Celebrities wengi wa Bongo ukikutana nao unakuwa disappointed kwa mwonekano wao

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] acha uongo wee.
 
We utakuwa hujakutana na mkojani unaweza dhani wale wauza maji wa kariakoo na zile ndevu zake kama chanuo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni picha wanazopost huko Instagram,, ndio maana ukikutana nae lazima upigwe na butwaa
 
Ukipost picha kwan unaonesha umrefu au mfupi. Lulu sio mrefu lakin ni mzuriii
 
Mi sijawaona wengi,nimemuona Wema na Diamond pamoja na Afande Sele,kiukweli hawana tofauti na huko instagram.Ninawasihi wasanii,wajaribu ku-maintain mionekano yao,walivyo Insta wawe hivyohivyo tukikutana nao.
 

Watu wa mkoani tulikuwa tumetulia tu. Acha kutuingiza kwenye mambo ya ajabu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo mleta uzi katokea Maneromango, kazimzumbwi au Chole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…