyoishi ndo vizuri.majirani zetu tangu wameandika katiba mpya sijawahi kuona mabadiliko yoyote na ukiwauliza wananchi watakwambia hawajawahi kuona faida ya katiba mpya hadi leo hii wanaelekea kwenye uchaguzi.
Nakubaliana na kauli ya mwanazuoni mashuhuri Prof. Shivji aliwahi kusema kuwa Katiba mpya sio mwarobaini........
maana yake ni kwamba tunahitaji kuwajenga watu/viongozi kwanza wawe waadilifu.
Pia nakubaliana na mwandishi mkongwe ndg.Ulimwengu aliwahi kusema kuwa sio lazima kuwa na katiba mpya bali endapo hii tuliyo nayo ikatekelezwa angalau kwa 60% tu tutapiga hatua mara dufu.
Wananchi walio wengi hawaoni ulazima wa katiba mpya isipokuwa wanasiasa ambao wanauchu wa kutawala/madaraka.