Celebrities wengi wa Bongo ukikutana nao unakuwa disappointed kwa mwonekano wao

Huyo msanii anaitwa nani??.
 
Nlienda kulala keko kuna gest flani ni nzuri ila ipo sehem za kihunihuni balaa na ni uswahilini hatar full wavutabangi, mashogs sema ina ac basi na eneo hilo jirani hakuna ac na nikaribu na ofisini kwangu yaan walking distance
Sasa naingia saloon kuyoa mara nikamwona mtu anafanana na ben kinyaia naye ananyoa kwanza nikashtuka, ben maeneo haya maana huwa namwona bonge la bishoo, kumbe ndo maeneo yake. Nikamujliza wewe ni ben ama nimekufananisha akasema ndie.
 
Mi nilikutana na Jerryson tegete kaitesi tabata akanambia bro mi ndo Jerry tegete nilicheza yanga ndo nkamwangalia nkaona niyeye tukapeana tano akanipiga kizinga cha 10 akahamia meza nyingine
 
Fall Army Worm

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha πŸ™ŒπŸ™Œ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maelezo yote haya kisa nn wee?
Mbavu zangu mie, lol
 
Masha ingawa ni kichaa but live muonekano wake ni ule ule ni mzuri sema anajitoaga ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…