Cecil Mwambe ashindwa vibaya uchaguzi Kanda ya Kusini

Tangu lini ccm wakawashauri viongozi wazuri wa kuwaongozeni,
Kikubwa wao wanataka viongozi cheap wa kuwanunua, nadhani walionunuliwa mnawakumbuka

Hao walionunuliwa 95% walipokelewa na hao hao kina Mbowe, kwa mtindo wa mwendo kasi kupitia mafuriko fake ya Lowassa.
 
Mahali popote kiongozi akikaa madarakani zaidi ya miaka 10, box la kura huwa kiini macho zaidi.

Bado ni hisia nipe ushahidi!

Kwa jinsi ccm na msajili hawaipendi cdm,aisee lazima ungekuta washamtoa lazima!

Mbowe ni extra popular mle cdm,dont make a mistake!
 
Bado ni hisia nipe ushahidi!

Kwa jinsi ccm na msajili hawaipendi cdm,aisee lazima ungekuta washamtoa lazima!

Mbowe ni extra popular mle cdm,dont make a mistake!

Ni kweli Mbowe ni kiongozi mzuri sana, lakini miaka 15 ni tosha sana kwake. Sina shaka na hili.
 
Mbowe akifa lissu anakuwa mwenyekiti. Mbowe akifungwa lissu ataongoza chama akiwq Brussels. Just a joke with the truth in it.
 
Uhalali wa kumpinga Magufuli kuondoa ukomo wa urais mmeutoa wapi kama nyie wenyewe ndani kwenu kuna ufalme na uzandiki zikiwemo figisu na drama za wazi?
Pitia popote kama kuna mahali nimewahi kuunga mkono kiongozi yoyote kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Ukipaona unitag nipigwe ban ya milele. Usije kichwa kichwa ukadhani tunafanana kwa kila kitu. Kama una hasira zako kaa kushoto.
 
Uhalali wa kumpinga Magufuli kuondoa ukomo wa urais mmeutoa wapi kama nyie wenyewe ndani kwenu kuna ufalme na uzandiki zikiwemo figisu na drama za wazi?

Unaniambia utoto gani dogo, nimekuambia mimi sio muumini wa kiongozi yoyote kukaa madarakani zaidi ya miaka 10, saa hii unaniambia uhalali wa kumpinga Magufuli nautoa wapi!? Au ww ni robot basi unatoa kile ulichomezeshwa? Onyesha mahali popote mimi ninapounga mkono kiongozi kukaa madarakani zaidi ya miaka 10.
 
Kumuamini bashiru ni sawa na kusubiri tikiti lianguke chini ya mnazi.
 
Wewe shughulikia huko kwenu huku kwa Jirani hakukuhusu, tunasubiri kuona na nyie democrasia yenu inavyohubiriwa pale membe atakapochukua form kupambana na nduli
 
Siyo lazima kila mstari utaoandikwa ukufurahishe kuna dawa ni tamu na nyingine chachu kikubwa upone
Acha uhuni tumia akili. Unaelewa huyo ana nafasi gani kwenye chama? Chadema sio ya viongozi wakusema maneno mradi yamekuja mdomoni bila kuchuja athari zake ndio maana Molemo amenielewa kakaa kimya.
Hayo mambo ya kurupoka ropoka hata majukwaani na kutoa maneno ya hovyo hata kutukana tumemwachia meko wenu ambaye vibaka walio kusanyika wakishangilia yeye ndio anapamba moto kuhorojoka.
 
Paragraph ya mwisho sijapendezwa nayo kuandikwa kutoka kwako wewe! Nadhani utakuwa umenielewa, acha hayo tuongee sisi
Umeona!? ninyi siyo mbadala wa wale...ninyi ni wale wale. Tusubiri 18 Desemba.
 
Tukiruhusu kila mtu na aje na sababu Zake za kutaka mbowe aachie kiti kama fikra za maji machafu, basi chadema kitakufa asubuhi tu, embu itoshe tu wewe kuwa mtazamaji mengine waachie wenyewe, ww kachukue buku7 yako.
 

Japokua unaonesha hali ya kupinga ufalme ndani ya chama, je CDM kama chama wana uhalali wa kupinga kuondolewa ukomo wa uraisi?

Kwa nn wasipigane na adui wao wa ndani kisha watoke nje tuungane wote ( watz wote tukiwa tunawaona ni wasafi) twende tukapigane na wadhulumaji ccm?

Una kili kua CDM haina uhalali wa kuihoji CCM kwa lolote lile? (Hapa ndo useme ndiyo au hapana)

Je unafahamu kua licha ya kua Mbowe ni kiongozi shupavu lkn mbele ya macho ya watz wa kawaida ni doa kubwa?
 
Peleka ushauri wako kwa magu ataufanyia kazi
 
Tukiruhusu kila mtu na aje na sababu Zake za kutaka mbowe aachie kiti kama fikra za maji machafu, basi chadema kitakufa asubuhi tu, embu itoshe tu wewe kuwa mtazamaji mengine waachie wenyewe, ww kachukue buku7 yako.

Hapo ndo cdm mnapokua rubbish. Yaan anaeikosoa cdm mnamuita ila anaeikosoa ccm na serikali mnamuita kamanda.

Ni ujinga huo. 🚮🚮🚮🚮🚮
 
Wewe na familia yako ukimpenda speaker na kuwa mzalendo inatosha, usilazimishe kila mtu kupenda vitu vya kipuuzi puuzi
 
Gamba limechukia mbowe kuendelea kuiongoza chadema, mbowe hanunuliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…