Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Kumekucha !
 
Nashangilia vuguvugu la kuwavuruga fisiem
Mtifuano kama KANU ni lzm bado wa kijani asili wasugua bench na kijani chotara mixer wahamiaji waunga mkono,wafia chama vs wafia maslai.mtifuano haukwepeki
 
Atapenyea wapi,kiongozi wa kiafrica kushindwa uraisi ni kwa Sababu Mbili uzembe wake au busara yake tu kuachia
Kibabu Mugabe aliachia kwa busara au unga ulizid maji?
 
Bora Kolimba aliposema CCM haina dira wala muelekeo.

Sasa hivi tunaona inataka kuanguka kwenye korongo kabisa.
 
Wamaanisha biashara ya utumwa kwa hawa Mecenary huijui?
 
Hivi kweli rafiki wa PK anaweza kutolewa kwa mkakati wa kisiasa??? Kwa alama za nyakati hizi hilo aliwezikutokea. Kitakachotokea ni watu kufa, kutekwa na kupotea
 
CCM Kama huyu jamaa anaonekana kuyumbisha chama, njia ni mbili tu, moja mfungieni kushiriki shughuli zozote za chama ( kama anataka aondoke) mbili, mfukuzeni chama.

Hii ya pili ikifanyika, wapo wengine wataenda naye lakini chama kitabaki imara na hii haitakuwa mara ya kwanza.
 
Membe 2020 nami nije kumlaki the presidaa
 
Leo ni siku ya jumapili tunaweza kuwatembelea watu waliopo mahabusu segerea ni muhimu kuliko hata huyu wa airport!
Kwa nini wasianzie Air port wakitoka wapitie kwa Wafungwa, Wagonjwa n.k?
 
No longer at ease. CCM ipo madarakani kwa nguvu ya dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…