LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Swala LA kuacha ni haki yake, pia kutoacha ni haki yake.cha msingi anayetaka kumpinga achukue fomu wanachadema wataamua wanamtaka nani.angalau kwa hili niwapongeze chadema, kuliko ccm nafasi ya mwenyekiti marufuku mwingine kuchukua fomu.Alipaswa kuacha nafsi hiyo wazi kwa mwanacdm halisi. Nijuavyo mimi watu hushawishiwa kuchukua nafasi, na watu hao wapo ndani ya cdm. 2010 Slaa hakuwa amejiandaa kugombea urais, bali alishawishiwa. Hata sasa hilo lilipaswa kufanyika.
Lugha za kuitwa wasaliti sio saws, wanatimiza haki yao ya kikatiba.Watiwe moyo upi. Kwani hawajui katika ushindani Kuna kushinda na kushindwa!!? Kama vipi waishie, Chadema ni imara kama Simba.
Swala LA kuacha ni haki yake, pia kutoacha ni haki yake.cha msingi anayetaka kumpinga achukue fomu wanachadema wataamua wanamtaka nani.angalau kwa hili niwapongeze chadema, kuliko ccm nafasi ya mwenyekiti marufuku mwingine kuchukua fomu.
Mkuu kwa vile katiba yao haina ukomo MTU kugombea uongozi sio mbaya, cha msingi ashindanishwe Na wengine.akishinda aendelee.sio ccm mwenyekiti hapingwi...Kama huyo Mwambe ameshindwa hiyo ni habari nzuri sana, sina imani na mtu yoyote toka ccm kupata nafasi yoyote ndani ya cdm. Bado Nyalandu, hao wanaccm 95%+ ndio waliorudi kuunga mkono juhudi, huu uchaguzi umenifurahisha sana. Ila doa langu kubwa ni kwa Mbowe kuendelea kulazimisha kuwa mwenyekiti wa cdm. Katika hilo simuelewi Mbowe wala siawaelewi kabisa cdm. Ifahamike cdm ni taasisi, iweje mtu mmoja akae madarakani zaidi ya miaka 15?
Kukaa miaka 15 sio hoja, hoja akubalike Na watu.wako wabunge wamekaa zaidi ya vipindi vitano bungeni.cha msingi washindanishwe Na watu.Vip mwenyekiti wenu ambae amekaa 15yrs?
Mkuu kwa vile katiba yao haina ukomo MTU kugombea uongozi sio mbaya, cha msingi ashindanishwe Na wengine.akishinda aendelee.sio ccm mwenyekiti hapingwi...
Sasa kama uenyeikiti wa kanda kadondokea pua,je taifa si atadondokea "KALIO"?Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini Chadema Cecil Mwambe ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya kuangushwa vinaya na mpinzani wake Suleiman Mathew.
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti imekwenda kwa Salum Baruhan ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Lindi mjini kupitia CUF
Kushindwa kutetea nafasi yake kwa Cecil Mwambe ambaye pia ni mgombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa inaonyesha ni salaam maalum za wanachadema kwake kuelekea uchaguzi mkuu wa chama hicho Desemba 18
Kukaa miaka 15 sio hoja, hoja akubalike Na watu.wako wabunge wamekaa zaidi ya vipindi vitano bungeni.cha msingi washindanishwe Na watu.
KUNA KITU KINAITWA safisha gala Ndo tunamaliziaNimeamini kweli kuwa yeyote atakaye jaribu na aliyejaribu kuchukua fomu ya kugombea uwenyekiti taifa kuna figisu lazima afanyiwe.
Na naamini yale maneno ya sumaye kuwa sababu ni kutangaza nia ya kugombea kiti ndio maana kura za hapana zilimiminika kama njugu.
Kwahiyo ndugu zangu yeyote atakayejaribu kusimama na mbowe ni pandikizi si ndio?
Aya bhana uwanja ni wenu pambaneni.
Wafundishe hayo masokwe. Hayajui nini maana ya ushindani. Katika demokrasia ni kitu cha kawaida kabisa kushindwa au kushinda. Lakini wao wana mfanya mpinzani ni adui...cdm mnatakiwa mvumiliane.
..ushindani ktk uchaguzi isichukuliwe kuwa ni uadui.
..siyo vibaya kushangilia ushindi, lakini pia mhakikishe wale wanaoshindwa mnawa-embrace na kuwatia moyo.
Hakuna aliyemwita mtu msaliti, lakini aina ya tweet ya Sumaye ina walakini mkubwa Sana. Yaani anagombea huku akijua atashindwa, halafu amlaumu nani!!?Lugha za kuitwa wasaliti sio saws, wanatimiza haki yao ya kikatiba.
Chadema zaidi ya kaole
Yote uliyosema Ni sifuri Kama hao unaowatetea hawatasema Lisu alipigwa risasi na nani!!!? Uwezo huo wanao, waambie watuambie, vinginevyo utakuwa unabwabwaja ujinga kutetea upuuzi wa akina Ndogaye!!!Wafundishe hayo masokwe. Hayajui nini maana ya ushindani. Katika demokrasia ni kitu cha kawaida kabisa kushindwa au kushinda. Lakini wao wana mfanya mpinzani ni adui.
Nawaona hata viongozi wao wa kitaifa nao wako hivyo hivyo. Wakishindwa wanakuwa na kisirani. Wanaanza kutukana ovyo ma kujaribu kutafuta kila mbinu ili kuleta machafuko. Aisee! Hawa watu washukuru kwamba watanzania wana huruma.
Namshangaa kwa mfano mtu kama Tundu Lissu, anathubutu hata kumchukia Boss wake Speaker wa Bunge letu tukufu Mh. Ndugai. Ni mtu ovyo sana. Halafu anategemea Speaker amchekee tu na kumpenda yeye? Kama yeye hataki kuthamini na kutambua nyazifa za wengine, kwanini na wao wasimdharau vile vile?
Sijawahi kuona mbunge aliyekosa uzalendo kwa nchi yake na viongozi wake kama Tundu Lissu. Mbunge na mwana sheria mwenye akili timamu asinge wezaji panda ndege na kusafiri mpaka Washington DC, Amerika ili kuwapakazia uongo Rais wa nchi yake na Kiongozi wa Bunge lake badala ya kurudi mara moja kwao na kukutana na Boss wake ili kumaliza tofauti walizo kuwa nazo.
Mtu kama huyo eti bado ana taka awe kiongozi na jemedari mkuu wa nchi. Itawezekana kweli? Hicho ni kichekesho kikubwa sana.
Huyu mwambe in pandikizi LA Magufuli. Safiiiiiiii
Hahahanani ni Bambo?
Kabisa nafasi ya UENYEKITI yake milele,Mbowe amekuwa mjanja kumpendekeza lissu, anaweza shughuli nyingi akamwachia yeye akizidiwa Na majukumu mengi
HahahaHizo kaole zako kazitazame huko TBC huku tusichoshane
Ungesimamia hoja hii, hata mimi ningekuunga mkono bila kusita.Nimewapongeza sana cdm pale walipopiga kura za ndio na hapana kwa mgombea mmoja. Pale wamefanya demokrasia ya hali ya juu. Na sasa nataka hizo kura za mwenyekiti zihesabiwe hadharani tena wagombea wengine wakiwa sehemu ya kuhesabu kura hizo. Tunahitaji cdm wawe mfano wa kuheshimu box la kura na hata nchi nzima ijue hilo.
Watiwe moyo upi. Kwani hawajui katika ushindani Kuna kushinda na kushindwa!!? Kama vipi waishie, Chadema ni imara kama Simba.